Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa taarifa tunaifanyia kaziTanesco wilaya ya Kigamboni ni bora mkatoa ratiba ila tujue ni lini tuna umeme na lini hakuna umeme.
Haiwezekani kila siku asubuh umeme unazimika unarudi jioni Sasa kama Kuna mgao ni bora mkasema na mkatupa ratiba ili tujue kabisa.
Tafadhali onyeshaTANESCO , shida Nini? Hapa Mbeya control number hatupati mda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali onyeshaTANESCO , shida Nini? Hapa Mbeya control number hatupati mda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali onyeshaTANESCO , shida Nini? Hapa Mbeya control number hatupati mda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali onyeshaHetu tujulishe kwa kawaida ukishalipia kuunganishiwa umeme inachukia muda gani kupatiwa huduma hiyo?na kama umesubiri muda mrefu ufuate utaratibu gani,yaani wapi tunapeleka malalamiko hasa sisi wateja wa Tanesco ya Tabata Dsm.maana kwa kweli haturidhishi kabisa na ucheleweshwaji wa kuunganishiwa umeme
Kitu cha pili ningeshauri kitengo chenu cha Internal Audit,wangekuwa wanaangalia/wanakagua hili eneo maana ndiyo eneo dhaifu kuliko kawaida na mapato mengi yanachelewa kuingia serikalini sababu wateja hawaunganishiwi umeme kwa wakati
Haya natumaini ni majibu yanayotolewa na ROBOTI siyo mtu.Tafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Naungana nawe...kwa swali ulilouliza hakutakiwa kujibu hivyoHaya natumaini ni majibu yanayotolewa na ROBOTI siyo mtu.
Kwa sababu hatuwezi onyesha majina yetu humu wakati tunatumia ID fake.
hapo ndipo mnapofeli Tanesco.Hii inadhihirisha hamko creative.mimi nilikuwa nataka majibu general.Ambayo yatakuwa msaada kwa wote.
Tuma hata inbox kwa kuwa bila taarifa kamili tutuhudumiaje?je unaweza kwenda bank kulalamikia account yako bila kutoa taarifa waliyotaka?Tusaidie kutupatia taarifa kamili kwa huduma boraHaya natumaini ni majibu yanayotolewa na ROBOTI siyo mtu.
Kwa sababu hatuwezi onyesha majina yetu humu wakati tunatumia ID fake.
hapo ndipo mnapofeli Tanesco.Hii inadhihirisha hamko creative.mimi nilikuwa nataka majibu general.Ambayo yatakuwa msaada kwa wote.
Mbeya mjiniTafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Sipo peke yangu wengi tu hatuja pata, Mbeya mjiniTafadhali onyesha
Jina
Eneo
Wilaya
Simu
Tatizo
Toka lini
Kwa hatua zaidi
Ok, umekubali... ThanksMfumo kwa sasa upo vizuri nunua umeme