Ahsante kwa taarifa tafadhali onyesha namba yako ya simu na namba ya taarifaTANESCO CHARAME WANATUTESA SANA WATEJA MBANDE NA KISEWE TEMEKE KUNA LINE HAINA UMEME TANGU ASUBUHI MPAKA SAA HIZI TUNAPIGA SIMU HAWAPOKEI NA ISITOSHE WANAZIMA KABISA SIMU YA KUTOREA TAARIFA AMBAYO NI 0714073588 ,TUNAOMBA MTUSAIDIE MAANA TATIZO LA KUZIMA UMEME KWENYE LINE HII HUJIRUDI MARA KWA MARA
Tafadhali onyesha namba ya simu na namba ya taarifa kwa hatua zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni nini? Unaushahidi wa tuhuma zako tupatie au fikisha TAKUKURURU kwa hatua zaidi.Tafadhali onyesha namba ya simu na tatizo lakoTanesco Mikocheni ni wiki sasa nimewapigia simu kuhusu tatizo la umeme ila hawaji. Kuna rafiki yangu aliwapigia simu wakafika kwake ndani ya masaa 4 kisa anawapa kitu kidogo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Eneo gani wilaya namba ya simu tafadhaliTangu jana usiku mida ya saa mbili waya za umeme zimekatika hapa maeneo ya Tandale
Watu hawana umeme lakini pia usalama ni mdogo kwakua waya zipo chini tumewapigia sana simu kuja amtaki tatizo nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
0739387868 Naomba majibu kuhusu kukatika kwa umeme Nachingwea - Lindi. Je ni mgao na utaisha lini? Narudia hii wiki ya tatu sasa. Mfano leo umeme umekatwa saa nane mchana umerudishwa saa tano usiku.
Ahsante kwa taarifa0739387868 Naomba majibu kuhusu kukatika kwa umeme Nachingwea - Lindi. Je ni mgao na utaisha lini? Narudia hii wiki ya tatu sasa. Mfano leo umeme umekatwa saa nane mchana umerudishwa saa tano usiku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fata ushauri wa jamaa hapo juu👆 uko 💯Nenda kamuone meneja wao hapo Kisarawe. Kuna jamaa mmoja msukuma yupo poa sana. Fasta tu utawekewa. Mie pia walikuwa wananifanyia danadana hizo, nikatimba pale, sikutaka maongezi na mtu yeyote zaidi ya manager. Siku hiyohiyo umeme ulikuja kufungwa.
Personal interests vs national interests-hao ndo wanakwamisha maendeleo ya nchi,wamepewa mamlaka ya kuweka miundombinu ya serikali ili kuweza kukusanya Kodi toka vyanzo vya mapato ya serikali Leo mtu anachelewesha serikali isipate Kodi mapema,tupia humu jina la huyo mtu na kituo chake Cha kazi jumatatu uende pale utapokelewa Kama mfalme,tupia jina lake na kituo cha kaziMkuu hao watafutie sukari kidogo tu kabla jua halijachwa utashangaa lijiumeme hilo linawaka. Ukienda kiofisi utapewa maneno kibao mara ngoja kwanza kuna walioomba kabla yako au nguzo hazipo. Acha ubahili jikusanye uwaone. Kuna jamaa yangu alitaka huduma hawakuja mwaka mzima. Siku amewalambisha tu walitokeza siku ya pili asubuhi kwelikweli wakamfungia kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni mzaha kwenye mambo ya msingi, mie nauliza swali unajibu asante kwa taarifa. Uko serious? Kabla ya kujibu maswali jiridhishe mkoa husika kwa kuuliza na si kutoa majibu yako ya mfuko. Kupewa ajira ya kujibu maswali ya watu si kuwa una majibu bali jipe muda ujibu majibu sahihi.
Mkuu hao watafutie sukari kidogo tu kabla jua halijachwa utashangaa lijiumeme hilo linawaka. Ukienda kiofisi utapewa maneno kibao mara ngoja kwanza kuna walioomba kabla yako au nguzo hazipo. Acha ubahili jikusanye uwaone. Kuna jamaa yangu alitaka huduma hawakuja mwaka mzima. Siku amewalambisha tu walitokeza siku ya pili asubuhi kwelikweli wakamfungia kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app