Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Nmekuambia nmepewa unit 10 sio 50 hizo 50 unazosema ww ni kwa zamani kwa sasa wanatoa 10 sasa labda kama wanakuongeza baada ya kununua ndio maana niko hapa kutaka kujua zaidiKwa kawaida Mita mpya huwa unapewa units 50 ambazo utakujakatwa tsh 18,000 pindi utapoanza nunua umeme
Kwa hivyo tia akilini kuwa ulipewa unit 50 na sio 10
Ook angalua sasa wewe naweza kukuelewa sasa mkuu watanipa mda wanaojiskia siwezi kuwafata wakawahi kunipa hizo 40 zilizobaki au hawachelewi sana.Mkuu hiyo inakuwa hivi unapewa unit 10 lakini wanakukata pesa ya unit 50 kitakachofanyika baada ya muda watakutumia unit 40 zilizobakia.
Kwahyo wewe endelea kutumia hizo ulizolipia hata zikiisha endelea kununua wakiwa tayari utatumiwa zilizobaki.
Albinoomweusi unaona jamaa alivojibu hapa juu kidogo sio ww unakirupuka tu vitu hata hujui umekalili ya zamani mkuuuKwa kawaida Mita mpya huwa unapewa units 50 ambazo utakujakatwa tsh 18,000 pindi utapoanza nunua umeme
Kwa hivyo tia akilini kuwa ulipewa unit 50 na sio 10
Sifahamu itakuwa ndani ya muda, Mimi mwezi wa tano mwaka huu baada ya kuvutia umeme walinipa mita yenye unit 10 kama yako lakini walinitoza fedha ya unit 50. Nikaambiwa wakiwa tayari watanitumia unit 40 zilizobakiOok angalua sasa wewe naweza kukuelewa sasa mkuu watanipa mda wanaojiskia siwezi kuwafata wakawahi kunipa hizo 40 zilizobaki au hawachelewi sana.
Sa wa mkuu asante kwa kunitoa sawowasi aisee maana hapa kichwa kilikuwa kimeanza kuwaka motoSifahamu itakuwa ndani ya muda, Mimi mwezi wa tano mwaka huu baada ya kuvutia umeme walinipa mita yenye unit 10 kama yako lakini walinitoza fedha ya unit 50. Nikaambiwa wakiwa tayari watanitumia unit 40 zilizobaki
Hivyo niliendelea kununua umeme kama kawaida baada ya wiki mbili walinitumia token ya unit 40 kwa njia ya text.
Usiwe na wasi wasi mkuu unit zako utazipata.Sa wa mkuu asante kwa kunitoa sawowasi aisee maana hapa kichwa kilikuwa kimeanza kuwaka moto
Asante sana kiongozi kiukweli nashukur kwa ifafanuzi wenu maana mpaka nakuja kuomba ufafanuzi humu nilikuwa sielewi chochote zaidi ya mapicha picha tuMkuu wala hujaibiwa. Kihalisia unapofungiwa meter mpya inakuwa na pre loaded units 50 (mkopo) ambazo utakaponunua umeme mara ya kwanza utakatwa kuzilipa (mkopo).
Inawezekana meter uliyofungiwa haikuwa pre loaded na units 50 bali ni 10 hivyo kama umenunua umeme ukakatwa hiyo tshs elfu kumi na saba na kitu ina maana umekatwa units 50.
Hivyo kama umefanikiwa kununua fika na receipt yako hiyo kwenye office ya tanesco kisha claim units zako 40 kuna fomu utajaza na utapewa utaratibu jinsi ya kuzipata.
Sawa mkuu dar kuna umeme wa rea kumbe basi itakuwa raha sana wakati sie ndo tunakatwa na mavat yasiyona kichw na miguu ili nyie huko mbwinde na nanjirinji mpate mteremko kama sio kitonga ama ganda la ndizi mterezeUmeme wa rea unambwembwe...hebu washa taa zote ulale
Hivi we umesoma mada kabla ya kuandika huu upuuzi wako???? Nani. Aliezingumzia kulipa hapa kwani rist za mauzo ya tanesco huioni hapo kwwny picha inajielewa ...mimi cjakataa kulipa nachodai ni haki yangu nalipaje zaid hata ambacho sjatumia.Lipa tu si uliipenda mwenyewe
Kwa taarifa yako nmeshalipa tena wao ndo wamenidhurumuLipa tu si uliipenda mwenyewe
Hivi we umesoma mada kabla ya kuandika huu upuuzi wako???? Nani. Aliezingumzia kulipa hapa kwani rist za mauzo ya tanesco huioni hapo kwwny picha inajielewa ...mimi cjakataa kulipa nachodai ni haki yangu nalipaje zaid hata ambacho sjatumia.
Nmeshalipa sasa soma rist hapo juu mkuuuUmetumia acha utapeli dogo
Wala hujakosea sana aise inaonekana mfumo wao niwa kizamani sana waje tu tutwasaodia kwa ajili ya faida yetu sote .Duh
Tanesco wanalalamikiwa sana
Wanahitaji watu kuchunguza mambo yanayotendwa na wafanyakazi kujipatia pesa kwa kutenda uovu.
Lazima system yao itakuwa na mapungufu na ndio wanapenya kuzitumia kupata chao kwa kuibia wateja.
Utendaji wa wengine.. inabodi wajiongeze.. waanze kuja kutuomba ushauri humu JF wafundishwe jinsi ya kuzuia hayo.. kuna njia nyingi kwa kutegemea na jambo au majambo.
Jamaa yngu kawekewa meter week iliyopita amepewa unt 10 akaambiwa sense ofisin kbla hazijaisha na pesa ili akalipie na asajiliwe na akifanya hvyo ataongezewa 40 zioizobk na kununua zingineNmekuambia nmepewa unit 10 sio 50 hizo 50 unazosema ww ni kwa zamani kwa sasa wanatoa 10 sasa labda kama wanakuongeza baada ya kununua ndio maana niko hapa kutaka kujua zaidi