NAOMBA MSAADA WA HARAKA
mimi ni Mteja wenu kwenye kundi la Kati,najishughulisha na kiwanda cha kukamua Mafuta ya Alzeti, Leo natuma sms hii kwenu nikiwa sina namna zaidi ya OFFICE YAKO kunisaidia kuingilia Kati ili kuninusulu mimi na Wateja wangu ambao tayari nimepokea pesa ili niwahudumie kwa kuwapa Mafuta, istoshe na Bank pia nina mkopo ambao Biashara hii Ndiyo inanifanya niweze kulipa,tumeitikia wito wa Rais wetu kuhusu viwanda lakini tunakwama kwa Watendaji Wachache ambao hawataki kufanya Majukumu yao kama iwapasavyo, Mita yangu No 43146814165 yenye jina la HASSAN HEZRON KIBONA WILAYA YA KONGWA KATA KIBAIGWA Imeungua toka 21/06/2019 mpaka naandika sms hii kwako sijapata msaada,ijapokuwa nimefuatilia sana bila mafanikio..... Naogopa kusema mengine....Kikubwa hapo naomba msaada......
0688-538804