NINI TOFAUTI KATI YA UMEME WA REA NA UMEME WA TANESCO??Dodoma Mjini
Ilazo
KAMA NI WOTE WA TANESCO KWA NNUmeme wote ni wa TANESCO, REA ni Wakala wa umeme vijijini wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini ikishakamilika inakabidhiwa TANESCO
Kumbuka pia kuwa nina restrictions ambazo zinanifanya nisitumie chakula kutoka mazingira ya nje ya nyumbani kwangu. Kitendo cha Microwave kuwa haifanyi kazi kutokan na tatizo la umeme, kunanilazimisha kuvunja utaratibu huu wa kutokutumia chakula kutoka mazingira ya nje. Tafadhali naomba sana msaada wenuKaribu sana
Tafadhali onyesha namba ya simu na wilaya husika
tunashukuru kwa taarifa tunaifatilia kwa hatua zaidiTANESCO kama kuna mgao ni afadhari mtangaze, yani huku bunju mnakatakata umeme. Kila siku juzi mlikata, usiku wakuamkia jana mlikata, sasa hivi mmekata. wiki iliyopita nako mmekata kama mara tatu. Mnakera mnasema nchi uchumi wa kati huo uchumi wa kati tunauendesha kwa kuni au?
Jamn tanesco mbona huku kwetu ituha toka juzi mnakata umeme usiku au mgao umeanza?asante tumelipokea na tutalifanyia kazi
leo jumamosi nyingine umeme hamna kimara.unataka kuniambia hiyo mitambo yenu iko systematic kuamua kusumbua siku za weekend tu?hii ni purposely mnakata umeme.Mnatuumiza sana wakubwa.Tunakuelewa mpendwa mteja wetu ndio maana zipo hatua kadhaa zilizochukuliwa kuendelea kuboresha upatinaji w umeme eneo husika.Sisi hatukati umeme wala kupenda umeme ukatika
Tafadhali onyesha namba yakonya simu yenye whatsApp kwa taarifa zaidi za eneo lakoleo jumamosi nyingine umeme hamna kimara.unataka kuniambia hiyo mitambo yenu iko systematic kuamua kusumbua siku za weekend tu?hii ni purposely mnakata umeme.Mnatuumiza sana wakubwa.
Nilishawahi kuwaambia huku nje ya mji weekend kuanzia alhamisi hadi jpili ndio kunachangamka sababu watu wanakuwa nyumbani.Kama mna dharura za mara moja moja ni heri kufanya matengenezo yenu siku za jnne au jtano.Unakata umeme kila weekend,kweli?hujaona kabisa siku ya kufanya kazi ila weekend?Why do you prefer weekends?
We soma post zangu kila weekend lazima nije kulalamika humu.
Mimi sikati tamaa ntaendelea kukupigia kelele mpaka Kimara tupate umeme wa uhakika from Monday to monday.Kwa sasa mnatuzingua sana Kimara Mwisho.Huu ni mwezi wa tatu sasa kila wiki lazima tuna siku mbili au tatu za kukaa giza,especially weekends.This is not fair TANESCO
eneo ni Kimara mwisho Mavurunza,Dawasco,Matangini,Polisi,Sokoni,Catholic church Kimara,TRA ...hilo eneo lote linalishwa na line moja na halina umeme leo na ndio utaratibu ulivyo every weekend.Lazima tukatiwe umeme.hapa hakuna umeme tangu saa tatu na dk 40 asubuhi.Tafadhali onyesha namba yakonya simu yenye whatsApp kwa taarifa zaidi za eneo lako
Tanesco ijumaa alikuja mtu wenu huku saccos Mabwepande na baadae wakaja mafundi wenu wakaweka vikombe na kushusha nyaya tatu za kuunga kwenye transformer wakaondoka.Habari Tanesco,
Ni mwaka umepita tangu muweke nguzo na nyaya eneo la Saccos--Mabwepande,tukifatilia kutaka kuwekewa umeme tunaambiwa mradi bado haujakamilika,umeme unatoka kinondo wameweka nguzo za kuweka transformer ambalo ndio lita supply wakazi wa saccos ni miezi mitatu imepita tangu waziweke hizo nguzo na chuma za kuweka transformer.
Tunaomba kujua ni kitu gani kinachelewesha kutuletea hilo transformer? Mnaweka nguzo mwaka mzima zinakaa tu maana yake nini?
Kama mmeshindwa ni bora mtuambie wananchi tujichange tununue transformer letu tuwakabidhi ili mliweke.
nimelipia 320,000Je umepatiwa gharama ya kiasi gani?
Bado sijapata msaada wiki sasa. Jina kwenye system yenu hamukuwahi kubadilisha, kwa hiyo linasomeka kama John C. Sivalon. Details zangu ni kama nilivyokupatia kenye Persona message. Sivalon alishahama kwenye nyumba hiyo karibia miaka 20 sasaKaribu sana