TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kwanini Tanesco hamzingatii miundombinu iliyowekwa kwajili ya nguzo za umeme? Au ni sheria gani inayowaruhusu au kuwapa mamlaka kuchomeka nguzo au kupitisha waya za umeme katika kiwanja cha mtu (makazi) tena kimepimwa na serikali (surveyed) bila makubaliano yoyote?.

Mmepitisha nyaya za umeme katika eneo langu nashindwa kukata minazi yangu iliyopo na nashindwa kujenga kwa kuendeleza ardhi yangu sababu ya hatari ya nyaya hizo.

Isitoshe nyaya hizi zimeshuka sana chini kiasi kwamba ni hatari kwa maisha ya watu na Mali zao na ikitokea hivyo huwaga ni wagumu sana kutoa fidia mahakamani. Sasa hii hali kama hamjaichukulia hatua itabidi nifungue mashtaka kujidefense hata likitokea lakutokea niwe tayari nimeshawafungulia faili mahakamani. Ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa jamaa wamegawa bei zao eti wanadai mtumiaji wa kawaida anatumia units75 kwa mwezi, loooo! ki ukweli hizi unit hazitoshi hasa kwa mtumiaji mwenye nyuma ya vyumba vinne fridge dogo, tv inch24 au 32 energy saver kwa vyumba vyote na taa mbili nje na hivyo ni vitu vya kawaida tu ambavyo mtu anakuwa navyo,

nadhani niwaombe tanesco waongeze angalau matumizi ya kawaida nyumban iwe units 100 halafu baada ya hapo ndio waonheze hayo madaraja ya watumiaji wakati na wa juu , lakin kwa sasa ni mateso tu hata raha ya umeme huion kabisaa maana unatumia kwa kuvizia vizia ili usizid unit 75 kwa vitu ambavyo ni vya kawaida kabisa kwa mtanzania wa kawaida kumiliki dunia ya sasa imebadilika technology pia
 
Kweli
 
Huduma Hiyo Ya Units 75 Kwa Mwezi
Uliipata Baada Ya Kwenda Kuiomba TANESCO
Itabidi Wafikirie Upya Maana Kwasasa Umeme Siyo Anasa
 
Yaani unatumia umeme kwa masharti utadhani unatumia umeme wa solar yaanii nchi hii bwana shida kila kitu hakiko sawa yaan inamapungufu mwakubwa sana kwa kila jambo
 
Hawa jamaa wamegawa bei zao eti wanadai mtumiaji wa kawaida anatumia units75 kwa mwezi, loooo! ki ukweli hizi unit hazitoshi hasa kwa mtumiaji mwenye nyuma ya vyumba vinne fridge dogo, tv inch24 au 32 energy saver kwa vyumba vyote na taa mbili nje na hivyo ni vitu vya kawaida tu ambavyo mtu anakuwa navyo,

nadhani niwaombe tanesco waongeze angalau matumizi ya kawaida nyumban iwe units 100 halafu baada ya hapo ndio waonheze hayo madaraja ya watumiaji wakati na wa juu , lakin kwa sasa ni mateso tu hata raha ya umeme huion kabisaa maana unatumia kwa kuvizia vizia ili usizid unit 75 kwa vitu ambavyo ni vya kawaida kabisa kwa mtanzania wa kawaida kumiliki dunia ya sasa imebadilika technology pia

Tafsiri Ya Units 75 sio uliotoa Hapo juu mtoa Uzi units 75 ni specifically Kwa Watu wa vijijini.Kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua Watu wa vijijini kuingiza Umeme au kufungiwa mita Ya njia Moja ni 27,000/= na njia tatu ni 139,120.74.Hivyo kuwa mpole maana gharama za uendeshaji mitambo Zipo juu.
 
Hazitoshi ..walau iwe hata 90 kidogo itasaidia vinginevyo wengi tutaishia kuhamishiwa T2/T3 na hari itakuwa mbaya kupita kiwango
 
Yaani unatumia umeme kwa masharti utadhani unatumia umeme wa solar yaanii nchi hii bwana shida kila kitu hakiko sawa yaan inamapungufu mwakubwa sana kwa kila jambo
Mkuu Wengi Wanaotumia Units 75 Ni Wa Hali Ya Kawaida Ambapo Serikali Imesema Inawajali Masikini
Tunaambiwa Ukilala Usiku Washa Taa Za Nje Kusaidia Ulinzi
Ila Hii Anasa Nilitembea Mkoa Mmoja Umeme Upo Ila Usiku Mitaani Giza Kisa Ukiwasha Units Zinakwisha Haraka

