TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Napatikana Ilala Banana Dar es salaam ,
Mkuu Ni wiki km Tatu sasa Hatuna Umeme Sababu Mita No. Ni Mbovu Tulichukua hatua ya Kuwataarifu TANESCO Waweze Kufanya Marekebisho Lkn walisema inatakiwa Kubadilishwa tupatiwe nyingine mpya Lkini Tunaishia Kuambiwa Tutakuja Kesho . TAMBUENI KUWA UMEME NI KILA KTU KWA MAISHA YA SASA.., So can You tell me Hata km ni Wewe UTAWEZANA kukaa Bila umeme For a Month...?[emoji40]

Sent from my AUM-AL00 using Tapatalk
 
Poleni na majukumu, mimi ni mkazi wa dar es salaam maeneo ya Mbweni NHC jirani na Faraja Pub.
Nawaletea malalamiko yangu toka jana saa 9 mchana hatuna umeme ni baadhi ya nyumba. Nimetoa taarifa Tanesco tawi la tegeta lakini cha kusikitisha toka jana hakuna jitihadazozote zilizotekelezwa mpaka muda huu naleta malalamiko yangu humu. Wanatoa majibu mepesi mafundi watakuja bila kujali hali ilivyo kwa sasa dar es salaam tumeambiwa tukae ndani, kutokana na ugonjwa wa hatari Corona, tuna akiba ya vyakula vinaharibika kwenye mafridge simu hazina charge tv na radio hazifanyi kazi huko ndani tunakaaje na mh. Waziri Kalemani alisema umeme usikatike. Tunaomba mtusaidie watanzania wenzenu tunateseka kuweni na huruma basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika letu pekee la umeme Tanzania mnafurahisha Sana. Maagizo ya Waziri na mnayoyafanya ni vitu viwili tofauti.

Waziri alitoa maagizo KUUNGANISHA UMEME nchi nzima kwa gharama na bei za REA nadhani.

Mimi nipo umbali wa mita 25 toka ilipo nguzo ya umeme na nimepewa quotation ya Tsh. 536,000.

Je, Tanesco mnatenda kazi kinyume na maagizo ya Waziri pamoja na Wizara ya nishati?

Tatizo lenu hasa Nini. Hivi ukimfungia mtu umeme SI ananunua luku na nyie mnapata mapato na Serikali pia inapata?

Kwa usawa huu, kea mlalahoi hamuoni kuwa laki tano Ni ndefh Sana?

Je, hamuoni mnakuwa kikwazo kwa MALENGO ya Mheshimiwa Rais?

Tafadhali Sana naomba mnijibu kero yangu.

Tanesco Kindly respond to this....
 
Tanesco huku mlikofikia sio uungwana kabisa!!

Ni kama week ya pili sasa Uyole,Mbeya mnatukatia umeme kwa zaidi ya masaa 10-12 bila kuwepo taarifa maalumu

Tuhurumieni wengine tutakufa njaa tunaotegemea umeme yaani Corona itupotezee hela na nyie pia

Huo sio uungwana kabisa au kwasababu mnategemea mwisho wa mwezi! Tunaoathirika ni sisi na nimeandika haya kwa hasira na ghadhabu ikiwaka juu yenu.
 
Mimi nataka kujua kwanini tanesco mnauza nguzo huku Waziri akisema nguzo ni bure?Ina maana Kalemani anatudanganya?Mimi kwangu kuna nguzo ipo chini miaka haijatumika ila nikiomba kuunganishiwa umeme mmataka pesa laki mbili na ushee kwa ajili ya nguzo tu,Naomba majibu maana malalamiko haya nina mpango kuyapeleka wizara ya nishati endapo sitapata msaada

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukiuziwa nguzo utaunganishiwa umeme?
Mfano umeuziwa tu nguzo peke yake utaifanyia nini? Kupasua kuni, kujengea banda ama nini? Na ukiuziwa nguzo dai risiti ya nguzo.
Ninavyo fahamu TANESCO wana charge kutokana na umbali wako. Nguzo ni baadhi tu ya vifaa ambavyo hutumika pale umbali unapozidi mita 30.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.

Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;

LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu

HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA

Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219

Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098

Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361

Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386

Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110

Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779

Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8

Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590

Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330

Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061

Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672

Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180

Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728

Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133

Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868

Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120

Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668

Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200

IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makauu.

NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE

1. Ilala

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

2.Kinondoni Kusini (Magomeni)

0784271461/ 0715271461

3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)

0784 768584/ 0716 768584

4. Temeke

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386

6. Mbeya
0759 777781/0787 023422

7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110

8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779

9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8

10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951

11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330

13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061

14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087

15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072

16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728

17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2

18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133

19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868

20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070

21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226

22. Katavi
0688345200

23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.

25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986

26. Njombe
0744703988

27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902

28. Iringa 0262702019/0739203015

29. Lindi
0752518247/0685692786

Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu

0768 985 100/0222194400

Facebook
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter
www.twitter.com/tanescoyetu

Tovuti
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
[/QUOTE
Hongera Wizara ya nishati,waziri wa nishati,na meneja wa Tanesco mkoa wa Geita.nimekupa hongera hizi kwa juhudi mnayoifanya kuhakikisha kuwa migodo yote ya uchimbaji wa dhahabu mkoa wa Geita unafikiwa na umeme wa REA.
Nimetembelea migodi mingi ya uchimbaji na maeneo ya kuchenjulia dhahabu mkoa wa Geita nimekuta wachimbaji wengi wanafungwa umeme Tena wa gharama nafuu na kwa wakati.umeme huu utasaidia kukuza ,kuongeza viwanda vya kuchenjulia dhahabu,mapato ya serikali na kupunguza umadkini nchini.
Ombi langu kwa meneja wa Tanesco mkoa wa Geita, aongeze bidii na kumalizia kuwafungia umeme wachimbaji wote mkoani geita ambao wameomba umeme au wametuma maombi kwake kuunganishiwa umeme kwa ajili ya uchimbaji na uchenjuaji wa dhahabu.ni matumaini yetu kuwa Hadi mwezi July 2020 migodi yote mkoani geita itakuwa imeunganishiwa umeme wa REA.
 
TANESCO kimara mwisho tumelala giza umeme umerudi asubuhi.Nilipiga simu usiku wakaniambia kuna hitilafu sababu ya mvua.
Asubuhi umerudi,saa hizi saa saba na nusu umekatika tena,nawapigia wanasema vile vile hitilafu.
Hizi hitilafu zenu zinaisha lini?in a scope of 24 hours tayari umeme umekatika mara mbili kwa vipindi vya masaa mengi.Mna shida gani nyinyi?Narudia neno lile lile mvua ni asili ya dunia,tunazo hadi kiama,mnaposingizia mvua kwa hitilafu mnataka kusemaje?hebu jifunzeni kuendana na mazingira.Umeme ni kitu sensitive.Acha mvua zinyeshe lakini umeme uwepo.
 
Magomeni Kilosa Morogoro,tunahitaji umeme,na tumefanya tàratibu zote,imebaki kulipia tu.Ili umeme ufike kwangu inahitajika nguzo moja.Nimefuatilia ili nilipe hiyo 27000,naambiwa nguzo hazipo.nitulie kwanza Hadi zitakapokuja.Huu ni mwaka sasa bado naambiwa nisibiri nguzo!Sasa sijui hizi nguzo zitakuja lini!Nauliza;hizo nguzo zinapatikana nchi gani?Na zitakuja lini?Au sisi hatupo katika hiyo ya 27000?Namba zangu ni hizi 0754-384 094

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAARIFA KWA UMMA
IMG_20200418_170811_958.jpg

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Magomeni Kilosa Morogoro,tunahitaji umeme,na tumefanya tàratibu zote,imebaki kulipia tu.Ili umeme ufike kwangu inahitajika nguzo moja.Nimefuatilia ili nilipe hiyo 27000,naambiwa nguzo hazipo.nitulie kwanza Hadi zitakapokuja.Huu ni mwaka sasa bado naambiwa nisibiri nguzo!Sasa sijui hizi nguzo zitakuja lini!Nauliza;hizo nguzo zinapatikana nchi gani?Na zitakuja lini?Au sisi hatupo katika hiyo ya 27000?Namba zangu ni hizi 0754-384 094

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu kama umbali ni zaidi ya mita 30 na huo umbali lazima kuwepo na nguzo na nguzo hitajika ni moja bora uombe wakupe quotation tu ambayo itakuwa around 340,000/= au na zaidi kidogo. Ukisubiri hiyo 27,000 unaweza ukajikuta maishani hupati umeme. Kama unapenda umeme fanya hivyo nilivyokushauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu.

Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika;

1.ENEO HUSIKA

(Mnaweza kuwa eneo moja lakini mnahudumiwa na transfoma au njia ya kusambaza umeme (feeder) tofauti)

2.NAMBA YA SIMU

(Wakati mwingine umeme upo kote isipokuwa kwako hivyo na rahisi kuwasiliana na wewe)

3.KARIBU NA NINI

(Kuna alama vitu au watu mashuhuri karibu na eneo lako mfano ofisi ya Serikali ya Mtaa, Mahakama, Kituo cha Polisi nk)

4.JINSI YA KUFIKA MAKAZI YAKO

(Toa ufafanuzi wa jinsi ya kufika makazi yako,chukulia unamuelekeza mtu ambaya hajawahi kufika kabisa)

5.MKOA,WILAYA NA KITONGOJI/KIJIJI

(Taarifa hii ni muhimu sana kusaidia kubaini eneo husika lipo wapi kwani yapo maeneo yanayofanana kwa majina lakini yapo Mikoa tofauti mfano Magomeni ipo Dar es Salaam na Mkoa wa Mtwara pia.)

6.KAMA NI TATIZO LA MITA NINI KINATOKEA UKIWEKA UMEME

(Kila mita ina ujumbe wake unaoashiria kitu fulani hivyo kubainisha ujumbe kunamsaidia mpokea taarifa kukupatia maelezo sahihi mfano mita namba 24339173921 inaonyesha error 77)

7.KAMA NI KUSHINDWA KUNUNUNUA UMEME UNAPATA UJUMBE GANI NA UNANUNUA KWA NJIA GANI

(Ujumbe huu ni muhimu sana kuweza kubaini chanzo cha tatizo pamoja na njia iliyotumika kununulia umeme mfamo Mpesa, Tigopesa, Maxcom nk)

TUNAENDELEA KUWASIHII WATEJA WETU KUZINGATIA UTOAJI WA TAARIFA SAHIHI NA FASAHA KWA HUDUMA BORA ZAIDI KUTOKA TANESCO.

ENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA TANESCO

Vilevile pitia threads hizi kupata Maelezo ya ziada;

LUKU:Mfumo wenye Tija kwa Wateja na TANESCO

Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

Kw mawasiliano Kituo cha Miito ya Simu (+255) 22194400 or (+255) 768 985 100 Mitandao ya kijamii Tanescoyetu (@tanescoyetu) | Twitter Facebook: Tanesco Yetu

HAPA CHINI NI NAMBA ZA SIMU ZA MIKOA

Ofisi ya Mkoa wa Mbeya Simu ya Mkononi (+255) 757 529 380 ya Mezani (+255) 252 504 219

Ofisi ya Mkoa wa Ilala Simu ya Mkononi (+255) 784 768 586 ya Mezani (+255) 222 133 330

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kusini (Magomeni) Simu ya Mkononi (+255) 715 271 461/ (+255) 784 271 461

Ofisi ya Mkoa wa Kinondoni Kaskazini (Mikocheni) Simu ya Mkononi (+255) 784 768 584 / (+255) 716 768 584 ya Mezani (+255) 222 700 367/ (+255) 222 701 602 / (+255) 222 774 098

Ofisi ya Mkoa wa Temeke Simu ya Mkononi (+255) 712 052720 / (+255) 758 880155 / (+255) 732 997361

Ofisi ya Mkoa wa Pwani Simu ya Mkononi (+255) 78 5122020 / (+255) 65 7108782ya Mezani (+255) 23 2 402 386

Ofisi ya Mkoa wa Arusha Simu ya Mkononi (+255) 75 8 174 343 Mezani (+255) 272 506 110

Ofisi ya Mkoa wa Tanga Simu ya Mkononi (+255) 658 122 412/ (+255) 687 677 667 Mezani (+255) 27 2 646 779

Ofisi ya Mkoa wa Kilimanjaro Simu ya Mkononi (+255) 765 397 925/ (+255) 682 771 310 Mezani (+255) 272 755 007/8

Ofisi ya Mkoa wa Manyara Simu ya Mkononi (+255) 689 795 599 / (+255) 75 9 534 130 Mezani (+255) 272 530 590

Ofisi ya Mkoa wa Mwanza Simu ya Mkononi (+255) 759 777 786 / (+255) 687 910 202 Mezani (+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

Ofisi ya Mkoa wa Geita Simu ya Mkononi (+255) 744 085 696 Mezani (+255) 28 2520330

Ofisi ya Mkoa wa Kagera Simu ya Mkononi (+255) 78 5 787 898 / (+255) 75 3 120 701 Mezani (+255) 282 220 061

Ofisi ya Mkoa wa Mara Simu ya Mkononi (+255) 762 165 087 / (+255) 732 985 672

Ofisi ya Mkoa wa Simiyu Simu ya Mezani (+255) 282 700 180

Ofisi ya Mkoa wa Dodoma Simu ya Mkononi (+255) 782 161 643 Mezani (+255) 262 321 728

Ofisi ya Mkoa wa Morogoro Simu ya Mkononi (+255) 68 4889272 / (+255) 65 4829046 Mezani (+255) 232 613 501/2

Ofisi ya Mkoa wa Singida Simu ya Mkononi (+255) 71 4 477 445 / (+255) 732 960 924 / (+255) 689 373 757 Mezani (+255) 262 502 133

Ofisi ya Mkoa wa Tabora Simu ya Mkononi (+255) 786 558 510 / (+255) 763 162 868

Ofisi ya Mkoa wa Shinyanga Simu ya Mkononi (+255) 754 521 070 Mezani (+255) 28 2762120

Ofisi ya Mkoa wa Kigoma Simu ya Mkononi (+255) 78 3720598 Mezani (+255) 28 2802668

Ofisi ya Mkoa wa Katavi Simu ya Mkononi (+255) 68 8345200

IMETOLEWA NA:- Ofisi ya Uhusiano

TANESCO Makao Makauu.

NAMBA ZA SIMU ZA MADAWATI YA DHARURA YA TANESCO MIKOA YOTE

1. Ilala

0222133330/ 0784 768586/ 0715 768586.

2.Kinondoni Kusini (Magomeni)

