kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 405
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe na kutumiaSubiri tarehe 27 uende ofisini tanesco ujieleze watakusaidia maana hizi namba ni token wala siyo halisi kama haijaingizwa kwenye luku. Labda mkuu kama hutajali tukupige tafu tu usilale gizani! Nitumie pm namba zako za luku nikushike mkono!
Sent using Jamii Forums mobile app