TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Wapuuzi sana ..... Hapa Moshi Kuna wakati walikata wakarudisha umeme mkubwa balaa..... Mtaa mzima::.....friji,TV ,subwoofer, deki,ving'amuzi........chochote Kati ya hivyo kilichokuwa on kililia mzinga......

Inatakiwa Serikali iruhusu makampuni binafsi kuanza kutoa huduma equivalent na Tanesco but under STRICT SUPERVISION Kwasababu naelewa umeme Ni issue ya Usalama wa Taifa.......
Mm nikisikia kuwa unaweza kuwachukulia hatua,mfano shot ikitokea ndani na nyumba ikaungua au vitu kuharibika wanawajibishwa vizuri tu
 
Mm nikisikia kuwa unaweza kuwachukulia hatua,mfano shot ikitokea ndani na nyumba ikaungua au vitu kuharibika wanawajibishwa vizuri tu
Tatizo Ni Serikali, Kama Kuna uwezekano huo Basi elimu itolewe...maana wanamaskinisha watu.... Vitu Kama TV,subwoofer kwa hustlers sio vitu vya kurudia rudia kununua....Ni hasara
 
Ni kama wiki mbili sasa kuna tatizo kubwa sana la kukatika umeme na kurudi muda huo huo.
TANESCO kwanini
Kila inapofika jioni umeme unakata na kurudi? wakaazi wa wilaya ya Temeke hasa Mbagala watakuwa mashuhuda wangu,umeme unakatika kisha unarud baada ya kama dk 2 au3.

Jana umekatika ukarudi afuvukakata tena kisha ukarudi moja kwa moja ndio ukaunguza radio yangu.
Naombeni ushauri kama naweza kuchukua hatua.
Kisheria ipo remedy ambayo ni kuwashtaki. Lakini kabla ya kwenda Mahakamani, sheria inakutaka uandike 'statutory demand notice' ambayo itawapa TANESCO siku tisini wahakikishe wamekulipa madai yako nje ya Mahakama, wasipokulipa ndani ya hizo siku tisini ndiyo ufungue mashtaka dhidi yao.
 
Unanunua kitu kwa milioni then unashindwa kuweka ki volt guard cha 15,000 kulinda kifaa chako.

Yani mimi kinachonisevu ni kuwa nachukulia kuchomeka vifaa vyangu vya thamani moja kwa moja kwenye umeme kama kupiga mzigo peku. Tena tigo. The risk is just too damn high. Lazima kuvaa ndomu by means of fridge guard / volt guard na surge arrestor / UPS

Cha kufanya mkuu chukulia kama funzo.
 
Mkuu ISO M.CodD mm nilikuwa sijui sasa nimejua toka kwako hata hao TANESCO kwanini wasishauri watu watumie hivyo vifaa?

TANESCO mtanilipa au nikafungue kesi?
 
Tanesco mnakwaza sana,ivi inakuwaje tatizo la aina moja mwaka mzima halitatuliwi asee,hasara mnazotia uku mtaani sidhani kama kiingoz mmoja wa serikali angekuwa anaishi uku lingekuwepo,tarehe 22/5 nnimepiga simu kwamba umeme mtaan unawaka upande mmoja ilikuwa saa mbili usiku mahira ya arusha mjini mpka mje mrekebishe ni kesho yake saa nane hapo mmejitahidi sana maaana mara zote huwachukua hadi masaa 48 ndo umeme urudi,leo siku 11 baadae tatizo lile lile linajirudia na ni ndani ya jiji la aeusha,last namuuliza fundi wenu kwann hili tatizo linajirudia mwaka na zaid sasa akasema transfima imezidiwa uwezo na tatizo limesgafikishwa office,mi naona tatizo hapa ni uongozi wa juu arusha tanesco meneja hatufaii natamani sana wazir angeputa hapa,transfoma iliyopo maeneo ya sombetini shuleni mnatuzingua na kutuharibia biashara zetu mara kwa mara walipa kodi wa hii nchi
 
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA MOROGORO

TAARIFA YA MABORESHO YA MIUNDO MBINU YA UMEME KATIKA KITUO CHA KUPOKEA NA KUPOOZA UMEME MSAMVU SABSTATION

Shirika la umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa MOROGORO linawataarifu wateja kuwa kutakuwa na katizo la umeme katika laini zetu kama ifuatavyo:

Siku : Jumamosi

Tarehe:6/06/2020

MUDA :3:00 Asubuhi hadi saa 9:00 Alasiri

Sababu KUFANYA UKARABATI WA MIUNDO MBINU KATIKA KITUO CHA KUPOKEA NA KUPOOZA UMEME MSAMVU SUBSTATION

Maeneo yatakayoathirika Wilaya ya Manispaa ya Morogoro,wilaya ya Kilosa ,wilaya ya Mvumero ,wilaya ya Mvua, pamoja na maeneo mengine yanayotumia laini hiyo

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakao kuwa umejitokeza .

Tahadhari usishike wala kukanyaga nyaya zilizolala chini toa taarifa Emergency kupitia namba 0677063001/0684889272 au toa taarifa ofisi ya Tanesco iliyo karibu nawe.

TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz
 
Tanesco mnakwaza sana,ivi inakuwaje tatizo la aina moja mwaka mzima halitatuliwi asee,hasara mnazotia uku mtaani sidhani kama kiingoz mmoja wa serikali angekuwa anaishi uku lingekuwepo,tarehe 22/5 nnimepiga simu kwamba umeme mtaan unawaka upande mmoja ilikuwa saa mbili usiku mahira ya arusha mjini mpka mje mrekebishe ni kesho yake saa nane hapo mmejitahidi sana maaana mara zote huwachukua hadi masaa 48 ndo umeme urudi,leo siku 11 baadae tatizo lile lile linajirudia na ni ndani ya jiji la aeusha,last namuuliza fundi wenu kwann hili tatizo linajirudia mwaka na zaid sasa akasema transfima imezidiwa uwezo na tatizo limesgafikishwa office,mi naona tatizo hapa ni uongozi wa juu arusha tanesco meneja hatufaii natamani sana wazir angeputa hapa,transfoma iliyopo maeneo ya sombetini shuleni mnatuzingua na kutuharibia biashara zetu mara kwa mara walipa kodi wa hii nchi
Tafadhali onyesha namba ya simu na eneo gani haswa kwa mrejesho zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni muda gan tunatakiwa kusuniri kuunganishiwa umeme kwenye miradi ya REA baada ya kulipia.
Kuna mradi wa REA unajjulikana kama VISIGA A au Kafulusu hapa Kibaha kata ya Visiga.
Miundombunu yote ishajengwa na tumeshalipia week tatu sasa lakin umeme haujaunganishwa.
Tunatakiwa kusubiri kwa muda gani?
Jina JEREMIAH MSHANA
KIBAHA, PWANI.
NO 0718505991.

Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi

Mradi huu tayari kazi inaendelea tunaomba uvumilivu wenu mtapata huduma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo siku ya jumamosi tar 6/5,muda huu ni saa tatu na nusu usiku,toka asubuhi hakuna umeme.Jiji la biashara Dar es alaam.Tanesco Nini kimetokea?
 
Back
Top Bottom