TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kwanini mnatulipisha nguzo za umeme na bado zibaki kuwa Mali yenu??
Mteja halipi nguzo bali anachangia gharama ya nguzo.nguzo.hiyo inabaki kuwa ya uma kupitia TANESCO ili kuruhusu wateja wengine kufungiwaul umeme na hata ukarabati iliharibika ndio maana hakuna mteja aliyewahi kulipishwa nguzo ikioza au kuanguka.jiulize kama kila aliyelipia nguzo ingekuwa yake akigoma wengine wasifungiwe kwa nguzo hiyo tunafanyaje hapo.
 
Majibu mepesi sana, ktk vitu vinavyoumiza wananchi wote wanaotumia umeme HAUTOSHI KATIKA HIYO NAFASI
 
Hatujiandae kushindana na wateja wetu bali kuwasikiliza na kila kitu kina taratibu hili ni shirika la uma hivyo zipo taratibu zilizowazi kwa swala hili

Suala ni kwanini umtoze mtu kulipia e.g nguzo kumi then baadae wewe kama Tanesco unakuja kuungia watu wengine kwa kutumia nguzo za jamaa alizolipia kama sio dhuluma hiyo ninini? kuna jamaa yangu mjuzi sio mshambamshamba walimfanyia hivyo lakini jamaa alipochukua wakili na kufungua kesi ya madai Tanesco haraka haraka waliomba pooo na wakamaliziana nje ya mahakama na jamaa alilipwa pesa nzuri tu
 
Naomba kujua bei mpya ya gharama za service line mkoa wa Mbeya maana nimesikia gharama zimeshuka kidogo za kuingiza umeme.
 
Mteja halipi nguzo bali anachangia gharama ya nguzo.nguzo.hiyo inabaki kuwa ya uma kupitia TANESCO ili kuruhusu wateja wengine kufungiwaul umeme na hata ukarabati iliharibika ndio maana hakuna mteja aliyewahi kulipishwa nguzo ikioza au kuanguka.jiulize kama kila aliyelipia nguzo ingekuwa yake akigoma wengine wasifungiwe kwa nguzo hiyo tunafanyaje hapo.
FANYIA KAZI SUALA LETU. TANESCO ACHENI URASIMU.
 
Kwa jina naitwa ABBASY KAPERA Mimi naishi Mkoa wa tanga WILAYA ya Korogwe kata ya Kilole mtaa wa mikoroshini ombi langu kwenu kutuletea umeme watu yupo wengi tunaohitaji umeme kwanini msitulelee kama mradi ili wananchi tupate umeme na nyinyi mpate mapato Kwa maana Mimi peke yangu nguzo zaidi ya tano ni gharama kubwa sana ukilinganisha na kipato changu alafu mtu ukivuta wengine wanavuta kiulaini kwann sasa msilete kama mradi au nini kifanyike tuletewe kama mradi
IMG_20181031_174107.jpeg
 
Kwanza niwapongeze kwa kuweka ukurasa wenu kwa ajili ya kujibu na kushughulikia kero na malamiko mbalimbali yanayoelekezwa kwenu. Pongezi.
Mimi nilitaka kujua juu ya lifuatalo:- Nilikuwa na biashara ya duka maeneo ya Temboni likavunjwa kwenye zoezi la upanuzi wa miundombinu. Je kwa utaratibu wenu ninaruhusiwa kuhamisha mita ya LUKU niliyokuwa nikiitumia pale na kuipeleka Kibamba nilikopata sehemu nyingine ya kufanyia biashara?
 
Naomba kujua bei mpya ya gharama za service line mkoa wa Mbeya maana nimesikia gharama zimeshuka kidogo za kuingiza umeme.
Gharama kwa miradi ya REA ni 27000 tu mingine ni 177000 vijijini na 321000 mijini kwa walioko ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo ya TANESCO
 
Gharama kwa miradi ya REA ni 27000 tu mingine ni 177000 vijijini na 321000 mijini kwa walioko ndani ya mita 30 kutoka kwenye nguzo ya TANESCO
Hiyo 321 ndio toka zamani.
Sasa maana yake hakuna punguzo.
Lkn mbona tumetangaziwa sana.
Au wewe hauna taarifa toka huku labda.
 
TANESCOOOOOOOOOOOO, TANESCOOOOOOOO, nililalamika humu, nikaombwa no yangu ya mawasiliano ,nikawapa wakanijibu. Jibu lao LIMETEKELEZWA LEO. ahsanteni ! Sana chapeni kazi.

Mkokozi oyeeeee, TANESCO oyeeee mnastahili makofi matatu pa pa pa.
 
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu
 
Nimenunua umeme , ni masaa mawili sijapata token zangu , kulikoni ? Vida 0755282346 sh 10000 luku 24219770880
 
Nimenunua Umeme kwa Voda 0754 275644 mpaka sasa sijapata unit. Luku namba 24211161039
 
Back
Top Bottom