TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri
Utakesha mkuu mimi mpaka lei jumapili watu wamefungiwa ila napitwa kisa tu sijtoa rushwa eti ya kumpa fundi apande .. ukileta suala lako hapa badala ya wao wafuatilie wanakuambia uwape namba. Sasa uwape namba kwani hawajui fundi yupi kapangiwa kufunga umeme huku. Wakamuuliza kwann umeme wanafunga kimafungufungu.

Mimi namba sitoi wallah na wasifunge ila siku atapita tu waziri kuja kuangalia sijui kuwasha ndipo hapo kero itakapoonesha na sitanyamaza aisee nitaeleza pesa zote tulizotozwa kinyume na 27000/= .

Kwanza waziri alikuja akagom kuwasha akasena bado mbona hata kwengine nyaya bado. Tanesco rushwa inatembea aissee. Tena wanaiomba kwa mgongo wa wajumbe. Hiyo control namba bila rushwa ama kiwasumbua sana hutaipata nakuambia
 
Utakesha mkuu mimi mpaka lei jumapili watu wamefungiwa ila napitwa kisa tu sijtoa rushwa eti ya kumpa fundi apande .. ukileta suala lako hapa badala ya wao wafuatilie wanakuambia uwape namba. Sasa uwape namba kwani hawajui fundi yupi kapangiwa kufunga umeme huku. Wakamuuliza kwann umeme wanafunga kimafungufungu. Mimi namba sitoi wallah na wasifunge ila siku atapita tu waziri kuja kuangalia sijui kuwasha ndipo hapo kero itakapoonesha na sitanyamaza aisee nitaeleza pesa zote tulizotozwa kinyume na 27000/= . Kwanza waziri alikuja akagom kuwasha akasena bado mbona hata kwengine nyaya bado. Tanesco rushwa inatembea aissee. Tena wanaiomba kwa mgongo wa wajumbe. Hiyo control namba bila rushwa ama kiwasumbua sana hutaipata nakuambia
Lengo la kulalamika ni kuhudumiwa na ili uhudumowe tunaomba ushirikiano wako haswa kwa taarifa kamili za wilaya gani,simu na umelipia lini
 
Nawaomba TANESCO wilaya ya Misungwi hasa maeneo ya Nyanghomango, muongeze bidii ili mfunge transfoma wananchi wapate umeme.

Sawa mmesambaza nguzo lakini hakuna umeme kwakuwa hakuna transfoma
Kwani kuna shida gani inayowafanya mshindwe kuweka transfoma?

Hebu tuambieni wananchi hiyo shida ili tuwasaudie kuitatua, msikae kimya
 
Tumepokea taarifa tayari tunaomba tuzifanyie kazi

Leo nimepigiwa simu na mdada mmoja Geita.
Na ninashukiru kwa uelewa wake. Kiujumla kanihudumoa vizuri.
Sasa Nasubiria control Nimber.
Asanteni kwa jinsi mlivolipokea suala langu.
Ni wakati sasa Tushirikiane sote kwa pamoja ili tusonge mbele .

Mtoa taarifa asionwe kuwa ni adui
 
Leo nimepigiwa simu na mdada mmoja Geita.
Na ninashukiru kwa uelewa wake. Kiujumla kanihudumoa vizuri.
Sasa Nasubiria control Nimber.
Asanteni kwa jinsi mlivolipokea suala langu.
Ni wakati sasa Tushirikiane sote kwa pamoja ili tusonge mbele .

Mtoa taarifa asionwe kuwa ni adui
Tunashukuru sana
 
Wakazi wa Tegeta na Bunju tumechoshwa na suala la kukatiwa umeme mara kwa mara, adha ambayo wakazi wa maeneo mengine ya jiji la Dar hawakutani nayo.

Mpaka tunajiuliza tumelikosea nini hili shirika lenye dhamana ya kutoa huduma ya nishati ya umeme kwa wananchi!!

Jambo la kusikitisha ni kwamba baadhi ya wafanyabiashara na wananchi wa kawaida wanakuwa wakiharibikiwa na kushindwa kuzitumia/kuuza bidhaa zao ambazo wanazihifadhi katika majokofu yao kwa ajili ya biashara na matumizi ya kawaida.

TENESCO au mnataka tumchague Mbunge atakayetokana na CHADEMA ili mchangamke na kutupatia huduma ya umeme?
 
Hapa sio mahara pake pa kutoa malalamiko. Nenda kule kwenye hoja mchanganyiko utawakuta Tanesco kule na watakujibu papo kwa papo
 
Wakazi wa Tegeta na Bunju tumechoshwa na suala la kukatiwa umeme mara kwa mara, adha ambayo wakazi wa maeneo mengine ya jiji la Dar hawakutani nayo. Mpaka tunajiuliza tumelikosea nini hili shirika lenye dhamana ya kutoa huduma ya nishati ya umeme kwa wananchi!

Hamna mbunge au diwani wa ccm huko? Hao ndio wanawadanganya wananchi kuwa wanajali shida zao.
 
Wilaya ya Ikungi navijiji vyake toka majira ya jioni ya saa 12 hadi saa hizi kunakatizo la huduma za umeme kutoka Tanesco line ya Singida kuja Manyoni kwa zaidi ya saa3 sasa na hatujajulishwa sababu la kukosekan kwa huduma hii mpaka sasa SIJUI HUKO KWINGINE HALI IKOJE
 
Wakazi wa Tegeta na Bunju tumechoshwa na suala la kukatiwa umeme mara kwa mara, adha ambayo wakazi wa maeneo mengine ya jiji la Dar hawakutani nayo...
Wewe ni mwanaCCM ficha ujinga wenu hapa nadhani ofisi za CCM zipo hapo Tegeta nenda kaseme kima
 
Wazee, mbona leo giza limetanda almost dar nzima shida nini??
 
Back
Top Bottom