tinkanyarwele
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 2,016
- 1,946
Shukrani ngoja tuendelee kuvumiliaMkuu tulikupatia mrejesho hapo awali kuwa tunaomba uvumilivu wakati swala lenu linafanyiwa kazi
tunaomba namba yako ya mita tuangalie manunuzi yakoTANESCO naombeni maelezo kwenye hili swala la tariffs mfano kuna mtu anatumia umeme mkubwa but still yupo tarrif 4 ila mm nina nyumba ina room 3 situmii fridge wala jiko la umeme but nimejikuta nimehamishwa kweny tarrif 1 ukizingatia kwa mwezi matumiz yangu ya umeme nimadogo mno
Ndugu mpendwa mteja wetu tunakujulisha kuwa TANESCO ina WhatsApp group za wateja wilaya zote na huduma zinatolewa kwa wateja wetu muda wa masaa 24. Aidha mbali ya WhatsApp Groups tunanjia nyingine zifuatazo:Kama tanesco mikoa yote watafanya kama wanavyofanya tanesco Tabata kusingelikuwa na malalamiko,tabata wameanzisha group la whatsap angalau taarifa zote hutumwa za malalamiko,na hata za kuwajulisha wananchi kitakachoendelea kwenye mitaa yao kama kukatika kwa umeme n.k
Tabata wapo vizuri sana likitokea tatizo haraka kupitia mawasiliano tunajulishana,kidogo tatizo muhasibu wao anajiskia sana na kuringa kupitiliza na kudhoorotesha mazuri mengi yanayofanywa na uongozi wa pale.
Meter number 54130195008tunaomba namba yako ya mita tuangalie manunuzi yako
Tanesco naomba mniunge whatsap group wilaya ya ukonga, 0714495367Ndugu mpendwa mteja wetu tunakujulisha kuwa TANESCO ina WhatsApp group za wateja wilaya zote na huduma zinatolewa kwa wateja wetu muda wa masaa 24. Aidha mbali ya WhatsApp Groups tunanjia nyingine zifuatazo:
www.facebook.com/tanescoyetu
www.twitter.com/tanescoyetu
Jamii forum hapa unapochat nasisi
www.tanesco.co.tz
Telegram
Na TANESCO App comming soon
UONGOZI UMEPOKEA PONGEZI ZAKO ZA DHATI.SHUKRANI SANA
Yanini kusemasema.. Yaani dada yupo kazini tuboreshewe umeme wewe unaleta ukuda.. Ngoja wakunyooshe.. Wakushikishe adabuLeo nilipita ofisini kwenu kurasini DSM kitengo cha procurement nimeonana na mdada mmoja akaniambia yupp field kutoka TIA DSM mid namfahamu ni MTU was TISS na kabla ya kuja hapo kwenu alikuwa bandari najua akimaliza kazi take mtatafutana hapo kama sisi kula bandari NASA haha charisma tu muwe makini
Nipo Ukerewe MwanzaEneo
Wilaya
Namba ya simu
Inaonekana Kama meter imetamper ....Tumetafuta suluhisho kutoka kwenu lakini mpaka Sasa hakuna msaada.Nipo Ukerewe Mwanza,namba ya simu 0756262899Wilaya gani
Namba ya simu
Tatizo lako tafadhali
Jamaani toka ijuma iliyopita yaani sio hii ya janaInaonekana Kama meter imetamper ....Tumetafuta suluhisho kutoka kwenu lakini mpaka Sasa hakuna msaada.Nipo Ukerewe Mwanza,namba ya simu 0756262899
Tunakaa kiza angali sababu za kukaa na umeme zipoJamaani toka ijuma iliyopita yaani sio hii ya jana
Ukerewe Ni kisiwani na igogo Ni Mwanza mjini hivyo no relationshipT
Tunakaa kiza angali sababu za kukaa na umeme zipo
Tanesco namba yangu ya meter hii naombeni mjaribu kuangalia ili mnipe muongozo kipi nifanye.Meter number 54130195008