Mkuu, hata mi nina shida hiyohiyo. Unakuta umewekwa kwenye kundi la matumizi makubwa mfano T1 badala ya D1.Tanesco tafadhali naomba mnipe ufafanuzi kuhusu swala la Tariffs maana Naona kama mnanishinda,Yani Nyumba yangu ina vyumba vitano natumia vyumba 3 umeme na nimefunga taa 3 nje na zote ni zile za umeme mdogo,Inakuwaje umeme wa 9000 napata Unit chache?
Pili mlolongo wa kubadili tariff kwanini tusiufanye Online hasa kwa kipindi hiki cha Mlipuko wa Ugonjwa wa Corona?
𝑯𝒊𝒊 𝒏𝒅𝒊𝒚𝒐 𝑻𝒂𝒏𝒆𝒔𝒄𝒐 𝒚𝒆𝒕𝒖.......Mkuu, hata mi nina shida hiyohiyo. Unakuta umewekwa kwenye kundi la matumizi makubwa mfano T1 badala ya D1.
T1 wanakupa unit 1 kwa sh. 292 wakati D1 wanakupa unit 1 kwa sh. 100 baada ya kodi. Jumla ya kodi ni 22% (angalia sms ya malipo ya LUKU).
Kwa mfano, hiyo elfu 9000 ukiondoa kodi (9000×22/100)= 1980 hii ni kodi. Pesa halali ya unit zako ni 9000-1980=7020
Kwa pesa yako sh 7020 ikiwa upo D1 ulitakiwa upate unit (7020÷100)=unit 70.2 ila kama upo T1 unapata unit (7020÷292)=unit 24
Wameshasavey naomba hiyo namba ya malipo nikalipie hela haiwekekl jamani 0754228453 kiwalani dsmKaribuni sana JF
Mwenye Number ya simu ya Waziri wa nishatu Muh Medard Kalemani. Mm kama mpiga kura wake ninamaswali yanahitaji majibu yake tafadhali!!Hivi ni watu gani wanaosimamia huu mradi wa Umeme wa REA, maana huku kwetu toka mwezi wa 8 nguzo wamesimamisha na wananchi bado hawajapata umeme, wamefunga Trasfoma tu nakuondoka wanadai nyaya hazipo
Kama ni ishu ya serikali ni bora mkawaambia wananchi ukweli kuliko kuzungukazunguka, hizi form tumepeleka toka mwezi wa 8 2019 tunasubiri umeme lakini hadi leo mwezi wa 5 2020
Ebu tupeni majibu hapo tujue kama ni uzembe wenu au ni uzembe wa serikali.
AHSANTE KWA TAARIFA TUNAIFANYIA KAZITATIZO: TUMELIPIA GHARAMA ZA KUUNGANISHIWA UMEME TANGU MAPEMA FEBRUARY (DELAY)
MAHALI: GEITA MJINI .
ENEO: MBUGANI .
TAASISI :KANISA LA EAGT MBUGANI.
NAMBA YA SIMU: 0756 84 95 11.
HALI ILIYOPO: TULILETEWA NGUZO TANGU MWANZONI MWA MWEZI WA NNE, WAKASEMA HAWANA GARI LA KUBEBA WAYA NA MITA KUJA KUFUNGA. WAKATUAMBIA TUCHIMBE SHIMO, TUKACHIMBA, WAKAJA WAKASIMIKA NGUZO.
KISHA WAKAONDOKA BILA KUUNGANISHA UMEME.
NAOMBA MSAADA WENU, KIMSINGI MPO NYUMA YA MAKUBALIANO, NA HII NI TAASISI YA DINI ,HIVYO TUNAKUWA KWENYE WAKATI MGUMU.
Sent using Tecno Sufuria
TAFADHALI ONYESHA NAMBA YAKO YA SIMU KWA TAARIFA KAMILI, JE UMEWAHI KUFIKA OFISI YA ENEO LAKO KUPATA TAARIFA SAHIHILalamiko langu kwa TANESCO
Hivi inawezekanaje kitongoji cha VIZIKO kilichopo KIKONGO wilaya ya Kibaha Pwani kibaguliwe au kusahaulika kuletewa nguzo za umeme? Survey iliishia bondeni daraja la mwendo kasi na sasa hivi wenzetu wa chekeleni wanawekewa umeme na wakati wote tuliomba wakati mmoja?
Tunaomba huyo surveyor na wengine wanaohusika kusambaza umeme wa REA huku Kikongo wajitahidi kumalizia hiki kiporo kilichobakia!
Tumeisha peleka malalamiko yetu kwa mwenyekiti wa Kikongo na tunaomba umeme utufikie na sisi wananchi wa kitongoji cha VIZIKO.
Tafadhali onyesha eneo wilaya namba ya simu kwa taarifa zaidi dhidi ya eneo husikaMwenye Number ya simu ya Waziri wa nishatu Muh Medard Kalemani. Mm kama mpiga kura wake ninamaswali yanahitaji majibu yake tafadhali!!
