Junior Lecturer
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 913
- 582
TANESCO NINAOMBA MNIJUZE NI VIGEZO GANI VINAZINGATIWA ILI MTEJA WENU AWEZE KUUNGANISHWA NA HII HUDUMA YA ZERO TARIF? KWAMAANA NIMEENDA PALE TANESCO NYAKATO DISTRIC WAMENIAMBIA NITUMIE UMEME KWANZA. NAULIZA KIGEZO CHAKUPATIWA HUDUMA HII NI MTANZANIA WA HALI YA CHINI AUMIE KWANZA?HONGERENI TANNESKO KWA KUANGAZIA MAISHA YA WA TANZANIA. Naomba mniunganishe zero tarrif D1, Nime washiwa umeme mwakajana mwezi wa kumi mwishoni. Niki nunua umeme wa elfu tisa au elfu kumi napata unit chache sana, nilipo fuatilia kwenye website ya tannesko nikaona maswali yanayo ulizwa marakwa mara nipamoja na hili la kiwango cha umeme,. Nipo mbali na mjini center ya tannesko. MITA NAMBA YANGU NI. 37212234498. SEDRICK THEOFRID NDUNGURU, SIMU.0676848323 mmiliki halali wa nyumba. Sina chochote ninacho zalisha kwa kutumia umeme, zaidi ya matumizi ya nyumbani.
Duanesco..!!
hivi huyu mwizi wa umeme kwa zaidi ya miaka mitano(5) ndo kusema hamjapata namna yoyote kumtambua/ kumkamata??? nahisi jamaa atakua na kikakati ya kuongeza mitano tena ili iwe kumi kabisa .. Tanesco ni dhahili mmeshindwa ku monitor mita zenu...so sad
HatutakiTANESCO mbagala nimedhamilia kuwatangaza mpaka suala hili lifike ngazi za juu, rudisheni umeme tufanye kazi
Mkuu tumia id ya TANESCO makao makuu, ili uone watu tunavyochukizwa na kukatikakatika kwa umemeHatutaki