TANESCO Kwa Jicho La Huruma Sana Litazameni Jambo Hili Halafu Wengi Sana Wanalalamika Hata Kesho
 
Tafsiri Ya Units 75 sio uliotoa Hapo juu mtoa Uzi units 75 ni specifically Kwa Watu wa vijijini.Kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua Watu wa vijijini kuingiza Umeme au kufungiwa mita Ya njia Moja ni 27,000/= na njia tatu ni 139,120.74.Hivyo kuwa mpole maana gharama za uendeshaji mitambo Zipo juu.
Hapana mkuu usipotoshe units75 ni kwa watumiaji wa chini bila kujali upo rural au urban na swala la gharama za za kuingiza umeme hakuna bei hiyo ya 27,000/= kwa vijijini isipo kuwa tu bei hiyo ni kwa maeneo yenye mradi maalum pekee kama REA kwa sasa , kama hakuna mradi hata ungekuwa isitimbi uta fuata utaratibu wa TANESCO ila kuna bei za rural na urban lakin si 27000/= kama eneo lako halipo kwenye mradi maalumu. Hebu pitia hapa kidogo.
IMG_20170730_094342.JPG
 
Hapana mkuu usipotoshe units75 ni kwa watumiaji wa chini bila kujali upo rural au urban na swala la gharama za za kuingiza umeme hakuna bei hiyo ya 27,000/= kwa vijijini isipo kuwa tu bei hiyo ni kwa maeneo yenye mradi maalum pekee kama REA kwa sasa , kama hakuna mradi hata ungekuwa isitimbi uta fuata utaratibu wa TANESCO ila kuna bei za rural na urban lakin si 27000/= kama eneo lako halipo kwenye mradi maalumu. Hebu pitia hapa kidogo.View attachment 554017
Aisee utaumiza kichwa bure Kwa kutoelewa na kulazimisha uongezewe units zaidi Ya 75 Kwa sababu offer hii ililenga vijijini ila mjini mmevamia Ndo maana unaona hazitoshi ila cc bush zinatosha na kusaza.

Mm sipotoshi naunaweza kuniweka Sawa Kama nakosea ila bei Zipo tofauti Kuna kulipia uunganishaji wa Umeme wa njia Moja Kwa bei Ya 320,960/=,177,000/= na 27,000/= zote zinakubalika kulinga na mazingira Husika.
 
Aisee utaumiza kichwa bure Kwa kutoelewa na kulazimisha uongezewe units zaidi Ya 75 Kwa sababu offer hii ililenga vijijini ila mjini mmevamia Ndo maana unaona hazitoshi ila cc bush zinatosha na kusaza. Mm sipotoshi naunaweza kuniweka Sawa Kama nakosea ila bei Zipo tofauti Kuna kulipia uunganishaji wa Umeme wa njia Moja Kwa bei Ya 320,960/=,177,000/= na 27,000/= zote zinakubalika kulinga na mazingira Husika.
Umesoma shule gani mwenzetu maana inaonekana kichwa yako ni zaid ya tikiti, umesha ambiwa kuwa hiyo bei ya 27,000/= ni ya mradi na kwa sasa ni mradi wa REA umeme vijijini, usiwe mbishi kwa vitu usivyo vijua gharama za kuunganisha umeme nje ya mradi hakuna bei hiyo ya 27000/= elewa basi hata kama watanzania ni wagumu kuelewa jitahidi hivyo hivyo.
 
Naona umenielewa na umehama kwenye kupunguziwa bei Kama mtazamo wako ni shule uliyosoma Ndo tatizo utakuwa hujielewi tunaangalia level uliyosoma/uliyofika.

Kwa Ubongo wako wa kuku umeshindwa kunielewa niliposema kulingana na mazingira Husika Ndo REA hyo uweunajiongeza sio kukurupuka Kama nyumbu.
 
Ivi tanesco? Inakuwaje kutoka makao makuuu ni kmt 23 tu! Kijiji cha manjioni haina umeme? Zaidi ya nyumba 1000_ toka mwaka Jana mmeleta nguzo! Mpk Leo hamjarudi? Mbagala kwa mbiku! Au charambee!! Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi tanesco? Inakuwaje kutoka makao makuuu ni kmt 23 tu! Kijiji cha manjioni haina umeme? Zaidi ya nyumba 1000_ toka mwaka Jana mmeleta nguzo! Mpk Leo hamjarudi? Mbagala kwa mbiku! Au charambee!! Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpendwa mteja
Tunaomba taarifa kamili za wilaya, kijiji na namba za simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom