Subiri tarehe 27 uende ofisini tanesco ujieleze watakusaidia maana hizi namba ni token wala siyo halisi kama haijaingizwa kwenye luku. Labda mkuu kama hutajali tukupige tafu tu usilale gizani! Nitumie pm namba zako za luku nikushike mkono!
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe na kutumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanesco wana namba ya simu ya huyo mwenye mita. Kama unaweza kuwashawishi wakupe namba yake myajenge umwuzie huo umeme kwa bei rahisi. Sema ni ngumu sana kulitekeleza hili.
 
Ubarikiwe sana una moyo mzuri sana mkuu
uwe na krisimasi njema
Asante mkuu,, ndugu yangu alinigusa sana alivoeleza kwa masikitiko na sijui alikuwa amenunua wa bei gani? Yalishawahi kunitokea nikatuma laki kwa mtu baki, kukimbilia voda wakanipa jibu la kukatisha tamaa, niliugua!
 
Asante mkuu,, ndugu yangu alinigusa sana alivoeleza kwa masikitiko na sijui alikuwa amenunua wa bei gani? Yalishawahi kunitokea nikatuma laki kwa mtu baki, kukimbilia voda wakanipa jibu la kukatisha tamaa, niliugua!
Situation kama hizi watu wasikie tu ila usiombe yakukute mkuu yaan unaona bora ungebet tu au kutoa sadaka kuliko hela kupotea hivyo
 
Taaarifa kuna waya za umeme zimekatwa na Lori maeneo ya Tabata Segerea Mtaa unaitwa Tulivu street Segerea. Tangu saa 12,hizi waya zina moto na zipo Ardhini njiani kuna uwezekano wa kuleta madhara kwa wapita njia.Tanesco emergency tumekwisha wapa taarifa toka saa1usiku mpaka muda huu hakuna fundi aliyefika kwenye eneo la tukio!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…