Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba namba yako ya mita na namba ya simu tulifatilia na kukujulisha mpendwa mtejaMimi ni mkazi wa Kimara Dar, niliunganishiwa umeme tangu mwaka 2004, bahati nzuri ni kwamba nilikuwa nalipa bill zote kama kawaida pale ofisi ya Tanesco magomeni, mwaka 2012 nilifungiwa mita ya luku, nikiwa sina deni lolote. Juzi nilinunua umeme wa sh 5000 nikapata unit 7, nikaenda mbezi Tanesco kuulizia kulikoni? nikaambiwa kuwa eti nadaiwa deni la tangu sijafungiwa luku. Bahati nzuri kumbukumbu huwa haiozi nikarudi nyumbani nikachukua risiti zangu zote za mita ya zamani, kufika Tanesco wananiambia kuwa kweli risiti zinaonyesha nimelipa lakini msoma mita wao alikuwa anasoma kimakosa kwa hiyo hilo deni la sh 500000 (laki tano) ni lazima nililipe je nawauliza Tanesco hii ni sawa? Nimekaa na kutafakari sijapata jibu sahihi wadau naombeni ushauri wenu.
Tanesco mkoani kilimanjaro ni lini mtatuletea umeme wakazi wa kijiji cha shabaha kata ya mabogini ni karibu miaka mitatu sasa tunapigwa dana dana tu kijiji kina wakazi zaidi ya elfu moja.
Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
Moshi vijijiniKijiji kipo wilaya gani na namba yako ya simu tafadhali
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mpendwa mtejakwa nini umeme unakatika mara kwa mara ktk maeneo mengi ya dsm haswa ktk wilaya ya ubungo kata ya kibamba??
naona hili shirika bora libinafsishwe maana limeshindwa kutatua kero za wananchi, kwa mwendo huu kweli tunaweza kuendesha viwanda??
hebu acheni kufanya kazi kimazoea badilikeni!!!
Tutakujulisha mkuuTANESCO hongereni kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya,kwa kweli siku hizi mnatia raha!
NAOMBA mnijulishe matumizi yangu ya meter kama ninastahili kuwa T4
01343377394
Hahahaaa ukiwasifia kama hivi utapata majibu haraka sana lakini ukiuliza swali bila kuwasifia majibu utasubiri sana.[emoji24][emoji24][emoji24]TANESCO hongereni kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya,kwa kweli siku hizi mnatia raha!
NAOMBA mnijulishe matumizi yangu ya meter kama ninastahili kuwa T4
01343377394
Nikweli mimi nimewahi kuuliza kimya mpaka leoHahahaaa ukiwasifia kama hivi utapata majibu haraka sana lakini ukiuliza swali bila kuwasifia majibu utasubiri sana.[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maeneoo ya kongowe mwandege ifikapo saa 1:00 usiku takirba Siku tatu mnazima umeme bila ya tariha kuwa ka SAA 6:00 au 7:00 usiku kama siku tatu mfululizo Jana kuamkia leo alafu unasema upo vizuri. Vizuri gani
Mpendwa mteja
TUNAOMBA TAARIFA ZIFUATAZO MPENDWA MTEJAHaya maeneoo ya kongowe mwandege ifikapo saa 1:00 usiku takirba Siku tatu mnazima umeme bila ya tariha kuwa ka SAA 6:00 au 7:00 usiku kama siku tatu mfululizo Jana kuamkia leo alafu unasema upo vizuri. Vizuri gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipo kwambieni mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga kijiji cha kipala mpakani kata ya mwandege umeme ikifika saa 1:00 usiku unazimwa bila ya taariga kuwasha saa 6:00 au 7:00 ya usikuTUNAOMBA TAARIFA ZIFUATAZO MPENDWA MTEJA
MKOA.......
WILAYA...
MTAA AU KIJIJI....
NAMBA YA SIMU....
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Mpendwa mtejaNilipo kwambieni mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga kijiji cha kipala mpakani kata ya mwandege umeme ikifika saa 1:00 usiku unazimwa bila ya taariga kuwasha saa 6:00 au 7:00 ya usiku
Sent using Jamii Forums mobile app