TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Kuna kipindi nilisikia Tanesco kuna planners na engineers. Nadhani wote walitumbuliwa wakati wa vyeti feki, otherwise Tanesco wasingefanya kazi kama vile wanaongozwa na wajumbe wa chama cha ACT wazalendo
Transformer zinazowekwa na REA nchi nzima hazina uwezo wa kuendesha viwanda ili kutimiza ahadi ya mh Rais ya tanzania ya viwanda.ili kueekeza kiwanda kwenye mradi wa REA itabidi Tanesco wake wabadilishe transformer na kuweka kubwa na wakati ikibadilishwa mkandarasi wa REA alishalipwa siku nyingi na kukabidhi mradi.ninashauri kabla waziri wa nishati ajakaribishwa kufungua mradi wa REA ijiridhishe kwa kuona ukubwa wa transfoma zilizowekwa kwenye mradi.pili biashara ya kutumia nguzo za miti imepitwa na wakati,wenzetu wameanza kuweka nguzo za zenge ambazo haziliwi na mchwa Wala kuoza na gharama ya kuja kukarabati line utapungua line ikichoka.mfano mikoa ya Kilimanjaro,morogoro,dar,Arusha gharama za ukarabati line za umeme ni kubwa kuliko uwezo wa kuweka line mpya.pia serikali ije na mfumo mmoja wa size ya nguvu ya transformer zinazotumika kwenye mradi.
 
TUSAIDIE namba yako ya simu wataalamu wetu wafike kuangalia swala lako tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahili, mjomba Wala usisite, wapatie no za simu dukuduku lote litakwisha.

Binafsi nimepata ufumbuzi mwingi kupitia jamii Forum- Tanesco. Hivi Sasa Sina shaka kabisa na utendaji wao ukurasa huu uko Makini.

Bravo Tanesco.
 
Ni kawaida kabisa Tanesco kuruka maeneo yenye nyumba za wakazi ambao ni wanachama wa vyama vya upinzani.hata mkoa wa Geita Kuna vijiji vilivukwa na umeme.sio huko tu
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAF
Transformer zinazowekwa na REA nchi nzima hazina uwezo wa kuendesha viwanda ili kutimiza ahadi ya mh Rais ya tanzania ya viwanda.ili kueekeza kiwanda kwenye mradi wa REA itabidi Tanesco wake wabadilishe transformer na kuweka kubwa na wakati ikibadilishwa mkandarasi wa REA alishalipwa siku nyingi na kukabidhi mradi.ninashauri kabla waziri wa nishati ajakaribishwa kufungua mradi wa REA ijiridhishe kwa kuona ukubwa wa transfoma zilizowekwa kwenye mradi.pili biashara ya kutumia nguzo za miti imepitwa na wakati,wenzetu wameanza kuweka nguzo za zenge ambazo haziliwi na mchwa Wala kuoza na gharama ya kuja kukarabati line utapungua line ikichoka.mfano mikoa ya Kilimanjaro,morogoro,dar,Arusha gharama za ukarabati line za umeme ni kubwa kuliko uwezo wa kuweka line mpya.pia serikali ije na mfumo mmoja wa size ya nguvu ya transformer zinazotumika kwenye mradi.
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAF
Kuna kipindi nilisikia Tanesco kuna planners na engineers. Nadhani wote walitumbuliwa wakati wa vyeti feki, otherwise Tanesco wasingefanya kazi kama vile wanaongozwa na wajumbe wa chama cha ACT wazalendo
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mradi mwingine nimeukuta kule Nzega kata ya Sigili bado unaendelea.

Wameunganisha kwenye taasis za serikali tu,hakuna nyumba hata moja ya mtu imeunganishwa kata nzima.

Uongozi wa vijiji umeenda TANESCO (W) wameambiwa wasubiri awamu zijazo.

Ukisikia takwimu za REA kuungasha maelfu ya vijiji unafarijika lakini ukifuatilia uhalisia umejaa ubabaishaji tu.
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu inasikitisha sana japo wao TANESCO watapinga lakn huo n ukweli maeneo ambayo wapinzan wanaongoza Mara nyingi wanarukwa kina clip moja mh kibajaji mbunge waMtera alikuwa akiongea na wananch nadhan Songea aliwaambia ukweli jinsi Ccm inavyofanya kukandamiza upinzan wakishirikiana na mawaziri

Hii kauli ya maendeleo hayana chama n changalamacho TANESCO n kama kama rubber stamp tu lakn mipango yao inapangwa na Ccm wao hawana maamuzi yoyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO walipewa maelekezo ya kutoruka makazi ya watu pindi wanaposambaza umeme.

