Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutajuaje ni madai gani na nani?kumbuka taarifa kamili ndio inatuongoza
TANESCO sisi tunaofanya biashara ya mashine tunatumia njia tatu (three phase) huku NYAMIKOMA NYAMONGO UMEME HAUNA NGUVU NA LEO NI SIKU YENYE WATEJA WENGI TUNAOMBA MSAADA WA HARAKA KUTATUA TATIZO. Mashine haiwaki taa zinasoma Njia Mbili(Two phase) tafadhali sana.Tutajuaje ni madai gani na nani?kumbuka taarifa kamili ndio inatuongoza
Tanesco naomba kupatiwa mrejesho wa swala langu, ni wiki sasa toka nimewapatia namba lakini bado naona kimya. Ninatoa tena namba yangu 0759044229Tunaomba namba yako ya simu tufatilie swala hili
Kama ambavyo tumekueleza kwenye simu mpendwa mteja swala hili tunalifahamu tumelipokeaTanesco naomba kupatiwa mrejesho wa swala langu, ni wiki sasa toka nimewapatia namba lakini bado naona kimya. Ninatoa tena namba yangu 0759044229
Tunaomba eneo lako na namba ya simu kwa hatua zaidiTANESCO sisi tunaofanya biashara ya mashine tunatumia njia tatu (three phase) huku NYAMIKOMA NYAMONGO UMEME HAUNA NGUVU NA LEO NI SIKU YENYE WATEJA WENGI TUNAOMBA MSAADA WA HARAKA KUTATUA TATIZO. Mashine haiwaki taa zinasoma Njia Mbili(Two phase) tafadhali sana.
Ndugu mpendwa mteja wetu nenda moja kwa moja kwa unacholalamikia huku ukitoa taarifa ya maelezo ya jambo lako na mawasiliano yako.huu ni ukurasa wa kukuhudumia weweNyie watu; kuna mtu mmeshawahi kutatua tatizo lake kweli? Kutokana na kazi zangu nalazimika kuhama miji na kazi. Na kila nikipanga nyumba huwa nauliza kama kuna deni la umeme kwenye meter ninayohamia. Lakini ama sipewi majibu au naambiwa hakuna shida halafu baadae nakatwa deni nikiwa nanunua umeme. Akaunti yenu hapa ina kazi gani?
Hongera sana mkuu mbavu mbili. Mimi wa:Nimepatiwa Umeme!!!!!
Haikuwa rahisi
Eneo gani haswa na namba yako ya simu mpendwa mteja wetuSalama Tanesco,
Kuna tatizo la umeme ,Maji ya chai-kijiji cha embaseni,Usa River,Arusha,toka juzi umeme unawaka na kuzima.Mara nyingi sana.Tafadhali Tanesco tunaomba mtatue hili tatizo.
Unahotaji nguzo moja swala lako tumelipokea mkuuHongera sana mkuu mbavu mbili. Mimi wa:
Malipo yamepokelewa kwenda Tanzania Electric Supply Company Limited
Ankara Na: 991030225197
Kiasi: 515617.52 TZS
Risiti Na: 99003454909
Tarehe: 2018-06-29T17:02:43
Kupitia:EC100204944699
NITASUBIRI SANA!