Refer 4190 and update accordinglyUpdates please
Wakikujibu jibu zuri nakutumia vocha ya 5000Naomba kuuliza
1) kilometa moja inachukuwa nguzo ngapi za Tanesco (nguzo kubwa)?
2)je, nguzo moja kwa kijijini inauzwa shilingi ngapi?
3)kilometa moja inachukua nguzo ngapi za Tanesco (nguzo ndogo)
4)je nguzo moja ndogo(ya Tanesco) kwa kijijini inauzwa shilingi ngapi?
Tanesco. Say somethingHili ni tangu 20th April.18 mpaka leo kimya. Hebu niambieni. Nifanye nini niunganishiwe umeme. Nililipia 06.03
Naona wamegoma kujibu ndugu yangu sasa sijui nifanyeje hapa ili niweze kujibiwa maswali haya muhimu.Wakikujibu jibu zuri nakutumia vocha ya 5000
Lunch mpaka jumatatuTanesco moshi angalieni emergency crew yenu inawatia aibu sana,haiwezekani jirani yangu ametoa ripoti ya hitilafu ya umeme toka jumatatu hadi Leo hakuna response yeyote,report number 3791 inasikitisha sana!
Unataka bwana?Nipe jinsia yako kwanza!
Ningezima vifaa kwa siku tano mfululizo?Siku nyingine ukiona umeme unapungua na kuongezeka usisubiri mpaka uharibu hivyo vifaa vyako! Ungevizima mpaka umeme utakaporudi katika hali yake yakawaida.