kipapi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,059
- 1,390
Kwanini Tanesco hamzingatii miundombinu iliyowekwa kwajili ya nguzo za umeme? Au ni sheria gani inayowaruhusu au kuwapa mamlaka kuchomeka nguzo au kupitisha waya za umeme katika kiwanja cha mtu (makazi) tena kimepimwa na serikali (surveyed) bila makubaliano yoyote?.
Mmepitisha nyaya za umeme katika eneo langu nashindwa kukata minazi yangu iliyopo na nashindwa kujenga kwa kuendeleza ardhi yangu sababu ya hatari ya nyaya hizo.
Isitoshe nyaya hizi zimeshuka sana chini kiasi kwamba ni hatari kwa maisha ya watu na Mali zao na ikitokea hivyo huwaga ni wagumu sana kutoa fidia mahakamani. Sasa hii hali kama hamjaichukulia hatua itabidi nifungue mashtaka kujidefense hata likitokea lakutokea niwe tayari nimeshawafungulia faili mahakamani. Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app