Tunaomba namba yako ya simu kuifatilia na kuifanyia kazi mpendwa mteja wetuTANESCO kuna shida gani katika mradi wa REA Moshi vijijini eneo la SHABAHA wamesimika nguzo na kutandaza waya baadhi ya maeneo ila ni zaidi ya mwez sasa hakuna kinachoendelea. Nini kinakwamisha kuunganishia watu umeme tuendeshe viwanda vyetu?
Ndugu mpendwa mteja wetuTANESCO kuna shida gani katika mradi wa REA Moshi vijijini eneo la SHABAHA wamesimika nguzo na kutandaza waya baadhi ya maeneo ila ni zaidi ya mwez sasa hakuna kinachoendelea. Nini kinakwamisha kuunganishia watu umeme tuendeshe viwanda vyetu?
Hili swali, naona wanalikwepa! Sidhani kama hawajaliona huko juu.Watu wa tanesco naomba mnijibu,taratibu za kubadilisha tariff zikoje,
Mteja aliyekidhi vigezo anajaza fomu atakaguliwa kujiridhisha kama kweli amekidhi vigezo kwa ombi la kuwa kubdo fulani la matumiziHili swali, naona wanalikwepa! Sidhani kama hawajaliona huko juu.
Nami narudia,……… Hivi TANESCO, mmefuta yale malipo nafuu kwa watumiaji ambao hawazidi unit 75 kwa mwezi?
Kama ni hivyo, mbona kimya kimya?
Mbona sisi huku shinyanga tumeondolewa? Nilikuwa nikipata unit 75 natumia ht miezi mitatu mpk minne lkn nimeondolewa huko nimerudishwa kwenye malipo ya kawaida.Mteja aliyekidhi vigezo anajaza fomu atakaguliwa kujiridhisha kama kweli amekidhi vigezo kwa ombi la kuwa kubdo fulani la matumizi
Swala hili linakuwa la mteja mmoja mmoja na mteja anawekwa kwenye kundi la matumizi linaloendana na matumizi yake hivyo upo matumizi ya kawaida ya nyumbaniMbona sisi huku shinyanga tumeondolewa? Nilikuwa nikipata unit 75 natumia ht miezi mitatu mpk minne lkn nimeondolewa huko nimerudishwa kwenye malipo ya kawaida.
Na mimi nipo Shinyanga. Matumizi yangu, nilikuwa nanunua unit 50,zinaisha baada ya kati ya siku 40 mpaka 50.Mbona sisi huku shinyanga tumeondolewa? Nilikuwa nikipata unit 75 natumia ht miezi mitatu mpk minne lkn nimeondolewa huko nimerudishwa kwenye malipo ya kawaida.
Ajabu sana yaani, hlf walisitisha huduma bila ht taarifa. Unashngaa mtu unanunua umeme haupati token.Na mimi nipo Shinyanga. Matumizi yangu, nilikuwa nanunua unit 50,zinaisha baada ya kati ya siku 40 mpaka 50.
Na, kuniweka kundi hilo, ni baada ya kuandika barua ya maombi. Sasa, tunaambiwa tuandike barua tena, ina maana kila baada ya muda fulani tutakuwa tunaandika barua? Mbona kila mita mnazo rekodi zao?
Tafadhali fika ofisini kwa uhakiki na taarifa zaidiNa mimi nipo Shinyanga. Matumizi yangu, nilikuwa nanunua unit 50,zinaisha baada ya kati ya siku 40 mpaka 50.
Na, kuniweka kundi hilo, ni baada ya kuandika barua ya maombi. Sasa, tunaambiwa tuandike barua tena, ina maana kila baada ya muda fulani tutakuwa tunaandika barua? Mbona kila mita mnazo rekodi zao?
Okay! Nitaenda huko!Tafadhali fika ofisini kwa uhakiki na taarifa zaidi
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetuNAOMBA MSAADA WA HARAKA
mimi ni Mteja wenu kwenye kundi la Kati,najishughulisha na kiwanda cha kukamua Mafuta ya Alzeti, Leo natuma sms hii kwenu nikiwa sina namna zaidi ya OFFICE YAKO kunisaidia kuingilia Kati ili kuninusulu mimi na Wateja wangu ambao tayari nimepokea pesa ili niwahudumie kwa kuwapa Mafuta, istoshe na Bank pia nina mkopo ambao Biashara hii Ndiyo inanifanya niweze kulipa,tumeitikia wito wa Rais wetu kuhusu viwanda lakini tunakwama kwa Watendaji Wachache ambao hawataki kufanya Majukumu yao kama iwapasavyo, Mita yangu No 43146814165 yenye jina la HASSAN HEZRON KIBONA WILAYA YA KONGWA KATA KIBAIGWA Imeungua toka 21/06/2019 mpaka naandika sms hii kwako sijapata msaada,ijapokuwa nimefuatilia sana bila mafanikio..... Naogopa kusema mengine....Kikubwa hapo naomba msaada......
0688-538804
Nina imani kubwa na jibu lako, na YAWEZEKANA Jtatu yangu ikawa nzuri..... BARIKIWA SANA Wewe na Office yako.....Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi mpendwa mteja wetu
Nina imani kubwa na jibu lako, na YAWEZEKANA Jtatu yangu ikawa nzuri..... BARIKIWA SANA Wewe na Office yako.....
Mpaka sasa bado, YAWEZEKANA wanajipanga....Jumatatu si ndio leo? Vipi umefanikiwa!
Mpaka sasa bado, YAWEZEKANA wanajipanga....
Mbali sana maana itakuwa tayari Week 3 ni Hatari sana kwa Ustawi wa Biashara pia Mapato ya Nchi.... Naomba Jitahidi kwa uwezo ulionao leo nipate umeme maana tayari mpaka Leo ni Week Mbili....Haya, nitakuuliza the same question Jumatatu ijayo!