TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Nimelipia gharama za kuwekewa umeme nsh. 515,000/- nimeambiwa nisubiri siku 60 kwa kuwa nguzo hakuna. Hizo nguzo zinatoka nje ya nchi? Maana siku 60 ni nyingi mno jamani. Swali langu ni hilo tu.
 
Nimelipia gharama za kuwekewa umeme nsh. 515,000/- nimeambiwa nisubiri siku 60 kwa kuwa nguzo hakuna. Hizo nguzo zinatoka nje ya nchi? Maana siku 60 ni nyingi mno jamani. Swali langu ni hilo tu.
Umedanganywa ni zaidi ya miezi 6
 
asante tumelipokea na tutalifanyia kazi
Hivii ni nini haswa sababu ya kukata umeme kila siku maeneo ya kwa pinda mpaka kwa majaliwa na eneovkybwa la KIGAMBONI kuanizia mida ya jioni
 
Mimi pia ni mmojawapo wa wanaoichukia hii huduma itolewayo na Tanesco kwa ujumla,hili la kujaza form ili kubadilishiwa Tariff jirani yangu kaijaza miaka mitatu sasa,bado anazungushwa na wenye kutakiwa kuhakiki,tumemshauri aachane nao aendelee na kazi ya kumzalishia kipato,suala la kukatika umeme ovyo siyo wakati wa mvua tu,kwa tafakari yangu ni kwamba mtu mmoja ndani ya shirika akiamua umeme ukatwe eneo fulani kama ana mamlaka utakatwa,pia kama wanakata matawi ya miti na kama wanabadilisha nguzo/waya umeme unakatwa,bado kubadilisha trasformer nao hukatwa,mnatuumiza kwa kweli,service charge iko palepale pamoja na aina hii ya huduma yenu,Tanesco ni shida,badilikeni,niko Vituka
Jina
Namba ya simu
Eneo
Namba ya mita
Tatizo
 
Wateja wapya tulio lipia huduma ya kuunganishwa umeme tunaenda mwezi wa tatu sasa tangu tufanye malipo bila kuunganishiwa huduma
Kuna tatizo gani!
Tusaidieni jamani
 
Tanesco mbeya kunani!
Kuna wateja wapya tulio lipia huduma bado htujaunganishiwa tatizo ni nn
Na hatuhitaji nguzo
 
Tanesco gongo la mboto,chanika ,majohe, kunatatizo gani? Toka jana mnakata umeme kuanzia saa 6 hadi saa 4usiku
 
Napenda kujua mteja mpya akishafanya malipo na aitajiki nguzo ili apate umeme inachukua mda gn umeme kuwekewa,awali ya yote nawapongeza sana kwa kutoa huduma kwa weledi
 
Mh Raisi Tanesco mbezi luis wanamatatizo makubwa yaani wanapinga juhudi zako ,Hebu fikiria wewe unasisitiza wananchi wafanye kazi wao wao wakipewa Taarifa ya hitilafu ya Umeme Mahali Pa kazi wamekuwa wasumbufu Kuliko kawaida kuna Taarifa za meter tena ambazo ni mpya zimetolewa taarifa zaidi ya Maeneo 10 ya viwanda wao wamekuwa ni watu wa Kutoa visingizio kila siku

Mara mita hakuna zimeisha, maratunashughurikia Mh Raisi tuma watu wako wawachunguze hawa watu wanakurudisha nyuma wamekuwa wazembe Kuliko kawaida kwa Hii Hali Itakuwa mgumu sana Ukiwa na watu wazembe Kama hawa mèter zipo zimejaa wao wamekalia Maneno na mizengwe Nakuomba sana Mh Raisi Najua Una watu wa kufuatilia Hili Nami Nitakuletea Taarifa muhimu za wazembe hawa uwaondoe watakukwamisha naendelea kukusanya Taarifa zao
 
JINA ...Magdalena Kaniki
SIMU....0755 759999
MKOA....Pwani
WILAYA..Kibaha
MTAA.... KONGOWE
JINSI YA KUFIKA..Mashine ya maji
ALAMA..Mbuyu
TUNACHOHITAJI......Kuunganishiwa umeme kwani tulishalipia na ni muda sasa.
Wako katika ujenzi wa taifa.
Hili ni tangu 20th April.18 mpaka leo kimya. Hebu niambieni. Nifanye nini niunganishiwe umeme. Nililipia 06.03
 
Hivi ninini juzi jana alifajiri mpaka sa 10 hii ndio tunarudishiwa umeme watu wa Banana, sio mbaya mkanijuza manake naamini kama ambavyo mimi sijui tatizo yawezekana kuna wengine pia hawajui tatizo hata kama mlitangaza
 
Back
Top Bottom