Swala hili tumelitolea ufafanuzi mara kadhaa ni kwamba hakuna mteja wa nyumbani anaweza kuwekwa kundi la viwanda na hakuna kilichobadilika kwenye makundi ya watumiajiHili swali la tariff hawajibu sijui kwa nn?nimeshauliza mpaka page yao ya Facebook hawajibu
Ujue unapojibu kumbuka kuwa unajibu watu wazima?mm nipo tariff 1 kuna jirani yangu nae alikuwa tariff hyo sasa yeye kahamishwa miezi mitatu iliyopita kawekwa tariff 4,mm nimeenda Tanesco ili nihamishwe na ona mizengwe mingi wakati nakizi vigezo,alafu wewe unasema umeme wa majumbani wote tariff zinafanana ,kivp?alafu huwa unajibu hivi but nikiendelea kukupa ufafanuzi unakimbia hii mara 10 sasa,Swala hili tumelitolea ufafanuzi mara kadhaa ni kwamba hakuna mteja wa nyumbani anaweza kuwekwa kundi la viwanda na hakuna kilichobadilika kwenye makundi ya watumiaji
Kayanga 0769001974Eneo gani haswa karagwe na namba yako ya simu tafadhali
Weka maelezo ukionyesha namba yako ya mita kwa kuwa hii inahusiana na matumizi yako wewe binafsi.wateja wote wanakaa.kwenye makundi yanayoendana na matumizi yaoKwanini mnabadilishia watu tarrif kutoka tarrif ndogo kwenda kubwa wakati matumizi ni ya kawaida sana na kudai kuwa ni ukaguzi wakati mnatuibia ina maana hizo mitters si zimefungwa system ambayo mnaweza kujua matumizi ya kawaida ya kila mteja? Huku ni kuibia wananchi toka august mnakagua nini? Na hizi mitter ni digital sio kama zile manual za catout
miter number yangu ni 24210087060,natumia nane kwa mwezi zikizidi ni units kumi,niko moshiWeka maelezo ukionyesha namba yako ya mita kwa kuwa hii inahusiana na matumizi yako wewe binafsi.wateja wote wanakaa.kwenye makundi yanayoendana na matumizi yao
Tunaomba namba yako ya mita na ya simu tupitie manunuzi yako.Swala la tariff ni la mtumiaji wa umeme wa mita husika hivyo tunataraji mtu akilet ombi au lalamiko liwe la mita yakehiki kizungu mkuti cha makundi ya tarif kila mteja anajibiwa kivyake vyake na mtu huyo huyo mmoja
Vigezo na masharti ni mteja anaetumia umeme chini ya unit 75 kwa mwezi
Ndani ya miezi 6 asivuke hiko kiwango
Yaani matumizi yake ni unit 60,59 na kushuka chini huyu anatakiwa awe kundi la matumizi madogo tarif 4
Tarif 1 ni yule anaevuka matumizi kutoka 75 kwenda 76 na kuendelea
Sisi wateja ndio tunafahamu hivyo
Kama utaratibu umebadilika si mseme tu
hizi ngonjera za serikalini zipo mbaka kule wizara ya afya
Watoto chini ya miaka mitano matibabu bure ukienda hospital dawa unakwenda kununua pharmacy hiyo bure yenu ni nini hapo?.
Ndugu mpendwa mtejamimi nataka kuhama na mita yangu ya luku..naiomba kufahamu je nitalipia kiasi gani ili tanesco waweze kuja kuiondoa hii mita ya hapa nyumbani na kwenda kufunga kule ninapo hamia...na huku ninapoondoka wafunge nyingine
Inategemea na umbali uliopo kutoka kwenye miundombinu ya umeme na waliokutanguliaNiliomba kuunganishiwa umeme nimeambiwa gharama ya kufungiwa umeme iko teyali na nimeorodheshewa na bei nahitajika nikalipe je nikilipa inachukua mda gani Kuja kufungiwa umeme?