Mbezi msuguli umeme hakuna tangu saa 10 jioni
 
Leo siku ya jumamosi tar 6/5,muda huu ni saa tatu na nusu usiku,toka asubuhi hakuna umeme.Jiji la biashara Dar es alaam.Tanesco Nini kimetokea?
Kuna maeneo umeme hakuna kuanzia saa sita mchana hadi hivi sasa. Mfano kuna mtu anatoka Kimara king'ongo anasema hawana umeme toka mchana moaka hivi sasa
 
Maeneo ya Ubungo hapa karibu na daraja linalojengwa maeneo ya mawasilioano hakuna umeme tangu saa kumi na umerudi muda dakika kama saba hivi zilizopita.
 
Tanesco hapa Morogoro mjini,kuna tatizo gani?,Maana umeme unakatakata ovyo.Jamani tutasonga kweli kwa Staili hii?.
 
Tanesco mnakera sana... hapa mtaani kwetu, umeme leo umekatika tangu saa moja asubuhi, mpaka sasa ni masaa karibu masaa 18, nimepiga simu kituo cha usariver arusha ambacho ndicho kinachotuhidumia, wanasema hutilafu, na umeme hautarudi mpaka kesho asubuhi, which means tutakua tumekaa zaidi ya 24 hours bila huduma ya umeme.. inaumiza sana and it is totally unfair.. vyakula vinaharibikia kwenye mafriji, biashara zinaharibika, tanesco mna kera sana.. si mngetoa basi taarifa??
 
Reactions: amu
Pole sana.
 
mbarikiwe sana

MIMI NA SEHEMU YA KIWANJA WAKATI MAJIRANI WANAPITISHA UMEME WAKAPITISHA ENEO LANGU NIKAKA KULALAMIKA WAYA ZIKO CHINI KABISA HATA NIKITAKA KUJENGA SIWEZI

WAKASEMA NIKTAKA KUJENGA NIWAJULISHE N MIAKA SABA ILIOPITA

NAULIZA NIKIFIKA NAANZIA WAPI MAANA NAHITAJI KUKENGA KARIBUNI
NNDAPIA KUNA MITI IMELALA KABISA KARIBU NA HOZO NYAYA SIJUI MNATUSAIDIAJE

ENEO KARAKATA KARIBU NA SHULE
ULIULIZA TU KWA MNYONYADAMU
MSIOGOPE ENZIHIZO WAKIONA GARINYEKUNDU MNYONYADAMU

CONT
0693-03-42-59

AIRPORT KARAKATA
KARIBU NA KWA MAZONGERA WA MBAO
NTASHUKURU KWA MAWASILOANO NA MAJIBU MAZURI
 
Tunashukuru kwa taarifa

Tumekupigia simu na kukuelewesha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru kwa taarifa, taarifa inatolewa mapema kwa makatizo yaliyopanga mfano ukarabati wa miundombinu.hata hivyo kwa hitilafu hiyo tulitoa taarifa pole kwa kutoipata utupatia namba yako ya whatsApp kwa taariza za mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kwa TANESCO,eneo ili la Mbezi Mpiji Magohe- Kibesa sasa limepata Nuru ya umeme na Mradi ulianza Novemba 2019 hadi sasa kwenye 80% mmekamilisha project yenu, Asanteni.
 
Habari,
mimi ni mkazi wa Kata ya Msongora Mtaa wa "Dole A" ndani ya manispaa ya Ilala Mkoani Dar es salaam.Kulikuwa na mpango wa kutufikishia umeme katika mtaa wetu kwa kusambaza nguzo katika eneo letu lakini mpaka hivi sasa hatuoni maendeleo yoyote na hatujui ni kitu gani kinawakwamisha kuanza hiyo project.Tafadhali tunahitaji msaada wenu maanake tunashindwa kufanya shughuli zetu za maendeleo kutokana na ukosefu wa umeme.

Natanguliza shuktani.
Kitaulo.
 
Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Binafsi kwakweli nitoe Pongezi zangu kwa wenzetu wa TANESCO, mara zote ambazo nimefika kutaka Huduma ya Kuunganishiwa Umeme imekuwa ni Haraka na sijawahi kukwazana na nyie. Pamoja na mauzi yooote ninayosikia wengine wakipata kutoka kwenu mimi binafsi bado sijakutana nayo, hata nilipopata tatizo la Mita kuzima wakati wa Low Voltage mlifika na kunibadilishia pasipo shida.
Mwisho, niwapongeze...TABATA KUCHELE JAMANI, umeme haukati kizembe!
Pia wakati fulani nilipigiwa simu kwa ajili ya kutoa ASSESMENT ya Huduma zetu hakika niliweka dole juu.
 
Karibuni sana JF
Niliwahi kufika TANESCO Magomeni halafu kwenye korido mojawapo nikakuta maandishi yanasema kitu kama TAHADHARI, SAKAFU INATELEZA! Kulikuwa na tiles zimewekwa kwenye sakafu hiyo. Sasa mimi nikajiuliza hawa watu si wanatunza kesi na kwa ushahidi wa kujishtaki wao wenyewe mahakamani? Pengine labda tiles hizo zilikuwa ni za muda, mlishaziondoa baada ya kugundua kuwa zinatetelza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…