Mjomba,tanesco ni shirika la hovyo lililobak la serikal,na wao wanajua hilo.so kiukwel tuwaombee tuu kwa Mungu,Tanesco Tanesco Kimara Baruti no umeme tokea saa nane usiku vitu vinatuharibikia kwenye friji na sikukuuu hii mnatutia hasara,kuna nn Tanesco?..
Wanachefua sana mkuu,yaani basi tu.Mjomba,tanesco ni shirika la hovyo lililobak la serikal,na wao wanajua hilo.so kiukwel tuwaombee tuu kwa Mungu,
Wengne tumeamuaga ku go with the flow,wakikata tunawasha generator maisha yanasonga,
Sometimes naona wanachelewesha sana huduma zao kwani umeme uliopo hautoshi kuwahudumia watz wote.Wanachefua sana mkuu,yaani basi tu.
Du,nadhani tujipe moyo tu mambo yatakuwa mazuriNahisi huu mradi umekamilika kama siyo kuwa umeisha kabisa maana ni hatari pasua kichwa
Ndugu yangu mimi ni mhanga wa kuitafuta REA kwa udi na uvumba lakini naelekea kunyoosha mikono, siku mh Medard Matogolo Kalemani akiamua nitapata tofauti na hapo sina namna.... Tanzania inawenye nayo hakika....Du,nadhani tujipe moyo tu mambo yatakuwa mazuri