Huduma ya chap chapFast track ndyo nini?
Ni kweli kabisaKuna uvumi unaendelea mtaani kuwa Tanesco wanaplan kuwarudisha watu wrote kwenye tarrif 1. Hili lina ukweli?
Ata mimi nimejibiwa hvyo pale Tanesco kibaoni,kuwa sasa hv mjini hakuna hakuna huduma ya tariff 4 kuanzia sasa,wanasema shirika linapata hasara,ndio maana hapa kwenye jukwaa hili swali tanesco hawajibu,inabid tupeleke malalamiko yetu WizaraniNi kweli kabisa
Mimi nimepewa taarifa na Tanesco makao makuu watu wote wanaoishi mjini watarudishwa tariff 1
Zoezi langu la kuomba nipewe haki yangu Mimi natumia umeme chini ya unit 35 kwa mwezi
Wakanipigia sim wenyewe Tanesco makao makuu ubungo wanampango wa kuwarudisha wateja wote wa mjini tariff 1 hayo ndio majibu yao.
Tutakupatia mrejesho mpendwa mteja wetuSitaacha kuwashukuru kwa kazi mnayoifanya maana ni ngumu na changamoto kibao japo bado Niko njia panda. Niliwahi kuuliza humu suala nikajibiwa vizuri sana na hadi simu nikapigiwa lakini ukweli hadi sasa sioni dalili. Swali ni hivi; Kijiji cha MABUYE kata KASSAMBYA Wilaya ya MISSENYI Mkoani KAGERA ni lini kitapatiwa umeme wa REA maana vijiji vilivyo kizunguka karibia vina umeme ila chenyewe na vitongoji vyake vya KIJUKA, MABUYE, RUHAMA na ITALA vimebaki katikati tu bila umeme. Naomba kujulishwa juu ya hili. Hivyo naomba kujulishwa kama kimo au hakimo, na kama kimo ni lini kutapatiwa? Nitashukuru kujibiwa.

Nitashukuru sanaTutakupatia mrejesho mpendwa mteja wetu
Uhaba wa nguzo ndiyo sababu tunayopewa huku Iringa ya kucheleweshewa huduma, nguzo 1 tu, mteja utasubiri zaidi ya miezi 3, yaani zaidi ya siku zao 60 za jazi.Hii ni kutengeneza mazingira ya rushwa.Jina
Namba ya simu
Eneo lako tafadhali
Fuatilia kwa meneja Iringa mkuu, haya ni malalamiko yangu, lakini nakuhakikishia tupo wengi kwenye list yake!Jina
Namba ya simu
Eneo lako tafadhali
Tutakupatia mrejesho mpendwa mteja wetuSitaacha kuwashukuru kwa kazi mnayoifanya maana ni ngumu na changamoto kibao japo bado Niko njia panda. Niliwahi kuuliza humu suala nikajibiwa vizuri sana na hadi simu nikapigiwa lakini ukweli hadi sasa sioni dalili. Swali ni hivi; Kijiji cha MABUYE kata KASSAMBYA Wilaya ya MISSENYI Mkoani KAGERA ni lini kitapatiwa umeme wa REA maana vijiji vilivyo kizunguka karibia vina umeme ila chenyewe na vitongoji vyake vya KIJUKA, MABUYE, RUHAMA na ITALA vimebaki katikati tu bila umeme. Naomba kujulishwa juu ya hili. Hivyo naomba kujulishwa kama kimo au hakimo, na kama kimo ni lini kutapatiwa? Nitashukuru kujibiwa.
Tunaomba namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
Ha ha ha ha kamvua ka asubuhi kameleta madhara jioni siyo!?Hakuna Umeme kwa masaa kadhaa Sasa, Nini shida? Huku Nyegezi, Mkolani Kuna Tatizo gani la kiufundi? Au kale kamvua ka asubuhi?
Naona wameiona post wamerudisha umeme dakika hii! Kwa Tanesco Hilo halishindikani ndugu, hata wingu tu la mvua laweza kukatisha umeme!Ha ha ha ha kamvua ka asubuhi kameleta madhara jioni siyo!?