0784271461/ 0715271461

3. Kinondoni Kasikazini(Mikocheni)

0784 768584/ 0716 768584

4. Temeke

0222138352/ 0732 997361/ 0758881055/ 0712 052720

5. Pwani
078 5122020/065 7108782/023 2402386

6. Mbeya
0759 777781/0787 023422

7.Arusha
0758174343/
0622612501/
+255 27 2506110

8.Tanga
0658 122 412/0687 677 667/ 027 2646 779

9. Kilimanjaro
0765 397 925/0682 771 310/ (+255) 272 755 007/8

10 Manyara
0689 795 599/ 0627938951

11. Mwanza
0759 777 786/0687 910 202/
(+255) 282 501 060 / (+255) 282 500 090

12. Geita
0744 085 696/(+255) 28 2520330

13.Kagera
078 5 787 898 / 075 3 120 701/(+255) 282 220 061

14.Mara
0788 950 688/
028 262 2020/
0762 165 087

15.Simiyu
+255 282 700 180/0626383440/0745044072

16. Dodoma
0782 161 643/(+255) 262 321 728

17. Morogoro
068 4889272 /065 4829046/ (+255) 232 613 501/2

18 Singida
071 4 477 445 /0732 960 924 / 0689 373 757/(+255) 262 502 133

19. Tabora
0786 558 510 /0763 162 868

20. Shinyanga
0754 521 070/(+255) 28 2762120 /
0783 521 070

21. Kigoma
078 3720598/(+255) 2988226

22. Katavi
0688345200

23. Rukwa
0252161120/0768879813
24. Songwe
0684 611716/0763 430381.

25. Ruvuma
0252602281/0763 194 979/0787 758 986

26. Njombe
0744703988

27. Mtwara:
0789 999942/023 2333902

28. Iringa 0262702019/0739203015

29. Lindi
0752518247/0685692786

Kituo cha Miito ya simu/Call Centre Makao Makuu

0768 985 100/0222194400

Facebook
www.facebook.com/tanescoyetu

Twitter
www.twitter.com/tanescoyetu

Tovuti
www.tanesco.co.tz

Barua pepe
Customer.service@tanesco.co.tz

Imetolewa na:
Ofisi ya Uhusiano
TANESCO Makao Makuu
Naomba kuna kitu nijuzwe kuhusu tanesco, amesikika mara kwa mara waziri wa nishati kwamba nguzo ni bure na ni kazi ya tanesco, inachotakiwa kwa mteja ni kufanya maandalizi tu ya nyumba yake halafu anaomba umeme, swali je ni kweli nguzo bure? Swali la pili imekuwa kawaida ya tanesco kwamba ukiomba umeme kuwekewa huwa inachukua mda mrefu mapaka wakuwekee, sijajua tatizo ni nini na je bado mnaendelea na hii tabia au mmebadilika, asante, naomba majibu kwa wahusika tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tanesco jaman mbezi kwa msuguri karibu na kanisa la Roma hatuna umeme siku ya tatu leo chanzo ni moundo mbinu zenu zimepata shida kidgo tafadhalo tunawaomba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...dah, kulikoni wajameni?
Huku nikiendelea kuji lockdown hapa kuna kitu cha ajabu ambacho kinaendelea kutokea ambacho sijawahi shuhudia!
Huu umeme yaani kila baada ya dakika moja unarudi na kukatika, umeshakatika na kurudi zaidi ya mara 65!
Hata wakati naaza kuandika huu uzi umekatika na kurudi mara tatu!
Je wadau, huko mliko hili tatizo mnalipata?
Juzi ulikuwa ukifanya hivyo hivyo mwishowe ukaniunguzia radio, kwa sasa chombo cha umeme kama tv, friji sithubutu kabisa kuwasha!
TANESCO kuna nini leo...!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa niaba ya wananchi wa mji mdogo wa MALAMPAKA ulioko wilaya ya MASWA mkoa wa SIMIYU ktk jimbo la MASWA MAGHARIBI chini ya mbunge wangu ndugu Mashimba (CCM) naandika kulalamikia upatikanaji wa umeme kwa sababu umekuwa kero kubwa na kusababisha athari nyingi na kubwa za kiuchumi na kijamii kwetu sisi wananchi na hata tumeshindwa kuvumilia

Kwa takribani wiki mbili mfululizo sasa umeme umekuwa ukikatika katika hovyo hata mara 20 kwa siku. Na kuna wakati TANESCO mnakata hata masaa zaidi ya 48 bila umeme

Mji wa Malampaka ni wa pili kwa ukubwa katika wilaya ya Maswa baada ya makao makuu ya wilaya.

Mji huu ndiyo kituo kikuu cha reli kwa mkoa wote wa Simiyu.

Aidha huu ni mji wa viwanda vidogo dogo vingi hasa vya kusaga nafaka (unga), kukoboa mpunga na mji huu ni kituo kikuu kimkoa kwa biashara ya Michele

Mji huu mdogo unakadiriwa kuwa na wakaazi (population) ya watu karibu 25,000

Umeme ni nishati muhimu sana kwetu kwa ajili ya shughuli za uzalishaji kwenye viwanda vidogo dogo vya kusaga nafaka (unga), kukoboa mpunga ili kupata mchele, kupoza juice kwenye friji ili tuuze tujipatie kipato, umeme na saluni za kunyoa na za wanawake, stationeries kuendeshea computers nk

Si hivyo tu, bali tunategemea umeme wa TANESCO ili uendeshee machine ya kusukuma maji kwenye matenki ili wakaazi wapate maji kwenye magati

Sasa hebu fikiria, masaa 48 unapokuwa huna umeme unawaathiri watu kwa kiwango gani? Ni wazi kabisa, kuwa, ni kwa kiwango kikubwa!

