Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kwamba itarudi automatically ama itakua ni hadi kuomba tena?Upo kundi sahihi la matumuzi ya nyumbani endelea kufurahia huduma zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba itarudi automatically ama itakua ni hadi kuomba tena?Upo kundi sahihi la matumuzi ya nyumbani endelea kufurahia huduma zetu
Huu ni mkanganyiko, kama matumizi yangu ya mwanzo nimeyaeleza 7500 nilikua napata 61.5units saivi kwa hiyo hiyo bei ni unit 21.1 nashindwa kuelewa kwamba hili kundi ndio sahihi? Sipingi huo uhakiki wenu ila mseme zoezi litachukua muda gani kurudi hali ya awaliUpo kundi sahihi la matumizi ya nyumbani hakuna mteja anayeweka kundi tofauti na matumizi yake
Katika hili naona hatupew majib............ TANESCO hyo kitu mbona kama fumbo!??!..tunataka kujua hii sindano had lini!??Huu ni mkanganyiko, kama matumizi yangu ya mwanzo nimeyaeleza 7500 nilikua napata 61.5units saivi kwa hiyo hiyo bei ni unit 21.1 nashindwa kuelewa kwamba hili kundi ndio sahihi? Sipingi huo uhakiki wenu ila mseme zoezi litachukua muda gani kurudi hali ya awali
Labda sio msemajiKatika hili naona hatupew majib............ TANESCO hyo kitu mbona kama fumbo!??!..tunataka kujua hii sindano had lini!??
Aseme sasa na atoe alternative ya kupata majbLabda sio msemaji
Matumizi yako yapo sawa mpendwa mteja upo.kundi la matumizu ya nyumban kwa maelezo zaidi tunaomba namba yako ya mita na namba ya simuKatika hili naona hatupew majib............ TANESCO hyo kitu mbona kama fumbo!??!..tunataka kujua hii sindano had lini!??
TANESCO wanashangaza kweli, wanasema wanataka kukusanya hela while wana discourage watu kutumia umeme Kwa kiasi kikubwa, sasa watapataje hizo hela kama watu watabana matumizi ya umeme?Inakuaje tuuziane units moja kwa bei tofauti imean matumizi ya juu na matumizi ya chini ndo habari gani?.Kwa nini units zisiuzwe kama vocha i mean bei kwa unit zifanane tuje kupishana kwenye matumizi.HILI JAMBO LIZUNGUMZENI
Matumizi yako yapo sawa mpendwa mteja upo.kundi la matumizu ya nyumban kwa maelezo zaidi tunaomba namba yako ya mita na namba ya simu
Tunaomba kukujulisha kuwa bei ya umeme inazidi kupungua kutokana na matumizi ya mteja ndio maana wanaotumia matumizi makubwa kama viwanda bei ni 157 Tsh kwa unit wakati majumbani ni 292 Tsh kwa unit.TANESCO wanashangaza kweli, wanasema wanataka kukusanya hela while wana discourage watu kutumia umeme Kwa kiasi kikubwa, sasa watapataje hizo hela kama watu watabana matumizi ya umeme?
TunashukuruKabla sijatoa hzo details.......... Nisema kwamba: nimehtaji kujua had lain, kwasabab niliuliza tenesco hapa Himo nikaambiwa kuwa ni zoez la miez 3 then mambo yatarejea kawaida...... SAsa hlo limekaaje Ndugu Mwakilishi
Unashukuru kwa lip!??Tunashukuru
Naomba kufaham haya mabadiliko yameanza toka liniTunaomba kukujulisha kuwa bei ya umeme inazidi kupungua kutokana na matumizi ya mteja ndio maana wanaotumia matumizi makubwa kama viwanda bei ni 157 Tsh kwa unit wakati majumbani ni 292 Tsh kwa unit.
Hapa ndio Nimeelewa ss...... Lakin hii kitu kwann unakosa balance!??....yaan wote tununue vocha ya 500....mmoja apate airtime dk60 mwingine 20.....hii haiingii akilin!..... Kwa maana hyo matumizi ya nyumban yatawatia hasara endapo tutakuwa tunalipa sawa na wnye wiwanda @units!??....this is not fair....... Wananchi tushrikishwe hiz hesabu mana ni taharuki tuupuu!?....mtu kazoe kununua UNITS 24 Kwa 3000 leo anapata UNITS 8 tu.. Halafu tunapewa majb ya TARIF TARIF TARIF......... Mwananchi wa kawaida yy anachojua ni unafuu wa maisha...... Bahati nzuri Rais kasema umeme unashushwa gharama....... Ss matumiz ya nyumba au madogo ni Misfortune!?! TANESCO PLZTunaomba kukujulisha kuwa bei ya umeme inazidi kupungua kutokana na matumizi ya mteja ndio maana wanaotumia matumizi makubwa kama viwanda bei ni 157 Tsh kwa unit wakati majumbani ni 292 Tsh kwa unit.
Nakumbuka mwanzo matumizi ya nyumbani madogo ni tariff 4 , iweje sasa Leo mnamuuzia ghali kuliko wa viwanda tariff one, ndo maana nikasema mmebadilisha?Haya sio mabadiliko mapya bali ndio ilivyo toka mwanzo.lazima bei kwa wateja wakubwa iwe ndogo ili kudhibiti mfumo wa bei.wekeza ufurahie umeme wa bei ya chini zaidi
TANESCO inawapenda sana wateja wake kote nchini ndio maana tunapunguza bei ya umeme kwa wateja wenye matumizi makubwa kama viwanda hii unaiyona kwenye bei ya bidhaa ambaye mlaji ni wewe na wateja wengine.tukipandisha hapo ndani ya siki moja bidhaa zitapanda beiHapa ndio Nimeelewa ss...... Lakin hii kitu kwann unakosa balance!??....yaan wote tununue vocha ya 500....mmoja apate airtime dk60 mwingine 20.....hii haiingii akilin!..... Kwa maana hyo matumizi ya nyumban yatawatia hasara endapo tutakuwa tunalipa sawa na wnye wiwanda @units!??....this is not fair....... Wananchi tushrikishwe hiz hesabu mana ni taharuki tuupuu!?....mtu kazoe kununua UNITS 24 Kwa 3000 leo anapata UNITS 8 tu.. Halafu tunapewa majb ya TARIF TARIF TARIF......... Mwananchi wa kawaida yy anachojua ni unafuu wa maisha...... Bahati nzuri Rais kasema umeme unashushwa gharama....... Ss matumiz ya nyumba au madogo ni Misfortune!?! TANESCO PLZ
Matumizi ya nyumbani bado ni tarif 1 na 4 hivyo kila mteja anakaa kundi linaloendana na matumizi yakeNakumbuka mwanzo matumizi ya nyumbani madogo ni tariff 4 , iweje sasa Leo mnamuuzia ghali kuliko wa viwanda tariff one, ndo maana nikasema mmebadilisha?
Matumizi ya nyumbani ilikuwa tariff 4 mbona hamtufahamishi haya mabadiliko tujueMatumizi ya nyumbani bado ni tarif 1 na 4 hivyo kila mteja anakaa kundi linaloendana na matumizi yake