Hizi ndio unnecessary contradictions katika utekelezaji wa miradi!
Report itaandikwa kuwa Kikongo tayari iliishapatiwa umeme through mradi wa Peri Urban!Hii itamaanisha kuwa hata vitongoji vyake vyote vimenufaika na huo mradi! Hivi kweli ni nguzo ngapi zilizobaki in order to cover kitongoji kimoja tu cha VIZIKO kiasi cha kusubiri mpaka Next budget??
Majibu kama haya ni mepesi kwa maswali magumu maana limeanzia baada ya kumiss kusurvey!
Hapa wananchi wa VIZIKO hatujaridhishwa na hili la contradicting answer!!
Sent using
Jamii Forums mobile app