Je umelipia liniNi miezi mingi sasa imepita niliomba kupatiwa huduma ya umeme lakini miundombinu ipo mbali kama mita 70 hv walikuja wataalamu wenu ikaonekana zinatakiwa nguzo mbili moja itashuka mahali njia ilipo na nyingine itafika eneo husika,lakini toka serikali imetangaza kuwa nguzo zinatolewa bure tumekuwa tukisubiri sana kwa kipindi kisicho na manufaa,je kwann msirudishe tu gharama ili mwananchi achangie tu maana imeshakuwa ni kero kila mara kurundikana ofcn kudai huduma na majibu ni yaleyale yasiyoridhisha,
Umefanya Bonge la kosa yaani usingenunua Mara mbili ndani ya mwezi hapo ndio bye bye huwez rudi tenaHabari,ninatumia luku mpya na leo nilinunua umeme mara mbili,wa shilingi 10000 nikapata unit 72 na wa pili shilingi 9000 nikapata unit 23.Je nifanyaje ili niweze kuwa tozo ya umeme wa matumizi ya chini ili makato yasiwe makubwa.
Kimara mwisho yote upande wa Dawasco mpaka TRA.Umeme unasumbua sana.Hivi hapa naandika hii msg its a third day in a row umeme unakatika na kurudi.Jana ndio ulikatwa moja kwa moja siku nzima.Eneo gani haswa
Namba yako ya simu tafadhali
Tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhaliKimara mwisho yote upande wa Dawasco mpaka TRA.Umeme unasumbua sana.Hivi hapa naandika hii msg its a third day in a row umeme unakatika na kurudi.Jana ndio ulikatwa moja kwa moja siku nzima.
kwa kweli tuna hali ngumu tuliowekeza kwenye hii nishati.Soon tutaawaachieni umeme wenu tufanye shughuli nyingine.Its disgusting aisee!
Nimeuliza swali nahitaji jibu lenu.Tunashukuru kwa taarifa tunaifanyia kazi tafadhali
Ni kweli kosa ila ninachouliza nini cha kufanya sababu jibu lako linaonesha ni kuwa hakuna cha kufanya wakati wengine niliowauliza walisema inawezekana.Umefanya Bonge la kosa yaani usingenunua Mara mbili ndani ya mwezi hapo ndio bye bye huwez rudi tena
Ni kweli kosa ila ninachouliza nini cha kufanya sababu jibu lako linaonesha ni kuwa hakuna cha kufanya wakati wengine niliowauliza walisema inawezekana.
Nahisi utakuwa hujanielewa. Nilinunua umeme mara mbili kimakosa yaani unit 72 na unit 23 (jumla unit 95) na ni manunuzi ya kwanza kwenye mita mpya hivyo hadi sasa zimetimia siku tatu nina unit 94 (imetumika unit 1 na point kwa siku tatu) na sio kwamba nilitumia unit 72 zikaisha halafu nikanunua unit 23,hapana. Hivyo ninachotaka kufahamu (maana nahisi utaratibu huo upo) wa kuwa kwenye matumizi madogo maana hizo unit 94 naweza kutumia ndani ya miezi mitatu kama nitakuwa sahihi.Ukiwekwa kwenye tarifu ziro na ukafanya mistake ya kuzidisha matumizi kwa mwezi hutoweza kurudishwa tena na hiyo ndo bye bye.
Hapo dhahili kabsa imeonyesha matumizi yako sio madogo bali ni matumizi makubwa huwezi kurudishwa.
Nahisi utakuwa hujanielewa. Nilinunua umeme mara mbili kimakosa yaani unit 72 na unit 23 (jumla unit 95) na ni manunuzi ya kwanza kwenye mita mpya hivyo hadi sasa zimetimia siku tatu nina unit 94 (imetumika unit 1 na point kwa siku tatu) na sio kwamba nilitumia unit 72 zikaisha halafu nikanunua unit 23,hapana. Hivyo ninachotaka kufahamu (maana nahisi utaratibu huo upo) wa kuwa kwenye matumizi madogo maana hizo unit 94 naweza kutumia ndani ya miezi mitatu kama nitakuwa sahihi.
NINACHOTAKA NI KUJUA NIFANYE NINI ILI NIWE KWENYE MAKATO YA MTEJA MWENYE MATUMIZI MADOGO AMBAPO NDIO UHALISIA.
okay nashukuruJe ulipopewe hiyo meter uliambiwa kwamba imewekwa kwenye matumizi madogo? Au ulipopewa na ulipojaribu kununua ndo ukapata hizo 72?
Kama ulinunua ukapewa unit 72 na uliponunua tena ukapata unit 23 hapo moja kwa moja ushaondolewa kwenye tarif ziro cha kufanya labda uende kwenye ofisi yao ukawaeleze shida iliyotokea wanaweza kukusaidia.
Ila ninavyojua ukishaondolewa kurudishwa ni mtihani mzito. Wanaweza kukwambia andika barua na unasubiri miezi sita.