Katika eneo la Naliendele mkoani Mtwara umeme uko ktk mitaa ya Pwani, Mnali halafu wakaruka nyumba 400+ zilizopo pachoto A na Pachoto B wakaenda kuweka Sogea.

Wananchi wa Pachoto A na Pachoto B wanaamini kuwa walirukwa makusudi na wanasema nyumba za Sogea zinamilikiwa na vigogo wa taasisi mbalimbali ndomaana mradi wa REA wa Pachoto A na Pachoto B ukakimbizwa kule.

Wanatamani siku Mh Rais atakapokuja wamwombe awasaidie umeme kwa gharama yoyote hata kamasi wa REA

Wanaamini watendaji wa TANESCO Mtwara wana laana.

TANESCO Tanzania kazi kwenu. Meneja wenu alimuuziaga transformer mwekezaji Mh Rais akaingilia, leo mnafanya tena uhuni ngoja aje tena maana hamwezi bila kusukumwa.

Mh Rais karibu sana Mtwara baada ya likizo, karibu ili umkague mkandarasi wa barabara ya Mtwara-Newala, karibu ushangae maajabu ya TANESCO

Sent using COVID-19
Kweli kabisa.
Ni kweli kabisa, kunasehemu nilipitakatika harakati za maisha Handeni Tanga. Kabuku ndani, kunavijiji vingi tu ukianzia iliyokua kambi ya wakimbizi, Chogo kunavijiji vingi tu hakuna umeme, walianzia sehwmu, wakasitisha. Hadi leo wananchi wanataabika na giza, na walihamasishwa kujiandaa kwa uneme. Wahusika liangalieni hili kwa jicho la pili.
 
Tafadhali unapotoa lalamiko au kuuliza weka taarifa kamili ya vijiji husika na namba yako ya simi kwa taarifa zaidi kutoka TANESCO

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji Cha losokonoi,Kiko kata ya lendanai, wilaya ya simanjiro,mkoa wa manyara.kaya zaidi ya 300 zimerukwa na mradi wa REA,umeme unefungwa nyumbayashule aliyoko mwalimu mmoja na zahanati tu.simu namba 0768570893
 
Hii ni tabia au ndizo taratibu za tanesco, sisi kitongoji chetu kilirukwa na tumehangaika bila mafanikio na sasa tumeamua wanakitongoji wote kwa pamoja tuwaandikie barua tanesco kupitia kwa viongozi wa vijiji hadi wilaya ili tusaidiwe kupata umeme. Pia tumeamua kujitoa zaidi endapo barua yetu itapuuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiji Cha losokonoi,Kiko kata ya lendanai, wilaya ya simanjiro,mkoa wa manyara.kaya zaidi ya 300 zimerukwa na mradi wa REA,umeme unefungwa nyumbayashule aliyoko mwalimu mmoja na zahanati tu.simu namba 0768570893
Na umeamini kabisa uko safe kwa kuweka no. Yako ya simu sio?
 
Kijiji cha sukuma katika halimashauri ya Buchosa kimesimikwa nguzo mwaka wa tatu huu bila umeme kuwaka!! Hata nyaya tu hazijawekwa, pia kitongoji cha isegeng'he kimerukwa wakati umeme ukipelekwa ktk kijiji cha Mwamanyili ni ajabu hili!!. Mi napatikana 0757939491

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TUSAIDIE namba yako ya simu wataalamu wetu wafike kuangalia swala lako tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Nje ya mada, though ni mulemule. Naomba kuuliza utaratibu wa kubadili mfumo wa matumizi makubwa kwenda madogo. Maana Mimi nimefungiwa mita last month kila nikiwauliza wahusika wanasema mfumo umebadilika watakuja kunirekebishia.

Ikoje hii? Maana inanikata vbaya sana. Tshs.350+ @1Unit naumia yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom