Hapo angalau umenitia moyo hivi lita sh ngap inauzwa? ili nipate hela ya kutengeneza radio yanguKanyonye wese kwenye transfoma ya karibu muende sawa
Mm nikisikia kuwa unaweza kuwachukulia hatua,mfano shot ikitokea ndani na nyumba ikaungua au vitu kuharibika wanawajibishwa vizuri tuWapuuzi sana ..... Hapa Moshi Kuna wakati walikata wakarudisha umeme mkubwa balaa..... Mtaa mzima::.....friji,TV ,subwoofer, deki,ving'amuzi........chochote Kati ya hivyo kilichokuwa on kililia mzinga......
Inatakiwa Serikali iruhusu makampuni binafsi kuanza kutoa huduma equivalent na Tanesco but under STRICT SUPERVISION Kwasababu naelewa umeme Ni issue ya Usalama wa Taifa.......
3; uza kama spea kwa mafundi redio,Hatua hapo ni mbili tu
1; peleka kwa fundi kama inaweza pona
2;Nunua mpya
Tatizo Ni Serikali, Kama Kuna uwezekano huo Basi elimu itolewe...maana wanamaskinisha watu.... Vitu Kama TV,subwoofer kwa hustlers sio vitu vya kurudia rudia kununua....Ni hasaraMm nikisikia kuwa unaweza kuwachukulia hatua,mfano shot ikitokea ndani na nyumba ikaungua au vitu kuharibika wanawajibishwa vizuri tu
Kisheria ipo remedy ambayo ni kuwashtaki. Lakini kabla ya kwenda Mahakamani, sheria inakutaka uandike 'statutory demand notice' ambayo itawapa TANESCO siku tisini wahakikishe wamekulipa madai yako nje ya Mahakama, wasipokulipa ndani ya hizo siku tisini ndiyo ufungue mashtaka dhidi yao.Ni kama wiki mbili sasa kuna tatizo kubwa sana la kukatika umeme na kurudi muda huo huo.
TANESCO kwanini
Kila inapofika jioni umeme unakata na kurudi? wakaazi wa wilaya ya Temeke hasa Mbagala watakuwa mashuhuda wangu,umeme unakatika kisha unarud baada ya kama dk 2 au3.
Jana umekatika ukarudi afuvukakata tena kisha ukarudi moja kwa moja ndio ukaunguza radio yangu.
Naombeni ushauri kama naweza kuchukua hatua.
😂😂😂😂Unaweza endesha kesi hadi ukasahau ni lini kesi ilianza.
Tafadhali onyesha namba ya simu na eneo gani haswa kwa mrejesho zaidiTanesco mnakwaza sana,ivi inakuwaje tatizo la aina moja mwaka mzima halitatuliwi asee,hasara mnazotia uku mtaani sidhani kama kiingoz mmoja wa serikali angekuwa anaishi uku lingekuwepo,tarehe 22/5 nnimepiga simu kwamba umeme mtaan unawaka upande mmoja ilikuwa saa mbili usiku mahira ya arusha mjini mpka mje mrekebishe ni kesho yake saa nane hapo mmejitahidi sana maaana mara zote huwachukua hadi masaa 48 ndo umeme urudi,leo siku 11 baadae tatizo lile lile linajirudia na ni ndani ya jiji la aeusha,last namuuliza fundi wenu kwann hili tatizo linajirudia mwaka na zaid sasa akasema transfima imezidiwa uwezo na tatizo limesgafikishwa office,mi naona tatizo hapa ni uongozi wa juu arusha tanesco meneja hatufaii natamani sana wazir angeputa hapa,transfoma iliyopo maeneo ya sombetini shuleni mnatuzingua na kutuharibia biashara zetu mara kwa mara walipa kodi wa hii nchi
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kaziNi muda gan tunatakiwa kusuniri kuunganishiwa umeme kwenye miradi ya REA baada ya kulipia.
Kuna mradi wa REA unajjulikana kama VISIGA A au Kafulusu hapa Kibaha kata ya Visiga.
Miundombunu yote ishajengwa na tumeshalipia week tatu sasa lakin umeme haujaunganishwa.
Tunatakiwa kusubiri kwa muda gani?
Jina JEREMIAH MSHANA
KIBAHA, PWANI.
NO 0718505991.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mradi huu tayari kazi inaendelea tunaomba uvumilivu wenu mtapata hudumaNi muda gan tunatakiwa kusuniri kuunganishiwa umeme kwenye miradi ya REA baada ya kulipia.
Kuna mradi wa REA unajjulikana kama VISIGA A au Kafulusu hapa Kibaha kata ya Visiga.
Miundombunu yote ishajengwa na tumeshalipia week tatu sasa lakin umeme haujaunganishwa.
Tunatakiwa kusubiri kwa muda gani?
Jina JEREMIAH MSHANA
KIBAHA, PWANI.
NO 0718505991.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Tegeta umeme uko kibao!Leo siku ya jumamosi tar 6/5,muda huu ni saa tatu na nusu usiku,toka asubuhi hakuna umeme.Jiji la biashara Dar es alaam.Tanesco Nini kimetokea?