Tatizo ni nini tukuhudumie mpendwa mteja,umelipa kwa nina gani kiasi gani namba ya simu na mkoa wakoHata Kama mnahesabu Za kazi siku 30 tiari zimefika!
Umeme umerejea tayariKumetokea hitilafu ya umeme Moshi mjini ,
Line ya K 20 haina umeme.Mafundi wanaendelea na jitihada za marekebisho.
Maeneo yanayoathirika ni. Shant yote, Karanga, mail sita, Kibosho manushi, Sambarai minara ya ITV, Machame yote, Weruweru, Shirimgungani na Newland.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza.
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Umeme umesharejeaKumetokea hitilafu ya umeme Moshi mjini ,
Line ya m2 na m3 zipo nje kutokana na kukatika kwa waya eneo la kibosho Hospital na Moshi club. Mafundi wapo eneo la tukio wakiendelea na marekebisho. Maeneo yanayoathirika ni. Shant yote, kibosho Hospital, na karanga.
TANESCO "Tunayaangaza maisha"
Tunaomba namba yako ya simu mkuuMtwara mjini tungependa kujua kuna tatizo gani na umeme haukai saa moja bila kukatika zaidi ya mara 7 imekuwa kero zaidi ya miezi 3
jamani tunahitaji kujua na majibu ya private sidhani kama ni sahihi kwa jambo la umma jibu humhumu
Habari ya leo nashukuru kwani tatizo langu limeshalekebishwa leo hii kumekuwepo na ushirikiano mkubwa katika suala hili na manager alifika kujionea mwenyewe suala hili jana na leo wamekuja mafundi kulirekebisha wamefanya kazi mzuri kwa ufupi nami natoa shuklani katika kufanikisha suala hili aksanteni sana Tanesco mkuranga sasa nasema kwa upand wangu hakuna tatizo tena
Tatizo langu lishatatuliwa natoa shuklani sana kwa mafundi na manager wao kwa kulijali suala hili manager alikuja jana baada ya kuona suala hili leo kaleta mafundi na tayari washarekebishTanesco mnenipitishia waya za HT kwenye nyumba yangu nimekwenda mkuranga kulipot baada ya muda wakaleta nguzo ili waamishe wakaoneshwa pa kuhamishia lakini hao wakalazomish wapitishe sehemu ya mtu mwingine wanayotaka wao sasa mwenyewe kagoma cha kushangaza wanalazimisha waya zibaki hapo hapo kwangu ishafika mahali siwaelewi sasa kilichobaki najiandaa kwenda mahakani nikaone sheria ya kulazimisha kupitisha HT nyumban kwa mtu mumetoa wapi tena waya ziko chini chini si mnataka kuniuwa na familia yangu ?
Sent using Jamii Forums mobile app