TANESCO
Official Account
- Jul 12, 2014
- 5,210
- 2,779
- Thread starter
- #8,421
Tafadhali onyeshaJmn hivi Hawa Tanesco wa mbeya siyo Tanzania au maana siwaelewi nimetoa taarifa kuwa nyumbani kwangu Kuna shida mita siku ya tatu saiv nawapigia cm hawafiki wanapiga viswahili tu hivi nyumba ikiungua wanalipa au ndo bahati mbaya tu
Eneo
Wila
Simu
Tatizo
Toka lini
Namba ya taarifa