Ahsante kwa taarifaNawasilisha malalamiko ya kutatuliwa tatizo la kukosa umeme kwa wiki mbili kwa kaya kadhaa kata ya Iwanga, Mbeya vijijini. Taarifa namba 2724 ilipokelewa kutoka namba ya simu 0754843847. Licha ya kaya zingine Kulalamika pia hakuna hatua zilizochukuliwa mpaka sasa
TANESCO tuambieni kuna tatizo gani Mwanza wiki ya tatu sasa mnakata kata umeme kila saa hakuna taarifa yoyote, mpk muda huu Nyakato tupo gizani
Yaani ni kero kabisa, mbaya zaidi hakuna taarifa wala niniNa jana umekatika saa 4 umerudi saa 6 usiku, ni Nyakato mpaka Buswelu, hapa nilipo naona mpaka Kiseke pako giza kasoro baadhi ya maeneo nadhani ni line ya Airport ndo unawaka
Ahsante kwa taarifa
Yaani ni kero kabisa, mbaya zaidi hakuna taarifa wala nini
Tafadhali onyesha namba ya simu,namba ya mit na wilaya husika
Asante kwa taarifa tumepokea kwa hatua zaidi
Wanapenda kulalia watu, wanapiga kimya ukiwauliza ili swali maana it seem like kama wana-discourage wakati ni haki yetu wateja, mie wamenibadilishia meter alafu wanasuasua kunirudisha wakati ile meter ya awali nimedumu nayo kwa miaka 4 nikiwa kama mtumiaji mdogoJamani mi naomba kurudishwa taarif 4 nanunua umeme wa elf tano unit 14msaada tafadhal mnibadilishie,matumiz yangu mi ni madogo sana cna jiko la umeme ,nna friji tv redio bac naombeni msaada,nliwahi pia tuma ujumbe hapa lkin cjawai jibiwa
Onyesha namba ya mita tafadhaliWanapenda kulalia watu, wanapiga kimya ukiwauliza ili swali maana it seem like kama wana-discourage wakati ni haki yetu wateja, mie wamenibadilishia meter alafu wanasuasua kunirudisha wakati ile meter ya awali nimedumu nayo kwa miaka 4 nikiwa kama mtumiaji mdogo
Onyesha namba ya mita tafadhali
Mvua kidogo tu mnapata kisingizio cha kukuta umeme au ndo kunguru wa usiku hao....yaani nyie jamaa nyie,kama mnasave gharama za uendeshaji kiaina si msema tu au mtoe tangazo la mgao wa umeme!?Ndugu mteja unaweza kuwasiliana nasi kwa namba hiziView attachment 1670779View attachment 1670780View attachment 1670781View attachment 1670782View attachment 1670783View attachment 1670784View attachment 1670786View attachment 1670787View attachment 1670788View attachment 1670789View attachment 1670790
TANESCO Makao Makuu| 0768985100|customer.service@tanesco.co.tz