Uwe na matumizi yasiyozidi unit 75 kwa mwezi na unajaza fomu ofisi ya eneo lako kisha kama umekidhi vigezo unabadilishiwa bure
Naomba kufahamu vigezo ili nibadilishiwe tariffUwe na matumizi yasiyozidi unit 75 kwa mwezi na unajaza fomu ofisi ya eneo lako kisha kama umekidhi vigezo unabadilishiwa bure
Umedanganywa ni zaidi ya miezi 6Nimelipia gharama za kuwekewa umeme nsh. 515,000/- nimeambiwa nisubiri siku 60 kwa kuwa nguzo hakuna. Hizo nguzo zinatoka nje ya nchi? Maana siku 60 ni nyingi mno jamani. Swali langu ni hilo tu.
Hivii ni nini haswa sababu ya kukata umeme kila siku maeneo ya kwa pinda mpaka kwa majaliwa na eneovkybwa la KIGAMBONI kuanizia mida ya jioniasante tumelipokea na tutalifanyia kazi
JinaMimi pia ni mmojawapo wa wanaoichukia hii huduma itolewayo na Tanesco kwa ujumla,hili la kujaza form ili kubadilishiwa Tariff jirani yangu kaijaza miaka mitatu sasa,bado anazungushwa na wenye kutakiwa kuhakiki,tumemshauri aachane nao aendelee na kazi ya kumzalishia kipato,suala la kukatika umeme ovyo siyo wakati wa mvua tu,kwa tafakari yangu ni kwamba mtu mmoja ndani ya shirika akiamua umeme ukatwe eneo fulani kama ana mamlaka utakatwa,pia kama wanakata matawi ya miti na kama wanabadilisha nguzo/waya umeme unakatwa,bado kubadilisha trasformer nao hukatwa,mnatuumiza kwa kweli,service charge iko palepale pamoja na aina hii ya huduma yenu,Tanesco ni shida,badilikeni,niko Vituka
Kwa hiyo hizo siku 60 ni jibu la uongo la ukweli ni zaidi ya siku 60. Makubwa!Umedanganywa ni zaidi ya miezi 6
Hata pongezi unazo wapa haziwafai. Subili Miezi Sita 6Month,Napenda kujua mteja mpya akishafanya malipo na aitajiki nguzo ili apate umeme inachukua mda gn umeme kuwekewa,awali ya yote nawapongeza sana kwa kutoa huduma kwa weledi
Hili ni tangu 20th April.18 mpaka leo kimya. Hebu niambieni. Nifanye nini niunganishiwe umeme. Nililipia 06.03JINA ...Magdalena Kaniki
SIMU....0755 759999
MKOA....Pwani
WILAYA..Kibaha
MTAA.... KONGOWE
JINSI YA KUFIKA..Mashine ya maji
ALAMA..Mbuyu
TUNACHOHITAJI......Kuunganishiwa umeme kwani tulishalipia na ni muda sasa.
Wako katika ujenzi wa taifa.
Updates pleaseHili ni tangu 20th April.18 mpaka leo kimya. Hebu niambieni. Nifanye nini niunganishiwe umeme. Nililipia 06.03