TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Leo pamoja na mvua kunyesha kutwa nzima, lakini tanesco hawajakata umeme
Hahahaha yani huku full kabsaaaaa ,mvua toka jana lakn umeme full tunaingiza pesaaaaa tu na viwanda vyetu bila hasara ya kutumia jenereta kutwa nzima..
 
Naomba namba ya Emergency TANESCO Ilala, hii 0715768589 haipatikani. Nilipewa namba hii kutokea 0784768586 ambako niliuzia sababu ya kukatika kwa umeme nikaambiwa nipege kwenye hiyo namba ambayo haipatikani
NAMBA ZA MADAWATI YA DHARURA -TANESCO DAR ES SALAAM

ILALA-CITY CENTRE

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

WILAYA YA TABATA

0684 001068/ 0715 768589

WILAYA YA GONGO LA MBOTO

0688001071/ 0715768584

WILAYA YA VIWANDA/TAZARA

0684001066/ 0715768587

WILAYA YA YOMBO

0783360411/0765654767

MKOA WA KINONDONI KUSINI/MAGOMENI

0784271461/ 0715271461

WILAYA YA KIMARA

0788379696/ 0717379696

MKOA WA KINONDONI KASIKAZINI/MIKOCHENI

0784 768584/ 0716 768584

WILAYA YA MBEZI BEACH

0658 768583/ 0713 768581

WILAYA YA TEGETA

0658 768584/ 0717 650 878

MKOA WA TEMEKE/KURASINI

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

WILAYA YA KIGAMBONI

0788499014/ 0736501661

WILAYA YA MBAGALA

0714 073 588

KITUO CHA MIITO YA SIMU/CALL CENTRE

0768 985 100/0222194400

MITANDAO YA KIJAMII

Facebook: Like
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter:Follow
www.twitter.com/tanescoyetu

Webiste
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
 
kati ya idara inayopambana kurudisha maisha ya Watanzania nyuma,ni idara ya nishat na madini..mnakata umeme kila siku na kutia watu hasara.
mkubuke umeme ni nguzo muhim sana katika uchumi,nkitaja hasara zinazotokana na ukataji wa umeme holela ntajaza page mia
Sina uhakika ka umeme ulishawahi kuwaka hata mwz 1 tu mfululizo bila kukata tang kuzaliwa kwa Tanzania..
Ushaur Wang:
1, mjitathimni kwanza kama ni watu sahihi katika hiyo kazi(yaan kaz kupata mtu na sio mtu kupata kaz)
2, kukata umeme sa 1asbh pengne had sa 6 usiku ni kero kwa wananchi..kama kuna itiraf inayotaka marekebisho ifanyike kuanzia sa 5 usiku sababu mnalipwa mishahara kuliko kukata mida ya watu kutafta ridhiki zao.

Zingatien haya kwanza::
 
Nimelipia umeme tarehe 23 Februari, na mnasema km nguzo moja ni ndani ya siku 60 natakiwa niwe nimefungiwa, lkn leo ni siku ya 53 sijaona hata nguzo tu kudondoshwa mtaani kwangu. Najua mna changamoto nyingi za kiutendaji lkn tafadhali mjitahidi kufuata taratibu mlizoziweka ninyi wenyewe. Sitaki kuamini kuwa mna create mianya ya rushwa maana moyo wangu unanilazimisha niamini hivyo lkn najitahidi kuubishia. Please respect your own terms and conditions.
 
tanesco manispaa ya temeke mnazingua mlikuna kurekebisha mtaa likwat umeme mkasababisha short umeme umekatika mmeingia mitini hadi sasa jamjarud na mliulizwa nini sababa mnajibu majibu siyo mjirekebishe na majibu jaman hatuendo hivyo
 
Kwenye hili jukwaa. Mbona mkiulizwa kuhusu nguzo na kucheleweshea wateja kuwaunganishia umeme ilhali walishalipa mnapata kigugumizi. Mlisema mtamuunganishia mtu aliyelipia baada ya siku 60. Mbona hamjiheshimu ?
 
Huku TANGA luku mtazileta lini sasa inapita miezi miwili mita za luku hamna.
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

TANESCO kukata umeme kila siku saa moja usiku
Ni ili ma generator yauze au??
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA......Magdalena Kaniki..........................

2.SIMU.......0755 759999........................

3.MKOA........Pwani.....................

4.WILAYA......Kibaha....................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.....Kongowe....

6.JINSI YA KUFIKA......Mashine ya maji barabara ya Soga........

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU........Mbuyuni mashine ya maji.....................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI.......Tulishalipia kuunganishiwa umeme lkn mwezi wa pili sasa hakuna kinachoendelea.............

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA MAISHA YAKO"
Tunaomba huduma ya kuunganishiwa umeme. Tumeshalipia huduma hii.
Wenu katika ujenzi wa Taifa.

M. Kaniki
 
MFUMO WA KUTUPATIA TAARIFA/LALAMIKO

1.JINA................................

2.SIMU...............................

3.MKOA.............................

4.WILAYA..........................

5.MTAA/KIJIJI/KATA.........

6.JINSI YA KUFIKA................

7.KITU/ALAMA/MTU MAARUFU.............................

8.NAMBA YA MITA................

9.TATIZO LAKO/UNACHOHITAJI....................

10.NAMBA YA TAARIFA ULIYOPEWA.................

*Zingatia*

-Kama ni manunuzi ya umeme onyesha mtandao na ujumbe unauopata ukinunuaumeme

-Kama ni kushindwa kuingiza umeme onyesha unachokiona kwenye mita yako unapoweka umeme

-Kama umeshatoa taarifa ofisi yeyote onyesha namba ya taarifa uliyopewa

"TANESCO TUNAYAANGAZA
MAISHA YAKO"

JINA ...Magdalena Kaniki
SIMU....0755 759999
MKOA....Pwani
WILAYA..Kibaha
MTAA.... KONGOWE
JINSI YA KUFIKA..Mashine ya maji
ALAMA..Mbuyu
TUNACHOHITAJI......Kuunganishiwa umeme kwani tulishalipia na ni muda sasa.
Wako katika ujenzi wa taifa.
 
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja
 
Jina.sylivanus msanje
Simu.0717599264
Mkoa.dar es salaam
Wilaya.ubungo
Mtaa.Malamba mawili mpakani
Kitu,Bar kwa tesha
Mita no.54172211200
Toka Jana mita imekata umeme umeme auingii ndani lkn pale kwenye mita upo sina namba za imejens mtanisaidiaje.
 
Back
Top Bottom