TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mm nataka umeme kwenye nyumba yangu, Kabuku Tanga, eneo la ki Tanesco ni Korogwe.majibu ya ya nguzo tatu ni mradi kwahiyo nisubiri bila kujua nasubiri mpaka lini hayaniridhishi. Nataka Muh Medard Kalemani anijibu nasubiri kwa mda gani, kunashida gani kwa Tanesco kupata nguzo 3 za kuniwekea umeme? Wakati jirani yangu anaumeme? Ndani ya mita 60 tu?my cont 0625543419.
Applications Number yangu 531520- 01318.
 
Nimeenda jana ofisi za ya kata ya Kikongo baada ya kuona nguzo zimemwagwa nyingi sana huku mafundi wakisimika nguzo na kufanya wiring kwa kasi! Niliongea na mwenyekiti akapokea hiyo changamoto akaahidi kwamba atanijibu baada ya kuwaona wahusika!
Napatikana kwa simu 0629594321
Kitongoji cha Viziko kijiji cha Kikongo ni moja kati ya maeneo ambayo hayakunufaika na Mradi wa Peri Urban

Kikongo ni moja kati ya vijiji vilivyo nufaika na Mradi wa Peri Urban unaoendelea kufanyika na mkandarasi ameshawasha transfoma 3 Kitongoji cha Mwanabwito (shule, masikitini na kiembaemba)

Hivyo tunaomba wananchi wa Viziko waendelee kuwa wavumilivu wakati tukisubiri Mradi mwingine wa REA kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni kwa kazi. Mimi ni mkazi wa jiji la Mwanza, Wilaya ya Ilemela, mtaa wa Majengo Mapya - Kiloleli 'A'. Hapa Kuna tatazo la kukatika-katika kwa umeme hasa nyakati za jioni kwa baadhi ya nyumba, yangu ikiwa mojawapo. Tukiripotil, mafundi wenu wanafika kurekebisha lakini tatizo hili halipati ufumbuzi wa kudumu hivyo kujirudia kila mara. Hata ninapoandika huu ujumbe (saa 3.50 usiku) nipo gizani baada ya umeme kukatika saa 2.03!
Shida ni nini zaidi? Ufumbuzi wa kudumu utapatikana lini? Tuhurumieni wateja wenu tafadhali. Kazi njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitongoji cha Viziko kijiji cha Kikongo ni moja kati ya maeneo ambayo hayakunufaika na Mradi wa Peri Urban

Kikongo ni moja kati ya vijiji vilivyo nufaika na Mradi wa Peri Urban unaoendelea kufanyika na mkandarasi ameshawasha transfoma 3 Kitongoji cha Mwanabwito (shule, masikitini na kiembaemba)

Hivyo tunaomba wananchi wa Viziko waendelee kuwa wavumilivu wakati tukisubiri Mradi mwingine wa REA kwa mwaka wa fedha 2020/2021.

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndio unnecessary contradictions katika utekelezaji wa miradi!
Report itaandikwa kuwa Kikongo tayari iliishapatiwa umeme through mradi wa Peri Urban!Hii itamaanisha kuwa hata vitongoji vyake vyote vimenufaika na huo mradi! Hivi kweli ni nguzo ngapi zilizobaki in order to cover kitongoji kimoja tu cha VIZIKO kiasi cha kusubiri mpaka Next budget??
Majibu kama haya ni mepesi kwa maswali magumu maana limeanzia baada ya kumiss kusurvey!
Hapa wananchi wa VIZIKO hatujaridhishwa na hili la contradicting answer!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm nimteja nimechoka na ahadi za tanesco mbezi ya kimala tangu mwezi wa tatu mpaka leo nikuambiwa mafundi wanakuja ila sasa nimechoka wafuate mita yao waliacha kwa mjumbe wa serikali za mtaa ntafunga solar tu
TB 4394 ya mwezi watatu kimala bonyokwa vinane
Nimefuatiria tanesco kimala nimechoka cm nimepiga mpaka nimekata tamaa

Ahsante kwa taarifa tunazifanyia kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi ndio unnecessary contradictions katika utekelezaji wa miradi!
Report itaandikwa kuwa Kikongo tayari iliishapatiwa umeme through mradi wa Peri Urban!Hii itamaanisha kuwa hata vitongoji vyake vyote vimenufaika na huo mradi! Hivi kweli ni nguzo ngapi zilizobaki in order to cover kitongoji kimoja tu cha VIZIKO kiasi cha kusubiri mpaka Next budget??
Majibu kama haya ni mepesi kwa maswali magumu maana limeanzia baada ya kumiss kusurvey!
Hapa wananchi wa VIZIKO hatujaridhishwa na hili la contradicting answer!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shauku nataka nijiridhishe! Naomba mnipatie namba ya waziri wa nishati!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom