Kuna kipindi nilisikia Tanesco kuna planners na engineers. Nadhani wote walitumbuliwa wakati wa vyeti feki, otherwise Tanesco wasingefanya kazi kama vile wanaongozwa na wajumbe wa chama cha ACT wazalendo
Transformer zinazowekwa na REA nchi nzima hazina uwezo wa kuendesha viwanda ili kutimiza ahadi ya mh Rais ya tanzania ya viwanda.ili kueekeza kiwanda kwenye mradi wa REA itabidi Tanesco wake wabadilishe transformer na kuweka kubwa na wakati ikibadilishwa mkandarasi wa REA alishalipwa siku nyingi na kukabidhi mradi.ninashauri kabla waziri wa nishati ajakaribishwa kufungua mradi wa REA ijiridhishe kwa kuona ukubwa wa transfoma zilizowekwa kwenye mradi.pili biashara ya kutumia nguzo za miti imepitwa na wakati,wenzetu wameanza kuweka nguzo za zenge ambazo haziliwi na mchwa Wala kuoza na gharama ya kuja kukarabati line utapungua line ikichoka.mfano mikoa ya Kilimanjaro,morogoro,dar,Arusha gharama za ukarabati line za umeme ni kubwa kuliko uwezo wa kuweka line mpya.pia serikali ije na mfumo mmoja wa size ya nguvu ya transformer zinazotumika kwenye mradi.
 
TUSAIDIE namba yako ya simu wataalamu wetu wafike kuangalia swala lako tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahili, mjomba Wala usisite, wapatie no za simu dukuduku lote litakwisha.

Binafsi nimepata ufumbuzi mwingi kupitia jamii Forum- Tanesco. Hivi Sasa Sina shaka kabisa na utendaji wao ukurasa huu uko Makini.

Bravo Tanesco.
 
Ni kawaida kabisa Tanesco kuruka maeneo yenye nyumba za wakazi ambao ni wanachama wa vyama vya upinzani.hata mkoa wa Geita Kuna vijiji vilivukwa na umeme.sio huko tu
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAF
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAF
Kuna kipindi nilisikia Tanesco kuna planners na engineers. Nadhani wote walitumbuliwa wakati wa vyeti feki, otherwise Tanesco wasingefanya kazi kama vile wanaongozwa na wajumbe wa chama cha ACT wazalendo
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa.
 
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji Cha losokonoi,Kiko kata ya lendanai, wilaya ya simanjiro,mkoa wa manyara.kaya zaidi ya 300 zimerukwa na mradi wa REA,umeme unefungwa nyumbayashule aliyoko mwalimu mmoja na zahanati tu.simu namba 0768570893
 
Hii ni tabia au ndizo taratibu za tanesco, sisi kitongoji chetu kilirukwa na tumehangaika bila mafanikio na sasa tumeamua wanakitongoji wote kwa pamoja tuwaandikie barua tanesco kupitia kwa viongozi wa vijiji hadi wilaya ili tusaidiwe kupata umeme. Pia tumeamua kujitoa zaidi endapo barua yetu itapuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiji Cha losokonoi,Kiko kata ya lendanai, wilaya ya simanjiro,mkoa wa manyara.kaya zaidi ya 300 zimerukwa na mradi wa REA,umeme unefungwa nyumbayashule aliyoko mwalimu mmoja na zahanati tu.simu namba 0768570893
Na umeamini kabisa uko safe kwa kuweka no. Yako ya simu sio?
 
Kijiji cha sukuma katika halimashauri ya Buchosa kimesimikwa nguzo mwaka wa tatu huu bila umeme kuwaka!! Hata nyaya tu hazijawekwa, pia kitongoji cha isegeng'he kimerukwa wakati umeme ukipelekwa ktk kijiji cha Mwamanyili ni ajabu hili!!. Mi napatikana 0757939491

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUSAIDIE namba yako ya simu wataalamu wetu wafike kuangalia swala lako tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya mada, though ni mulemule. Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili mfumo wa matumizi makubwa kwenda madogo. Maana Mimi nimefungiwa mita last month kila nikiwauliza wahusika wanasema mfumo umebadilika watakuja kunirekebishia.

Ikoje hii? Maana inanikata vbaya sana. Tshs.350+ @1Unit naumia yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…