TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 4,600
- 2,134
- Thread starter
-
- #7,561
*SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)*
*TAARIFA KWA WATEJA WETU WA GONGO LA MBOTO*
*MACHI 30, 2020*
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Ilala linawaomba radhi Wateja wake wa Gongo la Mboto na maeneo jirani kwa katizo la umeme lililotokea leo Jumatatu Machi 30, 2020, saa 5:11 asubuhi.
*Sababu* Hitilafu kutokana na "jumper" (Kiungio) kukatika kwenye line ya 132kv inayotoka Kinyerezi.
*Maeneo yanayoathrika:*
Kampala University, kwa Mkolemba, Moshi Bar, kwa Mwanaharusi, Msalaba mwekundu, Sukuma land, kwa Diwani, Kanyigo, baadhi ya maeneo ya Kivule, Mbondole, Frame Kumi,Nyang’andu, kwa kichonge, Chakenge, baadhi ya maeneo ya Msongola,
Pugu Mikongeni, Pugu Mnadani,
Namera Group of Industry,
Gongo la mboto jeshini, mwisho wa lami, Majohe, Ulongoni B yote, mama Sakina, ukonga
sabasaba, STK, FQ, Said mwema, Gogo zembe na baadhi ya maeneo ya jirani.
Mafundi wetu na Wataalamu wanaendelea na kazi kuhakikisha huduma ya umeme imerejea.
*Tunawaomba Radhi wateja wetu kwa usumbufu unaojitokeza*
*Kwa mawasiliano*
Kituo cha miito ya simu Makao Makuu 0222194400 na 0768 985100
Tovuti: www.tanesco.co.tz
Mitandao ya Kijamii
Tanesco Yetu
Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,
Instagram: tanesco_official_page
YouTube: tanescoyetu
Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza
Imetolewa na:-
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz