Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Tunaomba namba yako ya mita,wilaya na namba ya simu tafadhalisamahani mkuu mimi naomba tu ufafanuzi, logic ya mtu alipie kwanza unit 40 kisha mje mtume baadae baada ya kusota sana kusubiria ni nini???
pili logic ya kumpa mtu meter akaakae nayo siku tatu then aje ahangaike tena kituoni siku mbili nzima akifatilia meter yake kuingizwa kwenye system ni nini??? kwanini mkienda unganisha msiingize meter then kwenye system kabisa??? niliwahi kaa giza siku mbili kwa kushindwa kuunganishiwa meter kwenye system pesa ipo huwezi kununua umeme, nikienda Tanesco kimara wanaita ipo mbezi pale nikakuta umeme napo umekatika siku nzima siku ya pili mara mtandao unasumbua nilikuja kuunganishiwa siku ya tatu
Tunashukuru sana mpendwa myeja wetuNAWASHUKURU SANA TANESCO KWA USIKIVU WENU NA ZAIDI KWA KUSHUGHULIKIA KWA WAKATI CHANGAMOTO ZETU WATEJA WENU HASA ZILE TUNAZOZIAINISHA KUPITIA UKURASA HUU.
WIKI MBILI ZILIZOPITA NILILETA LALAMIKO LANGU LA KUCHELEWESHEWA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME KWA ZAIDI YA MIEZI MINNE(more than 60 working days as per agreements). NAONA MOD. WA PAGE HII UMEFANYIA KAZI SUALA LANGU KAMA ULIVYOAHIDI. AHSANTE SANA, TANESCO, MNAYAANGAZA MAISHA!
Kuhusu unit 10 unazopewa ni uamtaratibu tunaokukopesha wakati mita yako inasajiliwa.kama ilichelewa tunaomba radhi sana na tupatie taarifa tuifanyie kazi mpendwa mteja wetusamahani mkuu mimi naomba tu ufafanuzi, logic ya mtu alipie kwanza unit 40 kisha mje mtume baadae baada ya kusota sana kusubiria ni nini???
pili logic ya kumpa mtu meter akaakae nayo siku tatu then aje ahangaike tena kituoni siku mbili nzima akifatilia meter yake kuingizwa kwenye system ni nini??? kwanini mkienda unganisha msiingize meter then kwenye system kabisa??? niliwahi kaa giza siku mbili kwa kushindwa kuunganishiwa meter kwenye system pesa ipo huwezi kununua umeme, nikienda Tanesco kimara wanaita ipo mbezi pale nikakuta umeme napo umekatika siku nzima siku ya pili mara mtandao unasumbua nilikuja kuunganishiwa siku ya tatu
Ndugu mpendwa mteja tunapenda kupokea taarifa yako huku tukikusihii kuwa kama papo ulipoombwa rushwa toa taarida vyombo vya dola au TAKUKURU na sio kutoa tuhuma bila ushahidi au kuchukua hatua.Kilometa moja kutoka Mbande Magengeni sehemu inaitwa Tambani giza totoro cha ajabu mwanzo wa mji hakuna umeme, manguzo na umeme umewekwa mbele ya mji.. Hivi huu urasimu utaisha lini Tanesco?? Nusu ya nchi iko giza kwa urasimu na rushwa, haya mambo yataisha lini jamani???
Wilaya,eneo namba ya simu tafadhaliNahitaji kupata umeme kwenye eneo langu. Maana hauwaki kwasababu niliwekewa umeme kama mteja mpya afu kwa bahati mbaya nikawa sina socket breker ko wakadai niweke hiyo soket afu niwapigie simu wanii ngize kwenye system. Matokeo yake nawapigia simu wananiambia nibonyeze 1234 umeme utawaka. Nimejaribu hujawaka ko naombeni msaada ili nipate msaada.
Eneo, namba ya simu na jina uliloombea umeme tafadhaliMim naitwa JAPHERT FRADIUS FRANCIS nimeenda kuomba umeme tangu tarehe 4 Sept Tanesco ya tegeta lakin mpka Leo Ata savey sijapewa kila nikienda naambiwa ntapigiwa simu namim Nina Shida sijui naweza kufanya je maana mchoro nimeisha peleka
Eneo ni boko chasimba Karibu na shule ya msingi jina nililo sajilia ni JAPHERT FRADIUS FRANCISEneo, namba ya simu na jina uliloombea umeme tafadhali
0659796147Eneo ni boko chasimba Karibu na shule ya msingi jina nililo sajilia ni JAPHERT FRADIUS FRANCIS
0659796147Eneo, namba ya simu na jina uliloombea umeme tafadhali