TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Hii Kampuni ilitakiwa Ifutwe kabisa yaani wanafanya kazi kimazoea kwakuwa wapo peke yao! Hawa wangepata mshindani mwenzao wangetia akili ,waoneni TTCL wanavyopumulia mashine hakuna mtu mwenye time nao! ilitakiwa ianzishwe kampuni nyingine yenye kuzalisha na kusambaza umeme ije kupambana NAO hao WAPUUZI.

Mtu unalipia upate huduma halafu let's say ni nguzo moja au mbili mpaka nyumba yako lakini inachukua mwaka mzima ndio waje kukuwekea tena kwa kufollow up sana na kuhonga othersiwe utasikia Umeme kwenye radio!

Ningekuwa Mbunge ningepeleka hoja binafsi ya kulifutilia mbali shirika la tanesco na kuanzisha makampuni binafsi yaje kupambana!!
Je umelipa kwa jina gani? Simu? Wilaya na tarehe ngapi? Utaratibu ni wa wakwanza kulipia wakwanza kufungiwa
 
Je umelipa kwa jina gani? Simu? Wilaya na tarehe ngapi? Utaratibu ni wa wakwanza kulipia wakwanza kufungiwa

👇 👇
Tanesco mkolani nimebakiza siku tatu nikawashitaki mwa Mkurugenzi wenu au kwa waziri. Nimelupia kila kitu mwezi wa tano na sasa ni mwezi wa saba hakuna umeme. Mnataka kufuatwa fuatwa wakati mnafanya biashara. Subirini kuanzia kesho msinilaumu

Mdau hapo juu ndio kashalipia ,sehemu nilipo bado hatujafikia hatua ya kulipa wanasema mradi bado haujakalimika ila nguzo na nyaya kila kitu tayari hadi transformer,ngoja tusubiri kipindi cha uchaguzi/kampeni.
 
Nani muongo wanasisa au nyie tanesko
Nyumba Ina mwaka Sasa toka nilipoanza kufatiria umeme
Nilipopewa ghalama za kulipia nambiwa nilipe 337,0000 pamoja na ghalama za nguzo
Je nikilipia nguzo napata lisiti
Na je hii nguzo inakuwa Mali ya Nani

Wanasiasa wanatuambia tufanye wayaringi majumbani kwetu Kisha tuje tanesko kulipia tsh 27000 tu

Mengine hayatuhusu nyie mnayatoa wapi
Nishauza kuku teyali na Ni nayo tsh 27000 nataka umeme nipeni muongozo wa kuja kulipa

Nipo Kijijin na kipo ktk mladi wa lear
shida bado nguzo moja tu umeme ufike kwangu

Ahsante
 
Fika ofisini kwa kuwa tupo kukuhudumia hauna haja ya kujenga hofu wakati hata ofisini haujafika
 
tunashukuru kusogea karibu na wateja wetu
Habari za kazi ? Utaratibu wa mteja kwenda tariff zero kwa wateja ambao matumizi yao ni madogo toka kuunganisha na Tanesco upoje? Maana tunaambiwa mpaka fundi apite kila nyumba akague ndipo wakuhamishe. Naomba wanaTanesco mnielimishe. Kila la heri
 
Umelipia kwa jina gani

Wilaya

Namba ya simu

Tarehe ngapi
Nimejaza form savea akaja kukagua akaniambia nitapokea sms ya malipo baada ya miezi 3 nimepokea sms
Inayonitaka nilipe 337,000

Nilipoenda tanesko sms imefutika kwa bahat mbaya nilipo waeleza lengo la ujio ofisin kwao

Wakaniambia wateja waliombali na nguzo wenye uhitaji wa nguzo kwa Sasa tanesko
Nguzo hawana na jukumu la nguzo kwa sasa liko chini ya selikari hivyo mpk selikari warete nguzo ndio nitapata huduma
Hivyo bado sijalipia
Nimeambiwa nisubili selikari ilete nguzo
 
Weka taarifa tulizoomba tafadhali
 
Hello Tanesco
Mie hapa nilipo panahitajika Nguzo Tatu ili umeme utufikie .
Na mie uwezo wangu ni kulipia Nguzo Moja.
Tanesco mnanisaidiaje ili kuweza kufanikisha hilo.?

Nipo Geita

Mwatulole
 
Naomba kusaidiwa mita yangu haiingizi umeme
Mita namba :37219637735
Mkoa: mtwara
Wilaya:mtwara
Mtaa:Libobe
Nimeenda Tannesco wiki mbili zilizopita walinihaidi watatuma mafundi Lkn mpaka Leo,napiga cm Lin hawaji
 
Naomba kusaidiwa mita yangu haiingizi umeme
Mita namba :37219637735
Mkoa: mtwara
Wilaya:mtwara
Mtaa:Libobe
Simu: 0716861954/0657576122

Tunashukuru kwa taarifa mpendwa mteja wetu tunaifanyia kazi
 
Hello Tanesco
Mie hapa nilipo panahitajika Nguzo Tatu ili umeme utufikie .
Na mie uwezo wangu ni kulipia Nguzo Moja.
Tanesco mnanisaidiaje ili kuweza kufanikisha hilo.?

Nipo Geita

Mwatulole
Sio mteja anayesema nini kinahitajika yeye apate umeme bali ni kuchukua fomu tupime na kukupatia makadirio sahihi.mteja halipii nguzo bali gharama ya kuunganishiwa umeme
 
Sio mteja anayesema nini kinahitajika yeye apate umeme bali ni kuchukua fomu tupime na kukupatia makadirio sahihi.mteja halipii nguzo bali gharama ya kuunganishiwa umeme
Distance iliyopo ni Takribani 200M.
Automatically zinahitajika si chini ya Nguzo Tatu.

Ni kwa vipi naweza epuka hilo?
 
Distance iliyopo ni Takribani 200M.
Automatically zinahitajika si chini ya Nguzo Tatu.

Ni kwa vipi naweza epuka hilo?
Fika ofisi ya eneo lako kwa kuwa gharama haitegemei nguzo tu
 
Back
Top Bottom