Kibaya zaidi ni kuwa TANESCO hawatoi taarifa yoyote kueleza tatizo ni nini na litachukua muda gani kutatuliwa. Hivyo hutudharau na kutuacha wananchi ktk sintofahamu kubwa isiyo na maelezo

Nakumbuka waziri wa nishati ndugu Medard Kalemani mapema mwezi Februari, 2018 alikuja hapa Malampaka na kufanya mkutano na wananchi ktk viwanja vya TTCL na kuawaahidi kuwa tatizo la kukatika katika umeme Malampaka na Maswa kwa ujumla litakuwa historia ifikapo mwezi Mei, 2018 kwa sababu serikali inajenga line kubwa mpya mbili za umeme;

¶ Moja toka Ibadakuli, Shinyanga hadi Maswa kisha Bariadi

¶ Na ya pili toka Mwabuki - Misungwi - Mwanza ipite hapa Malampaka hadi Maswa kisha iungane na ile inayotoka Ibadakuli - Shinyanga kuelekea Bariadi

Aidha Waziri aliahidi na kuagiza yafuatayo kufanyika pia;

¶ Mosi, TANESCO kufungua ofisi ndogo hapa Malampaka kuhudumia wananchi.

Hili limefanyika japo kiuhalisia hakuna ofisi bali kuna Tent (turubai) tu na kuna vijana wawili ambao kazi yao ni kupokea malalamiko tu ya wateja

¶ Mbili, TANESCO wajenge kituo kidogo cha kupozea umeme pale MASWA ili kusaidia kuleta stability ya upatikanaji umeme ktk eneo hili

Sina hakika kama maagizo haya yalitekelezwa na wahusika kwa sababu laiti kama ingekuwa hivyo, watu tusingekuwa tunalalamika hivi hata kuona kuwa umeme ni tatizo kuliko hata virusi vya CORONA!

HIVI, ninavyoposti taarifa sasa ikiwa ni SAA 4:30 usiku huu, hatuna umeme tangu jana!

Ulikatika around saa 9alasiri jana tarehe 10/3/2020. Ukawaka tena leo saa 6 mchana. Umekuwa hivyo hivyo ukiwaka na kukatika katika hivyo na umekatika moja kwa moja ilipofika saa 12jioni na haieleweki utarudi lini!!

Sasa hebu TANESCO mtuambie, mna matatizo gani? Mnakwama wapi? Kwanini inakuwa ni ngumu kuwasiliana na sisi wateja wenu ili tujue na watu tujiandae kutafuta nishati mbadala?

Msituambie kuwa tatizo ni mvua zinazonyeesha na kuathiri miundo mbinu ya usafirishaji umeme

Hili linaweza lisiwe kweli kwa sababu hata umeme unapokuwa umewaka, unakuwa haupo stable. Ndani ya saa moja unaweza kuwaka na kuzima hata mara 10 mpaka hufikia watu tunajisemea "labda fundi mitambo anajifunza kuwasha na kuzima!!"

Rais JOHN POMBE MAGUFULI mwaka 2015 alipoingia madarakani, alitamba sana kuwa umeme wa mgawo na ile hali ya kukatika katika hovyo nchi hii itakuwa historian

Sasa hii ahadi yake mbona inakuwa kama zilikuwa nguvu ya soda ya coca cola tu? Kwanini mnanyanyasa wananchi hivi nyie serikali ya CCM ya wanyonge??
 
Ukiuziwa nguzo utaunganishiwa umeme?
Mfano umeuziwa tu nguzo peke yake utaifanyia nini? Kupasua kuni, kujengea banda ama nini? Na ukiuziwa nguzo dai risiti ya nguzo.
Ninavyo fahamu TANESCO wana charge kutokana na umbali wako. Nguzo ni baadhi tu ya vifaa ambavyo hutumika pale umbali unapozidi mita 30.

Sent using Jamii Forums mobile app

Je katika hivyo vifaa nguzo haipo kwenye hesabu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom