Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO FANYENI JUU CHINI MJE KUBADILISHA HIZI NGUZO ENEO HILI LA MBAGALA KATI YA MISHENI NA KWA MPILI. HILI ENEO MAJI YAMELICHIMBA MPAKA IMEBAK KIDOGO SANA KUANGUKA NA UMEME UNAOPITA HAPA NI ULE MKUBWA (TREE FACE)

KAMA MKISUBIRI ZIKIANGUKA KITAKACHOTOKEA SIO HASARA NI MAAFA,NYUMBA ZITAUNGUA NA KUTATOKEA SHOTI KUBWA SANA MANA KUNA MAKAAZ YA WATU.

MSIJESEMA HAMKUAMBIWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo picha nilipiga toka mwez wa 3 kwa sasa kumechimbika zaidi na hizi mvua za karibuni, ndio maana nimeamua kuja kuwaambia, kama mvua ikiendelea kama siku 2 tu mtajionea wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli Tanesco ya imeboreshwa sana, mda mfupi tu ukitoa lalamiko lako linapata majibu, nawapa hongera sana Tanesco kwa kweli, wako makini hadi usiku wanatoa ushirikiano. Kongole kwenu Tanesco
 
Tanesco Dodoma tunaomba muongeze kasi ya kuhudumia wateja especially maombi mapya ya huduma ya umeme. Tupo tuliolipia tangu January,2020 Lakini hatujapatiwa huduma hadi leo maelezo yakiwa ni ukosefu wa nguzo Kila unapouliza licha ya wengine kupata huduma akati wamelipia February na wengine March (our friends). Tutoe huduma Bila upendeleo.
 
ndg TANESCO Kimara Mwisho yoooote.
Yaani kakipita hata kaupepo kenye majimaji lazima umeme uzimike.
Haya leo jnne mda huu umeme ushazimwa.Na usiku kalipita kamvua hivi.Sasa hali hii hadi lini jamani?![emoji17]
Tunaimani uliona hali ya hewa ya jana usiku ambapo hata hivyo wataalamu wetu walipambana na mvua mpaka huduma ikarejea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaimani uliona hali ya hewa ya jana usiku ambapo hata hivyo wataalamu wetu walipambana na mvua mpaka huduma ikarejea

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa.Niliona jana mlikuja mkatubadilishia matransforma mawili matatu mmeweka mapya.Leo mvua inanyesha ila umeme upo.Mie sikupi credit kwanza.Nasubiri mwezi mzima ndio nijue imesaidia au la.
Jitahidini.This is how it should be.Mvua zinyeshe na umeme uwepo.Tunavihitaji vyote tu.
Thank you.
 
asante tumelipokea na tutalifanyia kazi
Ninachokiona hapa hasa swala la nguzo mikoani ni Muh Medard Kalemani mwenyewe atujibu hapa, kwanini atuaminishe kuwa nguzo zipo na ombeni umeme ndani ya 14 days unapata umeme? Maswala ya siasa tuyaweke pembeni. Mwenye No yake please aiweke hapa ili atujibu hadharani kama ni siasa au yuko siriasi na anachokiongea majukwaani.
 
 
Hapa tuwekeeni number za simu za Muh Medard Kalemani mwenyewe, Aje atujibu wapiga kura wake tatizo la Nguzo kwa waombaji waya wa umeme likakwisha lini, mwenyewe akisema tuombe kuunganishiwa umeme ndani ya siku 14 tutakua tumeunganishiwa umeme. Sasa kwa hili tatizo la nguzo huku mikoani kwakweli linahitaji majibu yake. Tunasubiri sana kuunganishiwa umeme, kama maneno yake yalikua ni siasa basi nivema atueleze sasa au Muh Raisi atoe kauli nyingine tofauti na ya waziri wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…