Tunaomba namba yako ya simu tafadhali
 
Tuma kwenye email hii
customer.service@tanesco.co.tz
 
Yapo mazingira yanayaoweza kupelekea mteja abadilishwe kundi la matumizi.tunaomba namba yako ya mita na ya simu tukupatie ufafanuzi zaidi
Nimeshaitumia kwa njia ya email yenu. Namba ipo hapo pia
 
Kuna uhakiki wa wateja unaendelea hivyo wateja wote wanawekwa makundi yanayoendana na matumizi yao
Asanteee........ Lakin had lini zoez hlo? mana gharama zinaonekana kuwa kubwa kwetu
 
Wilaya
Momba:
EneoTAZARA -TUNDUMA
Namba ya simu:
0684187248
Namba ya mita
24213768203
Tatizo: Umeme unakatika kila siku jioni unakaa kwa saa kadha ndipo urudi. Niko na watu wengine line hii na wengine nguzo moja lakini hawapati
tatizo hili. Nimeshaenda Tanesco mara nyingi maambiwa umeme ni mdogo!! Niliuliza kwanini kwangu tu? Nikajibiwa siyo kwako tu! Sijawahi kuona mtaalamu akija kukagua hata kwenye nguzo yenye mita au labda mita ina shida nk. Nimechoka kukanyaga Tanesco. Naomba msaada.
 
Tumepokea taarif kwa hatua zaid mpendwa mteja
 
Eneo hili linapata umeme mdogo (low voltage), wataalam wamekwenda mara kadhaa na kufanikiwa kubaini chanzo cha tatizo. Tupo katika hatua za mwisho kupeleka mradi wa kuboresha hali ya umeme eneo hilo
 
Nashukuru kwa majibu maana hii inaonyesha mnajali.Na yamkini feasibility study imefanyika! Naomba kueleweshwa kama mteja ( Technically) Ni sababu zipi zinazopelekea umeme ukatike kwangu tu na sio kwa jirani zangu wa line moja na nguzo moja? Umeme unakuwaje mdogo kwangu tu?
 
Kuna uhakiki wa wateja unaendelea hivyo wateja wote wanawekwa makundi yanayoendana na matumizi yao
Mnachunguza kwa muda gani maana mifumo yenu najua mwaweza track matumizi ya kila mita husika, tokea nipo tariff 4 matumizi ya hayajawahi fikia unit 60 kwa mwezi. Sasa muda huu mnaangalia unit ama kiasi cha pesa kilichotumika, maana umeme wa chini ya 10000 hautokidhi mahitaji ya mwezi tena inabidi kununua angalau wa 15000 ambayo ni mara mbili ya kiasi kilichokua kinatumika mwanzoni lakini unit zinazopatikana hazifikii 44.
 
Asanteni japo hili lilishindikana nikapiga tena makao makuu nikasaidiwa kwa kupatiwa namba ambazo ziliniwezesha kufanikisha kutatua tatizo langu, nashukuru kwa kijana aliyenihudumia alikua mkarimu sana maana nilikua nafanya movement toka kwangu na kwa jirani kulingana na option mbalimbali alizokua ananiambia tuzijaribu ili kupata utatuzi.
 
Tunashukuru sana mendwa mteja wetu
 
Upo kundi sahihi la matumuzi ya nyumbani endelea kufurahia huduma zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…