Unanunua kwa mtandao au njia gani? Tafadhali onyesha namba ya mita na namba ya simu.WATEJA wetu wameendelea kufurahia manunuzi ya umeme vizuri kabisa tunaomba namba yako tukusikilize unapokwamiaUNUNUZI WA UNITS
Kwa karibu siku 5 sasa nimekuwa niambiwa kuwa Network ya TANESCO iko chini sana na huduma nyiingi huku mikoani ZIMEDOROLA hata watu wanaingiwa na hofu ya nini hatima yake . Tafadhali sana Niombe kuanzia kesho tatizo hilo LISIWEPO KABISA ili wanaohitaji huduma toka kwenu wazipate pasio na shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama matumizi yake hayajazidi unit zinazotakiwa afike ofisi ya eneo lake kwa kujaza fomu na hatua zaidiTanesco msaada kwa huyu mama amefiwa na mumewe sasa ni mjane na hana kazi kwenye mambo ya msiba watu walitumia sana umeme akahamishwa tariff kutoka ile ndogo kabisa basi baadaya kugundua kuwa anapata unit chache akinunua akaenda Tanesco Tabora akaambiwa akatumia kwa mwezi matumizi yake yasipofika unit 50 arudi ajaze form arudishe kwa tariff ile ndogo ila ameenda wiki hii amembiwa ukishatolewa hurudishwi tena kaja mnyonge hadi huruma na uwezo kweli hana hebu msaidieni arudi tariff ile huyu mama jama mjane na hana uwezo mwishowe atashindwa huu umeme wenyewe, ita namba yake ni 01320663295, Tabora mjini maeneo ya Ali Hassan Mwinyi. Namba yake ya simu ni 0785356230
Sent using Jamii Forums mobile app
Je nani amekuomba rushwa?Hakuna kitu kinaudhi kama uwe umeshalipia huduma halafu unaendelea kukaa gizani huku ukipasia pasi ya mkaa na kwenda kunyenyekea kwa jirani uwekewe simu kwenye chaji. Halafu hapo eti ukaanze kutoa tena hela nyingine kuhonga wakati umeshalipa? Hell No!
Ewe mtu wa TANESCO, siku ukila rushwa yangu nakuhakikishia itakutokea puani maana ntakujia na TAKUKURU, TARURA, RITA, TRA na kadhalika.
Acha kupotosha jamii tafadhali huduma zetu hazihitaji hayo unayodaiMkuu hao watafutie sukari kidogo tu kabla jua halijachwa utashangaa lijiumeme hilo linawaka. Ukienda kiofisi utapewa maneno kibao mara ngoja kwanza kuna walioomba kabla yako au nguzo hazipo. Acha ubahili jikusanye uwaone. Kuna jamaa yangu alitaka huduma hawakuja mwaka mzima. Siku amewalambisha tu walitokeza siku ya pili asubuhi kwelikweli wakamfungia kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
TUNASHUKURU KWA TAARIFA TUNAIFANYIA KAZITANESCO Nimelipia umeme ,tarehe28/03, niliambiwa ndani ya mwezi baada ya kulipia utakuwa tayari imekuaje mpaka leo kimya.??
Na nguzo ipo nje kwangu..
Niliomba kisarawe, nyumba yangu ipo chanika..
Naomba majibu, au nichukue hatua gani zaidi.??View attachment 1442704
TANESCO TANESCO TANESCO
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Nimeenda jana ofisi za ya kata ya Kikongo baada ya kuona nguzo zimemwagwa nyingi sana huku mafundi wakisimika nguzo na kufanya wiring kwa kasi! Niliongea na mwenyekiti akapokea hiyo changamoto akaahidi kwamba atanijibu baada ya kuwaona wahusika!TAFADHALI ONYESHA NAMBA YAKO YA SIMU KWA TAARIFA KAMILI, JE UMEWAHI KUFIKA OFISI YA ENEO LAKO KUPATA TAARIFA SAHIHI
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba yangu 0629594321TAFADHALI ONYESHA NAMBA YAKO YA SIMU KWA TAARIFA KAMILI, JE UMEWAHI KUFIKA OFISI YA ENEO LAKO KUPATA TAARIFA SAHIHI
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nataka umeme kwenye nyumba yangu, Kabuku Tanga, eneo la ki Tanesco ni Korogwe.majibu ya ya nguzo tatu ni mradi kwahiyo nisubiri bila kujua nasubiri mpaka lini hayaniridhishi. Nataka Muh Medard Kalemani anijibu nasubiri kwa mda gani, kunashida gani kwa Tanesco kupata nguzo 3 za kuniwekea umeme? Wakati jirani yangu anaumeme? Ndani ya mita 60 tu?my cont 0625543419.Tafadhali onyesha eneo wilaya namba ya simu kwa taarifa zaidi dhidi ya eneo husika
Sent using Jamii Forums mobile app
Applications Number yangu 531520- 01318.Mm nataka umeme kwenye nyumba yangu, Kabuku Tanga, eneo la ki Tanesco ni Korogwe.majibu ya ya nguzo tatu ni mradi kwahiyo nisubiri bila kujua nasubiri mpaka lini hayaniridhishi. Nataka Muh Medard Kalemani anijibu nasubiri kwa mda gani, kunashida gani kwa Tanesco kupata nguzo 3 za kuniwekea umeme? Wakati jirani yangu anaumeme? Ndani ya mita 60 tu?my cont 0625543419.