TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Naomba nibadilishiwe kwenda kwenye tarrif 4 manake matumizi yangu hayazidi units 40 kwa mwezi mita yangu hii 24219652385
 
NAWASHUKURU SANA TANESCO KWA USIKIVU WENU NA ZAIDI KWA KUSHUGHULIKIA KWA WAKATI CHANGAMOTO ZETU WATEJA WENU HASA ZILE TUNAZOZIAINISHA KUPITIA UKURASA HUU.
WIKI MBILI ZILIZOPITA NILILETA LALAMIKO LANGU LA KUCHELEWESHEWA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME KWA ZAIDI YA MIEZI MINNE(more than 60 working days as per agreements). NAONA MOD. WA PAGE HII UMEFANYIA KAZI SUALA LANGU KAMA ULIVYOAHIDI. AHSANTE SANA, TANESCO, MNAYAANGAZA MAISHA!
 
samahani mkuu mimi naomba tu ufafanuzi, logic ya mtu alipie kwanza unit 40 kisha mje mtume baadae baada ya kusota sana kusubiria ni nini???

pili logic ya kumpa mtu meter akaakae nayo siku tatu then aje ahangaike tena kituoni siku mbili nzima akifatilia meter yake kuingizwa kwenye system ni nini??? kwanini mkienda unganisha msiingize meter then kwenye system kabisa??? niliwahi kaa giza siku mbili kwa kushindwa kuunganishiwa meter kwenye system pesa ipo huwezi kununua umeme, nikienda Tanesco kimara wanaita ipo mbezi pale nikakuta umeme napo umekatika siku nzima siku ya pili mara mtandao unasumbua nilikuja kuunganishiwa siku ya tatu
 
Tunaomba namba yako ya mita,wilaya na namba ya simu tafadhali
 
NAWASHUKURU SANA TANESCO KWA USIKIVU WENU NA ZAIDI KWA KUSHUGHULIKIA KWA WAKATI CHANGAMOTO ZETU WATEJA WENU HASA ZILE TUNAZOZIAINISHA KUPITIA UKURASA HUU.
WIKI MBILI ZILIZOPITA NILILETA LALAMIKO LANGU LA KUCHELEWESHEWA HUDUMA YA KUUNGANISHIWA UMEME KWA ZAIDI YA MIEZI MINNE(more than 60 working days as per agreements). NAONA MOD. WA PAGE HII UMEFANYIA KAZI SUALA LANGU KAMA ULIVYOAHIDI. AHSANTE SANA, TANESCO, MNAYAANGAZA MAISHA!
Tunashukuru sana mpendwa myeja wetu
 
  • Thanks
Reactions: ank
samahani mkuu mimi naomba tu ufafanuzi, logic ya mtu alipie kwanza unit 40 kisha mje mtume baadae baada ya kusota sana kusubiria ni nini???

pili logic ya kumpa mtu meter akaakae nayo siku tatu then aje ahangaike tena kituoni siku mbili nzima akifatilia meter yake kuingizwa kwenye system ni nini??? kwanini mkienda unganisha msiingize meter then kwenye system kabisa??? niliwahi kaa giza siku mbili kwa kushindwa kuunganishiwa meter kwenye system pesa ipo huwezi kununua umeme, nikienda Tanesco kimara wanaita ipo mbezi pale nikakuta umeme napo umekatika siku nzima siku ya pili mara mtandao unasumbua nilikuja kuunganishiwa siku ya tatu
Kuhusu unit 10 unazopewa ni uamtaratibu tunaokukopesha wakati mita yako inasajiliwa.kama ilichelewa tunaomba radhi sana na tupatie taarifa tuifanyie kazi mpendwa mteja wetu
 
Jamani umeme mwanza kwenye magorofa ya mkuyuni sokoni kuna moja halina umeme na maeneo ya jirani tunaomba mtusaidie tokea mchana,jioni hii umerud na kukatika hata dakika moja haikufika tunaomba mtusaidie tuangalie sultan jaman[emoji1666]
 
Kilometa moja kutoka Mbande Magengeni sehemu inaitwa Tambani giza totoro cha ajabu mwanzo wa mji hakuna umeme, manguzo na umeme umewekwa mbele ya mji.. Hivi huu urasimu utaisha lini Tanesco?? Nusu ya nchi iko giza kwa urasimu na rushwa, haya mambo yataisha lini jamani???
 
Ndugu mpendwa mteja tunapenda kupokea taarifa yako huku tukikusihii kuwa kama papo ulipoombwa rushwa toa taarida vyombo vya dola au TAKUKURU na sio kutoa tuhuma bila ushahidi au kuchukua hatua.
 
Mim naitwa JAPHERT FRADIUS FRANCIS nimeenda kuomba umeme tangu tarehe 4 Sept Tanesco ya tegeta lakin mpka Leo Ata savey sijapewa kila nikienda naambiwa ntapigiwa simu namim Nina Shida sijui naweza kufanya je maana mchoro nimeisha peleka
 
Nahitaji kupata umeme kwenye eneo langu. Maana hauwaki kwasababu niliwekewa umeme kama mteja mpya afu kwa bahati mbaya nikawa sina socket breker ko wakadai niweke hiyo soket afu niwapigie simu wanii ngize kwenye system. Matokeo yake nawapigia simu wananiambia nibonyeze 1234 umeme utawaka. Nimejaribu hujawaka ko naombeni msaada ili nipate msaada.
 
Wilaya,eneo namba ya simu tafadhali
 
Mim naitwa JAPHERT FRADIUS FRANCIS nimeenda kuomba umeme tangu tarehe 4 Sept Tanesco ya tegeta lakin mpka Leo Ata savey sijapewa kila nikienda naambiwa ntapigiwa simu namim Nina Shida sijui naweza kufanya je maana mchoro nimeisha peleka
Eneo, namba ya simu na jina uliloombea umeme tafadhali
 
huu umeme wenu mliotuletea sngea hautusaidii sanasana umekuwa kero kubwa kwetu watumiaji wa nishati hii.
 
Back
Top Bottom