TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Mm nina malalamiko mkoa wa kilimanjaro ,Yan tulihangaika sana kumpata surveyor almost miez miwili.Baada ya kuja akasema mkalipie next ijumaa na hapo ilikuwa ijumaa lakin kuanzia siku hyo huu ni mwez wa tatu kila nikiomba control number ofisini tulipie tunarudishwa na wanasema wanatumia kweny simu saiv ni mwezi wa tatu.what should we do mbna wengine wanahudumiwa vizur kwa haraka au kwa kuwa ss hatuna mijengo ya kifahari

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Tafadhali onyesha

Jina kamili

Simu

Wilaya

Eneo lako

Hata inbox tutafatilia taarifa zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kufika TANESCO Magomeni halafu kwenye korido mojawapo nikakuta maandishi yanasema kitu kama TAHADHARI, SAKAFU INATELEZA! Kulikuwa na tiles zimewekwa kwenye sakafu hiyo. Sasa mimi nikajiuliza hawa watu si wanatunza kesi na kwa ushahidi wa kujishtaki wao wenyewe mahakamani? Pengine labda tiles hizo zilikuwa ni za muda, mlishaziondoa baada ya kugundua kuwa zinatetelza
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kazi kujua undani wa swala hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEPOKEA SIMU KUTOKA TANESCO BIMEFARIJIKA SANA NATAMANI MASHIRIKA MENGINE YANGEKUWA KAMA HAWA TUNGEKUWA MBALI SANA WATEJAKWANZA

UULE KWINGINE DOH mola AWABADILISHE
BIGUP TANESCO
NIMEASAVE NAMBA ZENU NTAKAPOITAJI MSAADA ZAIDI TUSIWEKEANE KWENYE NAMBA ULIOPIGA AIPATIKANI
STYBLSD ALL
 
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu

Tupo kukuhudumia popote ulipo na kwa njia yeyote ile uliyotolea taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunashukuru sana mpendwa mteja wetu

Tupo kukuhudumia popote ulipo na kwa njia yeyote ile uliyotolea taarifa

Sent using Jamii Forums mobile app
AMINA MSIACHE KUTENDA MEMA MIOLA AWABARIKI SANA NTAKAPOKWAMA NTAKUSUMBIENI KIDOGO
STYBLSD
PATENI TONIC WATER MOJA HAPO OFISINI NTAKUJA WIKIJAYO NICLEAR KWAKWELI
 
Mita No. 54193233985 naomba Key Changer. No za customer care ziko busy kila nikiwapigia. Pia naomba kujua ni kwanini zimehitajika tena? Asanten 0685404220!
 
FOR TANESCO KWELI LEO WAMENIFURAHISHASANA SIOA KAMA KISIRANI WA MAJI
LOJ
 
Attachments

  • IMG_20200610_152353.jpg
    IMG_20200610_152353.jpg
    41.9 KB · Views: 2
Kwanza naomba kusema Samahani kama nitakuwa ninawasumbua.

KUMBUKUMBU.

MWEZI JULY / AUGUST 2018 TANESCO WALIWASILIANA NA BAADHI YA WATU WA MSALATO NA KUKUBALIANA KUCHUKUA ENEO KWA AJILI YA UJENZI WA SUB-STATION.

PAMOJA NA KUCHUKUA ENEO PIA WALIZUIA MTU YEYOTE KUFANYA SHUGHULI YOYOTE KATIKA ENEO HILO.

TANGU 2018 TANESCO WAMEHODHI ENEO HILO PASIPO KULIPA FIDIA YOYOTE KWA WAADHIRIKA.

PIA KUMEKUWA NA MAJIBU YA SINTOFAHAMU KUTOKA TANESCO HASA PALE WENYE MAENEO WANAPOHITAJI MSAADA.

February 15, 2020 ( #7121 / niliwapatia namba za Wafanyakazi wanaohusika na Suala la TANESCO KUTWAA ARDHI ENEO LA MSALATO DODOMA kwa ajili ya TANESCO KUJENGA SUBSTATION.

March 04, 2020 ( #7289 ) TANESCO mlikiri kupokea Taarifa hiyo na kuifanyia Kazi.

MASWALI.

1. Je TANESCO hamuoni kuwa ni Vema kurudisha Maeneo kwa Wahusika kwa Sasa mpaka pale mtakapo kuwa tayari kulipa FIDIA?

AU

2. Mnadhani ni utaratibu gani unafaa kufuatwa na watu hawa ili walipwe STAHIKI ZAO bila usumbufu?

Ahsante.
 
Tunashukuru kwa taarifa, taarifa inatolewa mapema kwa makatizo yaliyopanga mfano ukarabati wa miundombinu.hata hivyo kwa hitilafu hiyo tulitoa taarifa pole kwa kutoipata utupatia namba yako ya whatsApp kwa taariza za mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeme ulikatika for 30 full hours... tangu tarehe 9.06.2020 saa mbili asubuhi, ukarudi tarehe 10.06.2020 saa nane mchana..very painfull. Umekaa kwa masaa kadhaa, saa tano na nusu usiku huu umekatika tena..hatujui utarudi saa ngapi. Tunateseka sana na hii line yenu tanesco. Tumewakosea nini????????,, namba za whatsapp ni 0785 131616. Tusaidieni jamani, tunateseka mno.
 
Tafadhali onyesha eneo gani na wilaya gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza naomba kusema Samahani kama nitakuwa ninawasumbua.

KUMBUKUMBU.

MWEZI JULY / AUGUST 2018 TANESCO WALIWASILIANA NA BAADHI YA WATU WA MSALATO NA KUKUBALIANA KUCHUKUA ENEO KWA AJILI YA UJENZI WA SUB-STATION.

PAMOJA NA KUCHUKUA ENEO PIA WALIZUIA MTU YEYOTE KUFANYA SHUGHULI YOYOTE KATIKA ENEO HILO.

TANGU 2018 TANESCO WAMEHODHI ENEO HILO PASIPO KULIPA FIDIA YOYOTE KWA WAADHIRIKA.

PIA KUMEKUWA NA MAJIBU YA SINTOFAHAMU KUTOKA TANESCO HASA PALE WENYE MAENEO WANAPOHITAJI MSAADA.

February 15, 2020 ( #7121 / niliwapatia namba za Wafanyakazi wanaohusika na Suala la TANESCO KUTWAA ARDHI ENEO LA MSALATO DODOMA kwa ajili ya TANESCO KUJENGA SUBSTATION.

March 04, 2020 ( #7289 ) TANESCO mlikiri kupokea Taarifa hiyo na kuifanyia Kazi.

MASWALI.

1. Je TANESCO hamuoni kuwa ni Vema kurudisha Maeneo kwa Wahusika kwa Sasa mpaka pale mtakapo kuwa tayari kulipa FIDIA?

AU

2. Mnadhani ni utaratibu gani unafaa kufuatwa na watu hawa ili walipwe STAHIKI ZAO bila usumbufu?

Ahsante.
Hili ni swala la madai linalohitaji pande zote mbili kukaa ba kusikilizana hivyo kama ni muhusika tunakusihi fika ofisi yetu ya Mkoa Dodoma uonane na Meneja moja kwa moja kwa ufafanuzi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom