TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kuna uvumi unaendelea mtaani kuwa Tanesco wanaplan kuwarudisha watu wrote kwenye tarrif 1. Hili lina ukweli?
Ni kweli kabisa
Mimi nimepewa taarifa na Tanesco makao makuu watu wote wanaoishi mjini watarudishwa tariff 1
Zoezi langu la kuomba nipewe haki yangu Mimi natumia umeme chini ya unit 35 kwa mwezi
Wakanipigia sim wenyewe Tanesco makao makuu ubungo wanampango wa kuwarudisha wateja wote wa mjini tariff 1 hayo ndio majibu yao.
 
Ata mimi nimejibiwa hvyo pale Tanesco kibaoni,kuwa sasa hv mjini hakuna hakuna huduma ya tariff 4 kuanzia sasa,wanasema shirika linapata hasara,ndio maana hapa kwenye jukwaa hili swali tanesco hawajibu,inabid tupeleke malalamiko yetu Wizarani
 
  • Thanks
Reactions: ADK
Kuunganishiwa huduma ya umeme, malipo yalifanyika Juni 2016, mahitaji ni pomoja na nguzo moja. Hivi hadi miezi minne au zaidi ndo nipate huduma? Nipo Iringa manispaa!
Jina
Namba ya simu
Eneo lako tafadhali
 
Sitaacha kuwashukuru kwa kazi mnayoifanya maana ni ngumu na changamoto kibao japo bado Niko njia panda. Niliwahi kuuliza humu suala nikajibiwa vizuri sana na hadi simu nikapigiwa lakini ukweli hadi sasa sioni dalili. Swali ni hivi; Kijiji cha MABUYE kata KASSAMBYA Wilaya ya MISSENYI Mkoani KAGERA ni lini kitapatiwa umeme wa REA maana vijiji vilivyo kizunguka karibia vina umeme ila chenyewe na vitongoji vyake vya KIJUKA, MABUYE, RUHAMA na ITALA vimebaki katikati tu bila umeme. Naomba kujulishwa juu ya hili. Hivyo naomba kujulishwa kama kimo au hakimo, na kama kimo ni lini kutapatiwa? Nitashukuru kujibiwa.
Tutakupatia mrejesho mpendwa mteja wetu
 
Uhaba wa nguzo ndiyo sababu tunayopewa huku Iringa ya kucheleweshewa huduma, nguzo 1 tu, mteja utasubiri zaidi ya miezi 3, yaani zaidi ya siku zao 60 za jazi.Hii ni kutengeneza mazingira ya rushwa.
 
Sitaacha kuwashukuru kwa kazi mnayoifanya maana ni ngumu na changamoto kibao japo bado Niko njia panda. Niliwahi kuuliza humu suala nikajibiwa vizuri sana na hadi simu nikapigiwa lakini ukweli hadi sasa sioni dalili. Swali ni hivi; Kijiji cha MABUYE kata KASSAMBYA Wilaya ya MISSENYI Mkoani KAGERA ni lini kitapatiwa umeme wa REA maana vijiji vilivyo kizunguka karibia vina umeme ila chenyewe na vitongoji vyake vya KIJUKA, MABUYE, RUHAMA na ITALA vimebaki katikati tu bila umeme. Naomba kujulishwa juu ya hili. Hivyo naomba kujulishwa kama kimo au hakimo, na kama kimo ni lini kutapatiwa? Nitashukuru kujibiwa.
Tutakupatia mrejesho mpendwa mteja wetu
 
Buhongwa mwanza mmetukatia tena jioni hii kuna nini jaman waungwana tuanalala giza
 
Hakuna Umeme kwa masaa kadhaa Sasa, Nini shida? Huku Nyegezi, Mkolani Kuna Tatizo gani la kiufundi? Au kale kamvua ka asubuhi?
 
Back
Top Bottom