Kuwa mvumilivuNawapongeza sana TANESCO naomba kujuzwa,hivi ukisha maliza taratibu zote mpaka malipo ya kuonganishiwa umeme,mtu anakaa kwa muda gani ili aunganishiwe umeme?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana mambo ya kizamani.. hawa ndio wanamfelisha mzee babaNakumbuka niliweka malalamiko kuhusu umeme wa rea wakaniomba namba za simu nikatoa kwa ajili ya ushirikiano nao.
Kilichotokea nikashangaa napigiwa simu na mwenyekit na mtendaji et nahitajika haraka ofsini kwao maana natoa taarifa za uongo,nikawaambia siji na Kama mnapajua kwangu nifuateni
Yani nilipigiwa simu zenye kauli za kutishana mpaka simu ya mwisho alinipigia afisa wilaya yeye ndiye mstaarabu,anasikiliza na kujali tukamalizana vzr na akahaidi kushughlikia ttzo.
Hi ndo Tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawapongeza sana TANESCO naomba kujuzwa,hivi ukisha maliza taratibu zote mpaka malipo ya kuonganishiwa umeme,mtu anakaa kwa muda gani ili aunganishiwe umeme?
Sent using Jamii Forums mobile app
Saveyer akija kusavei kunauhalali wa mteja kumlipa nauri pamoja na posho ya tsh 20,000/= ? sengerema wanatufanyia hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanesco mbona baadhi ya maeneo ya pongwe siku nne nfululizo tunalala bila umeme na hakuna taarifa??
Asante sanaKama upo ndani ya mita mita 30 utajengewa ndani ya siku 30 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi na kama ni ndani ya mita 30 hadi 70 utajengewa ndani ya siku 60 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi
Sent using Jamii Forums mobile app
haya maneno huwa mnayaongea tu kwenye mitandao na utaratibu upo hvyo kihalali..lakini tukija kwenye hali halisi,hakuna hiyo kitu..mm nimeomba kufungiwa umeme kwangu mwezi uliopita tu hapoKama upo ndani ya mita mita 30 utajengewa ndani ya siku 30 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi na kama ni ndani ya mita 30 hadi 70 utajengewa ndani ya siku 60 za kazi ukitoa sikukuu na wikiendi
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni kuwa wewe badala ya kuchukua maelezo ya watu juu ya walichokutana nacho, UNARUMBANA NAO..!!! Mayoyasema huko maofisi kwenu si ugalisia wa field.... CHUKUA MAONI UKAYAFANYIE KAZIHakuna kitu kama hicho ndugu mteja. Je unaweza kutuambia survey yupi amehusika kwa hatua za haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
tunaomba namba zako za simu..Saveyer akija kusavei kunauhalali wa mteja kumlipa nauri pamoja na posho ya tsh 20,000/= ? sengerema wanatufanyia hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app