Sasa utafakari wakati umeme unakatika siku nzima bila taarifa mkuu?subira na kulea ujinga mkuu
 
Nataman kukweleza japo kwa kifupi lqkn muda hautoshi lakn punguza hasira mkuu najua changamoto ni nyingi kwa swala la kukatika kwa umeme,umeme wetu+mazingira sio rafiki so short za gafla ni kawaida na tusichoke,bali sisi kama wannchi tushirikiane na vyombo husika kwa kujenga taifa letu.je unafikri nini kitangulie kati ya taarifa na huduma?? Nb mimi ni raia kama wewe.
Sasa utafakari wakati umeme unakatika siku nzima bila taarifa mkuu?subira na kulea ujinga mkuu
 
Watoe taarifa kuwa kesho umeme utakatika muda fulani ili mtu ajipange,alafu hata kama ni shot haitakiwi kukaa siku nzima bila kurekebishwa!hii ni karne ya 21 kukaa siku nzima bila umeme ni ujuha,
 
Siku ambayo Tanesco mtanifuta machozi na majonzi niliyo nayo juu ya kupatiwa umeme basi siku hiyo nitaingi kwenye zizi langu LA ng'ombe nichinje madume mawili alafu nipite kwenye ofisi za Tanesco wilaya husika kila mfanyakazi wa Tanesco walau ataambulia kitoweo cha kutosha
 
Naomba mnisaidie katika hili
Nimelipia Gharama za kuunganishiwa umeme kwa Gharama ya Tsh 377.772,toka mwezi wa 8 mwaka huu, kila nikifuatilia naambiwa nguzo hazipo, juzi nimekwenda nimeambiwa nguzo zimefika ila mita ndo tatizo, sasa hadi inakera kufuatilia kila siku halafu ni taasisi (nyumba ya shule)
Jina Nyumba ya mwalimu kahumulo Sekondari (mfuatiliaji Shaban Mwiga)
Wilaya Sengerema
MKOA Mwanza
Simu 0768886246
 
Mimi nimefwatiria taratibu zote zakuomba Umeme kwa Bahati mbaya jibu limechelewa imepita dhaid ya miezi fedha nilikuwa nayo imekwisha na kiwango nilichotajiwa 320,000 baada ya jibu kuja na mimi sina je mna akaunti ya kulipa kidogo kidogo ?
 
Yaani inafika mahara inakera sana mm nimelipia mwezi wa sita ila nguzo nimesimikiwa mwezi wa kumi adi sasa hawarudi tena kuniunganishia umeme kila nikipiga simu hawakosi sababu walianza sababu waya mwezi huu wanasema tatizo mita siwaelewi ata kidogo Tanesco unatumia vifaa vyote stock unamaliza bila kutoa order mapema ili uwahudumie watu vzr.
 
Naomba Ufafanuzi Kuhusu Suala La Kuwekewa Umeme. Survey Anapokuja Kwenye Nyumba Ya Mteja Kuikagua Ili Awekewe Umeme
Anatakiwa Alipwe Na Tanesco Yaani Anatiza Wajibu Wake Ama Nitatakiwa Kumlipa Anapokuja Kukagua
 
Nilivosikia grid ya taifa nkajua mambo shwar lol,njoeni mtoe hizi takataka huku songea huu sio umeme asee inaonekana umewashinda bora mturudishie wa mafuta tulikuwa tuna enjoy
 
Tanesco kahama mnakata sana umeme aise hasa maeneo ya mbulu underlake kila muda mnakata watanzania hatufurahii kabisa nishati hii.
 
Naomba Ufafanuzi Kuhusu Suala La Kuwekewa Umeme. Survey Anapokuja Kwenye Nyumba Ya Mteja Kuikagua Ili Awekewe Umeme
Anatakiwa Alipwe Na Tanesco Yaani Anatiza Wajibu Wake Ama Nitatakiwa Kumlipa Anapokuja Kukagua
Hatakiwi kulipa pesa yoyote
 
Mimi mwenyewe kama wewe,niliambiwa nitume majina yangu na namba yangu lakini hakuna kinachooendelea,nadhani nimechoka nitatumia mbinu nyingine wahusika hawatanisahau,haiwezekani leo nusu mwaka naambiwa nguzo hazipo wakati pesa yangu wamekula
 
Nimerudi tena... Enyi TANESCO Sasa mmeleta Nguzo ila TANESCO Tegeta wameniambia Metre za 3 Phase hamna TATIZO NI NINI! I wish mngepata Mshindani Khaaa.
 
Tanesco,tanesco yaaani mi nishawachoka na siwapendi maana inapnesha tanesco hawahitaji wateja ila sisi ndio tunaolazimisha kuwa wateja wao maana wanayofanya inaonesha dhahir kuwa sisi katika ule msemo mteja ni mfalme inaonesha kuwa kwao sio mfalme bali ni mbwa kiukweli tanesco wanakera mtu analipia umeme mbaya zaidi unakaa miezi sita bila kufungiwa umeme halafu unajiuliza kweli hawa wanahitaji wateja ila wakumbuke leo TTCL wanachanganyikiwa mara ooohhh nyumbani kumenoga wakati ule walikuwa wanatuona kama washenzi fulani hiv eti leo tuko zetu tigo,voda eti ndo ttcl kumenoga
 
DODOMA St Johns University tangu juzi kuna hitilafu tumepiga simu mpaka tumechoka mnasema mnakuja jamani hamfiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…