chankele kigoma
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 199
- 121
Tunashukuru kwa ushauri wako mpendwa mtejaNaoungana na hoja ya mjumbe aliye tangulia halo nyumakwa kuwataka TANESCO wamuongezee mtumiaji wa tarrif 4 units zifike 100 and if possible 150 ni bora zaidi Kwan ukiwa umeunganishwa na tarrif 4 kiukweli unakuwa mtumwa na mwisho kilasiku husababisha Migogoro nyumbani ktk matumizi ya umeme nyumbani yote hii ni kubana matumizi ya umeme
Kitu kingine naomba TANESCO wabadirishe mfumo MITA zote tiakazo tolewa kwa matumizi ya nyumbani zitolewe kwenye mfumo wa TARRIF 1 zisajiliwe kwenye TARRIF 4 Mona kwa moja hii itajichambua kutokana na matumizi ya mtu wenyewe yakizidi hizo UNITS automatically inampeleka kwenye TARRIF 1
Hii itasaidia kuokoa muda kwa wateja kupanga foleni pia kuombwa soda wakati wa napohitaji huduma hiyo
Mkifanya hivo mtakuwa mume wasaidia wengi kwani wapo wengi wanatumia TARRIF 1 hali yakuwa matumizi yao hata units 50 hazifiki ila hawajui lakufanya kwasababu mfumo huu umefanywa kama siri na wanao ufahamu niwachache tena unakuta wanao utumia ni wenye matumizi makubwa ndo wanaufaufaham mfumo huo.
Utapatiwa huduma mpendqa mteja.kisarawe ni moja ya eneo lenye wateja wenginsana hivyo waliokutangulia wanaendelea kufungiwa umeme na wewe utafukiwa .Nimelipia kuunganishiwa Umeme pamoja na nguzo tangu mwezi Wa 5 pale kisarawe hivi napaswa kusubiri mpaka lini?
Jina. Andrea Donati Kaishe
0714754331
Sent using Jamii Forums mobile app
OK lkn kama niliwaelewa vizuri ya kwamba ukipita muda Wa kusheria huwa wanatoa taarifa ili nisiwasumbue/kusumbuka kufuatiliaUtapatiwa huduma mpendqa mteja.kisarawe ni moja ya eneo lenye wateja wenginsana hivyo waliokutangulia wanaendelea kufungiwa umeme na wewe utafukiwa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni safi hongera Tanesco
Ipo kwenye thread hii angalia juu mpendwa mtejaMkuu mikoa mingie haina namba za simu? Maana mikoa mingine siioni hapa! Mfano, Ruvuma, Lindi, Mtwara, Njombe, .....! Taarifa, maoni, ushauri au matatizo toka huko huhitaji kuyajua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utasikia vifaaa hamnaNimelipia line ili nifungiwe umeme kwenye nyumba yangu tangu tarehe 11/3/2017 mpaka leo sijajengewa hiyo line niko Dar wilaya ya Ubungo nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulilipia kwa jina gani?lini? Kiasi gani na namba yako ya simuTanesco mmetisha mbeya kuingiza umeme mnatumia mwk kuingiza bora muwe mnasem kuwa sas mpo wat mwezi w saba 2016
Sent using Jamii Forums mobile app