Upo kundi sahihi la matumizi ya nyumbani hakuna mteja anayeweka kundi tofauti na matumizi yake
Huu ni mkanganyiko, kama matumizi yangu ya mwanzo nimeyaeleza 7500 nilikua napata 61.5units saivi kwa hiyo hiyo bei ni unit 21.1 nashindwa kuelewa kwamba hili kundi ndio sahihi? Sipingi huo uhakiki wenu ila mseme zoezi litachukua muda gani kurudi hali ya awali
 
Katika hili naona hatupew majib............ TANESCO hyo kitu mbona kama fumbo!??!..tunataka kujua hii sindano had lini!??
 
Matumizi yako yapo sawa mpendwa mteja upo.kundi la matumizu ya nyumban kwa maelezo zaidi tunaomba namba yako ya mita na namba ya simu
 
Inakuaje tuuziane units moja kwa bei tofauti imean matumizi ya juu na matumizi ya chini ndo habari gani?.Kwa nini units zisiuzwe kama vocha i mean bei kwa unit zifanane tuje kupishana kwenye matumizi.HILI JAMBO LIZUNGUMZENI
 
TANESCO wanashangaza kweli, wanasema wanataka kukusanya hela while wana discourage watu kutumia umeme Kwa kiasi kikubwa, sasa watapataje hizo hela kama watu watabana matumizi ya umeme?
 
Kabla sijatoa hzo details.......... Nisema kwamba: nimehtaji kujua had lain, kwasabab niliuliza tenesco hapa Himo nikaambiwa kuwa ni zoez la miez 3 then mambo yatarejea kawaida...... SAsa hlo limekaaje Ndugu Mwakilishi
Matumizi yako yapo sawa mpendwa mteja upo.kundi la matumizu ya nyumban kwa maelezo zaidi tunaomba namba yako ya mita na namba ya simu
 
TANESCO wanashangaza kweli, wanasema wanataka kukusanya hela while wana discourage watu kutumia umeme Kwa kiasi kikubwa, sasa watapataje hizo hela kama watu watabana matumizi ya umeme?
Tunaomba kukujulisha kuwa bei ya umeme inazidi kupungua kutokana na matumizi ya mteja ndio maana wanaotumia matumizi makubwa kama viwanda bei ni 157 Tsh kwa unit wakati majumbani ni 292 Tsh kwa unit.
 
Kabla sijatoa hzo details.......... Nisema kwamba: nimehtaji kujua had lain, kwasabab niliuliza tenesco hapa Himo nikaambiwa kuwa ni zoez la miez 3 then mambo yatarejea kawaida...... SAsa hlo limekaaje Ndugu Mwakilishi
Tunashukuru
 
Tunaomba kukujulisha kuwa bei ya umeme inazidi kupungua kutokana na matumizi ya mteja ndio maana wanaotumia matumizi makubwa kama viwanda bei ni 157 Tsh kwa unit wakati majumbani ni 292 Tsh kwa unit.
Naomba kufaham haya mabadiliko yameanza toka lini
 
Haya sio mabadiliko mapya bali ndio ilivyo toka mwanzo.lazima bei kwa wateja wakubwa iwe ndogo ili kudhibiti mfumo wa bei.wekeza ufurahie umeme wa bei ya chini zaidi
 
Tunaomba kukujulisha kuwa bei ya umeme inazidi kupungua kutokana na matumizi ya mteja ndio maana wanaotumia matumizi makubwa kama viwanda bei ni 157 Tsh kwa unit wakati majumbani ni 292 Tsh kwa unit.
Hapa ndio Nimeelewa ss...... Lakin hii kitu kwann unakosa balance!??....yaan wote tununue vocha ya 500....mmoja apate airtime dk60 mwingine 20.....hii haiingii akilin!..... Kwa maana hyo matumizi ya nyumban yatawatia hasara endapo tutakuwa tunalipa sawa na wnye wiwanda @units!??....this is not fair....... Wananchi tushrikishwe hiz hesabu mana ni taharuki tuupuu!?....mtu kazoe kununua UNITS 24 Kwa 3000 leo anapata UNITS 8 tu.. Halafu tunapewa majb ya TARIF TARIF TARIF......... Mwananchi wa kawaida yy anachojua ni unafuu wa maisha...... Bahati nzuri Rais kasema umeme unashushwa gharama....... Ss matumiz ya nyumba au madogo ni Misfortune!?! TANESCO PLZ
 
Haya sio mabadiliko mapya bali ndio ilivyo toka mwanzo.lazima bei kwa wateja wakubwa iwe ndogo ili kudhibiti mfumo wa bei.wekeza ufurahie umeme wa bei ya chini zaidi
Nakumbuka mwanzo matumizi ya nyumbani madogo ni tariff 4 , iweje sasa Leo mnamuuzia ghali kuliko wa viwanda tariff one, ndo maana nikasema mmebadilisha?
 
TANESCO inawapenda sana wateja wake kote nchini ndio maana tunapunguza bei ya umeme kwa wateja wenye matumizi makubwa kama viwanda hii unaiyona kwenye bei ya bidhaa ambaye mlaji ni wewe na wateja wengine.tukipandisha hapo ndani ya siki moja bidhaa zitapanda bei
 
Nakumbuka mwanzo matumizi ya nyumbani madogo ni tariff 4 , iweje sasa Leo mnamuuzia ghali kuliko wa viwanda tariff one, ndo maana nikasema mmebadilisha?
Matumizi ya nyumbani bado ni tarif 1 na 4 hivyo kila mteja anakaa kundi linaloendana na matumizi yake
 
Matumizi ya nyumbani ilikuwa tariff 4 mbona hamtufahamishi haya mabadiliko tujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…