Nilisha kuelezea hapa kuwa tunadai Tanesco Arusha malipo ya fidia ya kuunguziwa vifaa .
Tutajuaje ni madai gani na nani?kumbuka taarifa kamili ndio inatuongoza
 
Hivi ni kweli kwamba tatizo la umeme ipo siku litaisha. Na serikali inafikiria nini kwa watu waliojiajiri kwa kutumia umeme pamoja na viwanda na mda huo wanalipia kodi. Lakini hakuna shughuli za serikali zinazo kwama kwa kukatika umeme?...
 
TANESCO sisi tunaofanya biashara ya mashine tunatumia njia tatu (three phase) huku NYAMIKOMA NYAMONGO UMEME HAUNA NGUVU NA LEO NI SIKU YENYE WATEJA WENGI TUNAOMBA MSAADA WA HARAKA KUTATUA TATIZO. Mashine haiwaki taa zinasoma Njia Mbili(Two phase) tafadhali sana.
 
Tutajuaje ni madai gani na nani?kumbuka taarifa kamili ndio inatuongoza

TANESCO sisi tunaofanya biashara ya mashine tunatumia njia tatu (three phase) huku NYAMIKOMA NYAMONGO UMEME HAUNA NGUVU NA LEO NI SIKU YENYE WATEJA WENGI TUNAOMBA MSAADA WA HARAKA KUTATUA TATIZO. Mashine haiwaki taa zinasoma Njia Mbili(Two phase) tafadhali sana.
 
Tutajuaje ni madai gani na nani?kumbuka taarifa kamili ndio inatuongoza
TANESCO sisi tunaofanya biashara ya mashine tunatumia njia tatu (three phase) huku NYAMIKOMA NYAMONGO UMEME HAUNA NGUVU NA LEO NI SIKU YENYE WATEJA WENGI TUNAOMBA MSAADA WA HARAKA KUTATUA TATIZO. Mashine haiwaki taa zinasoma Njia Mbili(Two phase) tafadhali sana.
 
Attachments

  • 15389773804621523900295.jpg
    52.5 KB · Views: 34
Tunaomba namba yako ya simu tufatilie swala hili
Tanesco naomba kupatiwa mrejesho wa swala langu, ni wiki sasa toka nimewapatia namba lakini bado naona kimya. Ninatoa tena namba yangu 0759044229
 
Tanesco naomba kupatiwa mrejesho wa swala langu, ni wiki sasa toka nimewapatia namba lakini bado naona kimya. Ninatoa tena namba yangu 0759044229
Kama ambavyo tumekueleza kwenye simu mpendwa mteja swala hili tunalifahamu tumelipokea
 
Tunaomba eneo lako na namba ya simu kwa hatua zaidi
 
Nyie watu; kuna mtu mmeshawahi kutatua tatizo lake kweli? Kutokana na kazi zangu nalazimika kuhama miji na kazi. Na kila nikipanga nyumba huwa nauliza kama kuna deni la umeme kwenye meter ninayohamia. Lakini ama sipewi majibu au naambiwa hakuna shida halafu baadae nakatwa deni nikiwa nanunua umeme. Akaunti yenu hapa ina kazi gani?
 
Ndugu mpendwa mteja wetu nenda moja kwa moja kwa unacholalamikia huku ukitoa taarifa ya maelezo ya jambo lako na mawasiliano yako.huu ni ukurasa wa kukuhudumia wewe
 
Naomba kufahamu ni vigezo gani vinatumika kuwaondoa Watu katika hii tarifu us chini?mimi niko moshi Vijijini na nimebadilishwa na sijavunja masharti,natumia unit chini ya 30 kwa mwezi
 
Nimepatiwa Umeme!!!!!
Haikuwa rahisi
Hongera sana mkuu mbavu mbili. Mimi wa:
Malipo yamepokelewa kwenda Tanzania Electric Supply Company Limited
Ankara Na: 991030225197
Kiasi: 515617.52 TZS
Risiti Na: 99003454909
Tarehe: 2018-06-29T17:02:43
Kupitia:EC100204944699
NITASUBIRI SANA!
 
Salama Tanesco,
Kuna tatizo la umeme ,Maji ya chai-kijiji cha embaseni,Usa River,Arusha,toka juzi umeme unawaka na kuzima.Mara nyingi sana.Tafadhali Tanesco tunaomba mtatue hili tatizo.
 
Salama Tanesco,
Kuna tatizo la umeme ,Maji ya chai-kijiji cha embaseni,Usa River,Arusha,toka juzi umeme unawaka na kuzima.Mara nyingi sana.Tafadhali Tanesco tunaomba mtatue hili tatizo.
Eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mteja wetu
 
Hongera sana mkuu mbavu mbili. Mimi wa:
Malipo yamepokelewa kwenda Tanzania Electric Supply Company Limited
Ankara Na: 991030225197
Kiasi: 515617.52 TZS
Risiti Na: 99003454909
Tarehe: 2018-06-29T17:02:43
Kupitia:EC100204944699
NITASUBIRI SANA!
Unahotaji nguzo moja swala lako tumelipokea mkuu
 
Reactions: ank
Salaam Tanesco, napenda kuwashukuru kwa kusikia kelele na vilio vyangu juu ya kupelekewa huduma ya Rea kwenye kijiji cha Mabuye Wilayani Missenyi mkoani Kagera kwani mpaka sasa shughuli inaendelea kwa vitongoji vya MABUYE na RUHAMA. Lakini nirudishe kilio changu tena kwenu kwamba taarifa iliyopo kuna vitongoji viwili vya KIJUKA na ITALA mkandarasi anayeshughulika na mazingira haya bado hajapoke ramani wala maelekezo yoyote juu ya vitongoji hivi viwili hivyo hofu yangu ni kwamba vitongoji hivi amabavyo vina wakaazi wengi sana vinaweza kusalia bila Umeme. Chonde chonde Tanesco naomba msaidie hata vitongoji hivi visipitwe Huduma hii Bali vipatiwe pia. Nitashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…